IJ Kimathi retweeted
Sehemu ya tatu ya simuliza ya kijana mwenye umri wa miaka 22 aliyepitia mateso makali kwa amri ya samia na kunusurika kuuwaa oktoba 29 hadi sasa anafuatiliwa na wauwaji
Party three, the story of a 22-year-old young man who endured severe torture on Samia's orders, survived an attempt on his life on October 29, and has continued to be hunted by Samia's assassins ever since to make sure that they are cleaning up all the evidence.
@elinavaltonen
@humanrightstz
@UN_HRC
@HildaNewton21
@MariaSTsehai
@lifeofmshaba
@aliciakearns
@NoPartialRights
@SusannaN2
@EspenBarthEide
@Tanzaiite
@USAmbTanzania
@BBCAfrica
@cnni
@EliasariaII
@CPA_UK
@Europarl_EN
@IntlCrimCourt
@Nuruvazi01
@2twelve4
@CuteMaria26
@AdvocateMaria92
@mangekimambi
IJ Kimathi retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii,
Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
IJ Kimathi retweeted
Kosa la kwanza tulifanya ni kutosimama na Mtikila kuipigania Tanganyika
Sasa tusikubali huu upuuzi wamefanya kwa Lissu
IJ Kimathi retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
IJ Kimathi retweeted
Kila mtu anashangaa nchi imefikaje hapa !!
Ndipo watu wanasema JK hakuna kitu alikuwa anamuogopa Mkapa ndani ya CCM na kulikuwa na miamba ndani ya CCM nyakati hizo
Mkapa aliwahi kudai #KatibaMpya kama Warioba
Leo angetekwa kama Nchimbi
IJ Kimathi retweeted
mimi nawatia moyo chadema, na kuwasihi kuendelea. nawashukuru sana, sana, kwa uwepo wao, na kwa gharama wanazoendelea kulipia, na kutulazimisha, kama taifa, kutafakari endapo kama tulianzisha vyama vingi kama mbwembwe tu au kufanikisha demokrasia ya kweli:
IJ Kimathi retweeted
Anachokiongea Ruto hapa ndio kile kile tunachokishangilia na kukilipia mabilioni Tanzania bila kujali madhara yake kwa mamilioni ya watanzania.
Mpaka VETA wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia.
Yani anayeongea na anayeongeleshwa wote hawaelewi kinachoendelea lakini wanalazimika kwenda tu kwa sababu “kiingereza ndio sera ya Elimu.”
Miaka 65 ya uhuru lakini bado hatuna uhuru wa kujifunza na kufundisha kwa lugha yetu.
IJ Kimathi retweeted
Mpaka MAWE yataongea round hii.
Sikiliza nondo za MCHUNGAJI KIMONDO kutoka MBEYA.
Repost 200.
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 John Heche @HecheJohn amesema chama hicho hakijawahi kukataa maridhiano na kipo tayari ila hakiwezi kuyafanya haliyakuwa Mwemyekiti wake Tundu Lissu akiwa gerezani.
Heche amesema leo Novemba 10, 2026 akizungumza na waombolezaji katika msiba wa Alute Mughwai Lissu ambaye ni kaka wa Lissu uliofanyika Mahambe, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
"Tunataka maridhiano ya ukweli sio ya hila na uongo na hakuna mazungumzo yatafanyika Mwenyekiti wetu akiwa ndani na mimi namwambia Samia(Rais Samia Suluhu Hassan) mwenye majibu na matatizo ya nchi hii yupo Ukonga" amesema Heche
IJ Kimathi retweeted
‼️EXCLUSIVE‼️
Wale ambao hamkuweza kufika Mahakamani November 6, 2026 na mlitamani kumsikia Mhe. Lissu wakati anawashona Majaji kabla hawajasoma “Hukumu waliyopewa”.
Nimewaletea full clip ya Dakika 56 za Mhe. Lissu aisee ni noma na nusu.🙌
#FreeTunduLissu
















