Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM) Kenani Kihongosi amesema Rais Samia ameendelea kufungua milango ya maridhiano nchini, akieleza kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ambaye amehukumiwa jana, Novemba 6, 2026, CCM inamuombea apate nafasi ya kutoka gerezani.
HABARI:
Mbunge wa Viti Maalum, Sigrada Mligo akifafanua kuhusu kuhukumiwa jela miaka minne, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
HABARI:
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMA, Sigrada Mligo, amesema amepokea kwa maumivu makali hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa hakutarajia matokeo hayo.
HABARI:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametoa msimamo mkali wa Chama hicho baada ya Mweyekiti, Tundu Lissu kuhukumiwa kifungo cha Miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
HABARI:
Katika shauku ya kusubiri nini kitaamuliwa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mapema leo tayari baadhi ya watanzania na wanachama wa chama hicho wakiwa wameshawasili ndani ya ukumbi wa Mahakama
HABARI:
Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo jinsi yanavyoonekana Asubuhi hii ndani ya Jiji la Dar es salaam kuelekea Uamuzi wa kihistoria katika Hukumu ya Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ambayo itatolewa leo Novemba 6, 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania
HABARI:
Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amesisitiza kuwa watafanya siasa za kuhoji na kuchukua hatua dhidi ya matatizo yanayowasibu wananchi.
Amesema watakapofuatilia na kuona imeshindikana watachukua hatua za kufungua kesi Mahakamani.
HABARI:
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amesema ikiwa imesalia masaa machache kuelekea uamuzi wa Kesi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kuwa uamuzi wowote utaleta sura mpya dhidi ya Siasa za Tanzania.
Bungeni:
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe, ameomba mwongozo wa Spika akimtuhumu Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, kuipotosha Bunge kuhusu hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Lwatwe.
Bungeni:
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inalipa uzito suala la Katiba Mpya na kwamba taratibu za kisheria kuelekea utekelezaji wake zinaendelea.
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, CPA Charles Njama, amesema kamati hiyo imebaini ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa kiwanja cha mpira Arusha ikiwemo usanifu wa kiwanja.
HABARI:
Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, ameyasema hayo leo Novemba 4, 2026 wakati akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam
HABARI:
Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, amesema watanzania wanapaswa kutumia migogoro iliyopo Chadema kama sehemu ya kupima uwezo wao wa kuaminiwa kuongoza nchi.
HABARI:
Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, ameyasema hayo leo Novemba 4, 2026 wakati akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam
HABARI:
Diwani wa Kariakoo, Haji Manara, amewataka viongozi wa Serikali, vyombo vya usalama na taasisi za dini kutoa msimamo kuhusu kile alichokiita kuongezeka kwa matukio ya ushoga na usagaji nchini, akihoji kama jambo hilo limebarikiwa kimya kimya.
HABARI:
Familia ya marehemu Mzee Alute Mughwai Lissu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika Jumanne, Novemba 10, 2026, katika Kijiji cha Mahambe, nyumbani kwa marehemu mkoani Singida.
HABARI:
Aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amewataka wananchi kuikataa CCM, akidai chama hicho kimeshindwa kusimamia Serikali.
Bungeni:
Mbunge wa Viti Maalum, Josephine Kapoma, amesema hali ya madeni katika halmashauri inatia unyonge, akieleza kuwa baadhi ya wakandarasi na watumishi wamekuwa wakidai fedha zao kwa zaidi ya miaka 10 bila kulipwa.
