Tanzanite (@Tanzaiite) header
Tanzanite (@Tanzaiite) profile picture

Firm pursuit of justice 🇹🇿 Advancing universal human rights through transparency, systemic accountability & dignity."🌱No one is too small to make change 🕊️

Joined May 2026
Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)Photo by Tanzanite (@Tanzaiite)
mother’s love knows no bounds, and neither does her grief. For a year now, the family of Humphrey Polepole has endured "untold sorrow," looking for the truth behind his violent disappearance from Dar es Salaam. No family should have to carry this heavy burden of silence. As a widow who sacrificed everything to raise her children alone, Annamary Polepole never imagined facing a reality where her children would be taken. A year after Humphrey’s abduction, his family continues to search for peace, closure, and basic human dignity. 🕊️🌿#freehpolepole@ipu @hrw @UNGeneva @UPRinfo @SenTedCruz @SenatorShaheen @commonwealthsec @EUparliament @EPPGroup @ecrgroup @WHO @ilo
28
1
76
2,446
Tanzanite retweeted
Replying to @Tanzaiite
@judiciarytz @bunge_tz @tanpol Ni majanga kwa Taifa la Tanzania, ni taasisi ambazo zinabariki na Ujangili na Uharamia
1
1
38
Tanzanite retweeted
Retard slow a$s B🤬ch
7
25
750
Tanzanite retweeted
Tunalaani hukumu ya kifungo cha miaka minne jela dhidi ya kiongozi wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu wa Tanzania, Tundu Lissu! Lissu, ambaye aliteuliwa na vikundi vya ECR na EPP kwa ajili ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 (2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought), aliachiwa huru kwenye shtaka la uhaini lakini akapatikana na hatia ya uchochezi. Kikundi cha ECR kinasisitiza kuwa kuendelea kufungwa kwake hakukubaliki, hata kama hakabiliwi tena na adhabu ya kifo. Mwenyekiti Mwenza wa ECR @procaccininicola alisema: "Miaka minne bado ni miaka mingi sana. Tundu Lissu anapaswa kuwa huru. Hakuna mtu anayepaswa kupoteza miaka ya maisha yake kwa sababu tu ya kuwahoji walioko madarakani na kudai uchaguzi wa haki." Mwenyekiti Mwenza wa ECR @patrykjaki_official alisema: "Alinusurika kwenye risasi. Alinusurika uhamishoni. Sasa anasalia nyuma ya nondo kwa sababu za kisiasa. Hiyo siyo haki." Mbunge wa ECR @carlo.fidanza, aliyewasilisha jina la Lissu kwa ajili ya uteuzi huo, alisema: "Tulimteua Tundu Lissu kwa sababu alikataa kunyamazishwa. Hukumu ya leo inathibitisha kwa mara nyingine tena kwa nini suala lake ni la muhimu. Ulaya inapaswa kuendelea kudai kuachiliwa kwake." Mbunge wa ECR @kolsrihards, aliyeanzisha uteuzi huo kwa pamoja, alisema: "Huimariishi demokrasia kwa kuwafunga wapinzani wako. Unaiimarisha kwa kuwaruhusu wazungumze na kuandaa shughuli zao. Tundu Lissu anapaswa kuachiliwa na kuruhusiwa kurejea kwenye maisha ya kisiasa." Sincere thanks to the @davidmcallister @ecrgroup and @EPP groups for continuing to fight for justice and freedom for Tundu Lissu. Your voice matters immensely to us.🇹🇿
1
19
40
1,055
Jana mahakama imepakwa kinyesi inanuka 🤮🤮,ivi kweli msomi leo anapangiwa majukumu na vilaza wa kizenji ambao hawajui elimu ni nini ,hawajui matumizi ya elimu!?
