
Favored Tricy | Deuteronomy 28 | @TricyDagaa_ |
Tanzania
Joined November 2019
- Tweets229K
- Following5.4K
- Followers72.9K
- Likes447K
Pinned Tweet
KARIBU NAUZA SAMAKI, DAGAA, FULU, SENENE, MAFUTA YA SAMAKI NA MAYAI YA SAMAKI. Bei zake ni👇
DAGAA WA KUKAANGA
Debe 125,000
Nusu debe 70,000
Sado 25,000
♦️Fulu wa kukaanga - Sado 25,000
♦️Dagaa kavu - Sado 10,000
♦️Samaki vibambala 15,000/1pc
♦️Samaki za kukaanga 16,000/Kg
SAMAKI WABICHI NDOO KUBWA & NDOGO (SATO & SANGARA)
Samaki ndoo ndogo 120,000
Samaki ndoo kubwa 220,000
BIDHAA NYINGINE NAZOUZA
✅Mafuta ya Samaki
20 ltrs 90,000
5 ltrs 30,000
1.5 ltrs 10,000
✅Mayai ya Samaki
Ndoo kubwa 55,000
Ndoo ndogo 35,000
Sado 17,000
📍Mwanza & Dar es Salaam
Natuma popote ulipo.
KARIBU SANA.
📲 0759855572
TricyLove🦁 retweeted
Unguja tuko wazi leo na dagaa wamebaki wachache
Sado/1kg 25,000
0759855572 karibuni 🙋♀️
TricyLove🦁 retweeted
Kuna wakati kushindwa kwako ndio ushindi- mfano kushindwa kuendelea kuwepo kwenye mzunguko wa marafiki feki
TricyLove🦁 retweeted
Nimeona Kijana wa kiume analia Miaka 27 anakaa bado nyumbani, Hana kazi, Hana Mahusiano stable 😊But nimeona Positive Comment You Can be Confused at 25, Broke at 27 and you can start over at any age ☺️☺️Tutakata Tamaa Ft 6 under, sio duniani hapa 🚶♀️
TricyLove🦁 retweeted
Kuna hawa watu huomba turepost post zao za biashara ila wao hawarepost za wenzak,je nyie ni special sana ??kumanyoko special kwa ajili yenyu na huo uspecial wenyu🚮🚮








