
God First~Matt 6:33 || Mom's Daughter๐ซถ๐ซถ || Sub-Acc @PCatnho2 || Profession-TBI
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2024
- Tweets7.7K
- Following404
- Followers909
- Likes15K
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Mambo mazuri ya wanaoenda Jimu kufanya mazoezi kweli sio kupiga picha za kuja kunasa nazo watu mitandaoni ๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Ni kweli Mungu alijua kama shetani angehasi kutokana na mistari ifuatayo;
Zaburi 139:1โ4 โ Mungu anajua mawazo yetu hata kabla hatujasema neno.
Isaya 46:9โ10 โ Mungu anatangaza mwisho tangu mwanzo.
1 Yohana 3:20 โ Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu na anajua yote.
๐๐๐
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Baada ya takribani miezi minne ya jasho na damu hatimaye leo tunafika tamati haikua rahisi. ๐๐ทโโ๏ธ
Roadproject. โ
โ๏ธ
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Good morning watu wote
Hii kettle Lita 2.2
Tsh 23,000
0755693113
Mje nichukue mchemshe maji/chai
๐ Riverside karibu na Micasa
Popote ulipo vinakufikia ๐ฅ
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Good morning watafutaji
๐Hii inakusongea ugali vizuri kabisa
Tsh 130,000
0755693113
๐ Riverside karibu na Micasa
Mikoa yote tunatuma ๐ฏ
Naomba rt
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Quality imezimgatiwa 22000๐ฅ๐ฅ
Delivery โ
๐ mikoani tunatuma WhatsApp 0753103048
Kindly repost ๐โฅ๏ธ
Usidhihaki uumbaji bahna, haihusihaki kabisa na namna ya ukataji kitovu kwani kilichokatwa nacho hutoka hakibaki hivohivo.
This quoted post is unavailable.
59
Princess Catie ๐น๐ฟ retweeted
Tazama Roho wa Bwana iliniingia nikatabiri (11:09 AM~2022).
Au nayo mtasema ni AI ๐คฃ๐คฃ
Hata hivyo nimeimiss account yangu jamani, nichangieni niirudishe๐โโ๏ธ
Tazama Roho wa Bwana iliniingia nikatabiri (11:09 AM~2022).
Au nayo mtasema ni AI ๐คฃ๐คฃ
Hata hivyo nimeimiss account yangu jamani, nichangieni niirudishe๐โโ๏ธ
@MachilaTZA shikamo kaka habari za masiku, hatimaye maombi yako yakatiki๐
1
1
55



