1
28
104
2,826
Tunalaani hukumu ya kifungo cha miaka minne jela dhidi ya kiongozi wa upinzani na mtetezi wa haki za binadamu wa Tanzania, Tundu Lissu! Lissu, ambaye aliteuliwa na vikundi vya ECR na EPP kwa ajili ya Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 (2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought), aliachiwa huru kwenye shtaka la uhaini lakini akapatikana na hatia ya uchochezi. Kikundi cha ECR kinasisitiza kuwa kuendelea kufungwa kwake hakukubaliki, hata kama hakabiliwi tena na adhabu ya kifo. Mwenyekiti Mwenza wa ECR @procaccininicola alisema: "Miaka minne bado ni miaka mingi sana. Tundu Lissu anapaswa kuwa huru. Hakuna mtu anayepaswa kupoteza miaka ya maisha yake kwa sababu tu ya kuwahoji walioko madarakani na kudai uchaguzi wa haki." Mwenyekiti Mwenza wa ECR @patrykjaki_official alisema: "Alinusurika kwenye risasi. Alinusurika uhamishoni. Sasa anasalia nyuma ya nondo kwa sababu za kisiasa. Hiyo siyo haki." Mbunge wa ECR @carlo.fidanza, aliyewasilisha jina la Lissu kwa ajili ya uteuzi huo, alisema: "Tulimteua Tundu Lissu kwa sababu alikataa kunyamazishwa. Hukumu ya leo inathibitisha kwa mara nyingine tena kwa nini suala lake ni la muhimu. Ulaya inapaswa kuendelea kudai kuachiliwa kwake." Mbunge wa ECR @kolsrihards, aliyeanzisha uteuzi huo kwa pamoja, alisema: "Huimariishi demokrasia kwa kuwafunga wapinzani wako. Unaiimarisha kwa kuwaruhusu wazungumze na kuandaa shughuli zao. Tundu Lissu anapaswa kuachiliwa na kuruhusiwa kurejea kwenye maisha ya kisiasa." Sincere thanks to the @davidmcallister @ecrgroup and @EPP groups for continuing to fight for justice and freedom for Tundu Lissu. Your voice matters immensely to us.🇹🇿
1
19
40
1,055
Hii ndio mindset serikali haram imewatengenezea vijana wa Tanzania na judgement ya jana. Na siongelei comment hii tu. Vijana wananifata DM na WhatsApp wanaomba niwa connect na Kagame au Kabila wa Congo. This is getting out of hand.
@MariaSTsehai yani @mangekimambi asipumzike kwa sasa sisi vijana wa tz tunataka tuunganishwe na @JKabilaKabange1 na @PaulKagame lazima tudili na ccm walitangaza wana miliki majeshe ss sisi wazalendo hatuna jeshi lazima tudili na majeshi ya ccm
28
108
2
715
47,047
‼️TUMFARIJI TUNDU LISSU‼️ Kila anayeweza AFIKE kwenye msiba na aende kwenye mazishi ya Mzee Alute kumwakilishi Lissu Tuseme kwa pamoja 👉🏽 I AM TUNDU LISSU “Mimi ni Tundu Lissu” Kushindwa kumzika mpendwa wako kwa kuzuiwa na mafedhuli inauma sana! Naongea nikijua uchungu huu! Lissu, Heche na wanachadema walinifariji sana walipoenda kufariji familia yangu na kumzika Baba yangu! Sitasahau upendo huu! (Isipokuwa mnafiki dalali Lema huyu ❌) Kwa sasa kila anayeweza, kila mtanzania asimame na Lissu na familia yake katika huu msiba! #FreeTunduLissu
21
189
1
871
15,968
Mzee ameongea mambo MUHIMU sana
2
27
100
1,589
Walichemka kuja wazima wazima sasa mama yao kawaumbua
Machawa mnasemaje.. Walicho kisema kilikua cha uongo, maana mlishadadia sana Mwisho wa siku mmebaki midomo wazi Hongera @HildaNewton21 @MariaSTsehai ✌️
1
14
67
3,193
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri. Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
76
290
3
2,453
84,382
FREE TWAHA MWAIPAYA NOW
33
85
1,082
History will remember you nicely. Defending human dignity knows no boundaries
1
20
76
3,199
Tanzanite retweeted
HALAFU NISIKIE POYOYO YOYOTE ANAMFANANISHA DADA YANGU @mangekimambi NA UPUUZI WENU
13
70
1
776
18,444
Replying to @Tanzaiite
YUDA wa MCHAME HANA MAPUMBU. Wallah!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
1
2
61
Tanzanite retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa mabadiliko ya shauri la Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu, kutoka kesi ya uhaini aliyoiita ya kughushi hadi kesi ya uchochezi ni kiashiria cha siku ya ushindi kwa CHADEMA na Watanzania wote. Heche ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumhukumu Tundu Lissu kutumikia miaka minne jela kwa kosa la uchochezi. Heche ameongeza kuwa Lissu pamoja na viongozi wengine ni alama tu katika harakati hizo, na kwamba chama hicho kina viongozi wa kutosha kuendelea na mikakati yake bila kuyumbishwa.
6
69
2
506
17,726
Leo Samia kajua kuumiza umma 😢
1
27
403
13,883