STRANGER (@Defender2812) header
STRANGER (@Defender2812) profile picture

KARMA IS REAL

United States
Joined February 2024
Wanangu @Somalian28,@PCatnho @bukujero_1500 @jegaMaugali @dijei377 ,@Alberth_july hii ni account yangu mpya naombeni Repost zenu apa maana account yangu kuu ya @Somalian28 wameanza kuireport na Elon hachelewi kufanya yake
2
4
114
A new Prince in town? ๐Ÿคด #TotalEnergiesCAFCL
180
472
35
5,924
115,987
Kwa MASLAHI ya HAKI ya BINTI ALIYEBAKWA NA KULAWITIWA, ewe ndugu yangu MPENDA HAKI, tuwasiliane kwa namba 0718161406 ili kwa PAMOJA tuitafute HAKI ya BINTI. KOMESHA USHETANI.
146
525
11
2,973
124,361
Niwaonye sasa Wanangu, Msiombe hela, ombeni Kazi ili kuepuka aibu za Mitandaoni na kwa Jamii inayokuzunguka pia. Humu kuna watu tofauti tofauti na wenye nyazifa tofauti pia huwez kosa mtu wa kukupa kazi, kikubwa uwe na Heshima na Nidhamu tu โœ๏ธ
3
1
6
122
Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, TUMEFIKAJE hapa tena???!!!!๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ โฆ@SuluhuSamiaโฉ
953
991
99
7,155
312,234
#VIDEO Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kwenye maadhimisho ya siku uchangiaji viungo Duniani leo Hospitalini hapo. #EastAfricaTv #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari
153
31
15
322
63,946
Naanzisha Tatizo nalitatua mwenyewe Ili nisifiwe. Karibu Tanzania. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
25
30
4
756
24,660
Hivi kumbe mbilikimo anaweza kuzaa mtoto mrefu ๐Ÿ˜Š
82
33
4
1,576
66,551
Mwana wa mfalme anapooza rejeta na Maji ya GSM๐Ÿ’ง #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
42
132
1
3,160
35,312
Taja jina la dormitory yako pale advance nikwambie umesoma shule gani ๐Ÿ˜€
1,577
94
22
2,641
281,135
Siku mpya tunaanza na Mungu. Good morning โœŒ๏ธ
24
166
2
1,837
23,831
#TajiriLaKihaya Recite and Retweet, it will help you. Ayat Al Qursi- ndio Kiboko ya wachawi na Mashayatwinโ€ฆ GM๐Ÿซถ๐Ÿพ
6
36
106
2,656
Kuna maamuzi unaweza kuyafanya baadae ukaja kuona umefanya kosa kubwa..๐Ÿ™Œ
22
29
61
1,049
Wanatamani tushindwe ,tuanguke ,tuwaombe ,watunyime, wakatutangaze Mungu atujalie katika kazi zetu maana Kuna watu wanatutegenea๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ Gm family
5
5
10
188