
No bio, just Chemistry.// Backup account @ZePlanmaster
Joined February 2022
- Tweets63.7K
- Following2.1K
- Followers15.7K
- Likes44.8K
Ze Planmaster retweeted
Maumuvu baada ya kumla mtu kisha ugundue hata hukuwa umempenda bali ulikuwa obsessed😮💨
Ze Planmaster retweeted
Nishawai kupima ukimwi majibu yakaonyesha kuwa nimeathirika, lakini baada ya miezi nane nikapima tena, majibu yakaonyesha sina maambukizi. Hii inawezekanaje?
Ze Planmaster retweeted
Baada ya miaka 15 ya kusambaza CV hatimae kijana wetu kapata kazi ya utingo am so proud of you 🥰🥰
Ze Planmaster retweeted
2016, nilihitimu kidato cha 4, BTW ningekufa kipindi hiki ningeenda mbinguni moja kwa moja sababu sikuwa na dhambi hata moja, 😄 🤣 😂
Ze Planmaster retweeted
Hiyooooo nini hiyooo??? Hiyooo luccie beauty spot hiyoooo
Karibu LUCCIE BEAUTY SPOT ewe mwanamke tubadilishe mwonekano wako wa nje na ndani
Tunafanya full make up, lashes na hairstyle installation
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar🤝
Ze Planmaster retweeted
Niliwahi kosa nauli ya dala nilipomuomba kondakta anisaidie akanambia huwa hasaiidii bure, akanipa kazi.
Picha linaanza akatafuta siti akakakaa akanambia kazi yangu iwe ni kuita abiria kila kituo.
Route ya masaa mawili niliita vituo kama kumi hivi hapo ni kupandisha abiria na kuwashusha.
Mwisho wa safari jamaa alikuwa muungwana ajabu akanipiga na ganji ya buku mbili akasema nikagide safari lager🙌🏾
Na kweli nikapitia kiosk nikagida safari moja kujipongeza kwa kazi nzito.
Mungu ambariki sana yule kondakta alikuawa anaitwa Mashaka simsahau hiyo ni 2017
Ze Planmaster retweeted
Duka lako ikishakuwa kuingia ndani mpaka uvue viatu, Funga ilo duka unacheza wewe🙌🏾
Ze Planmaster retweeted
TAARIFA!
Nitoe ONYO kwa wanawake wote wanaokuja DM kwangu kunitongoza na wengine wakidiriki kunitumia picha zao za utupu. Nawataarifu kua Mimi nimeoa na Nina watoto watatu na ninampenda Sana mke wangu Elsa.
_END.
Ze Planmaster retweeted
Nawakumbusha wanaume wenzangu si mmeona kulivyo kimya hata sisi hatujui kama leo ni worlds men day basi ndivyo no one is coming to save you🫵
Happy men’s day wanangu wote🤝
Ze Planmaster retweeted
Mimi binafsi siwezi kuachana na mwanamke halafu nikamwombea mema, Hahaha mimi tukiachana ni vita vita tu.
Ze Planmaster retweeted
Mafumbo hayasaidii nyakati hizi, we tuambie ulipataje hela ukawa tajiri namba moja tz
Ze Planmaster retweeted
Hivi karibuni kuna sehemu nilikuwepo kwenye ubarozi wa inchi moja ya Ulaya SALIM KIKEKE alikuwepo pia
Guess what walimtambulisha kama ndiye mmiliki wa CLOWN MEDIA?? Sio yeye aliyejitambulisha hivyo ni Deputy Chief of Mission wa ubarozi ndiye aliyemtambulisha.
Mdau akanipenyezea nyingine kuwa hivyo viwanja anavyo tangaza ni mradi wake pia(Hili sina uwakika nalo)
Sema hapa recent nimeona watu wanamuandama kuhusu downfall yake kutoka BBC
Hakuna cha downfall kutoka BBC. Ukitoa kugombea ubunge na drama zake alizoleta kipindi cha mitikasi ya ubunge na ukizangatia upande aliouchagua na yaliyotekea hapo ndio alizungua
Ila BBC kulikuwa hakuna issue kuanzia 2022 baada ya BBC kufanya Restructuring na budget Cuts na kurudi Africa(BBC swahili)
Ze Planmaster retweeted
Mwanaume mpambafu ni yule anae mpiga mke wake kwa ngumi na mateke ukizingatia wewe ndo ulimshawishi kuishi nae mtoto wa watu hakukulazimisha.
Ze Planmaster retweeted
kipindi kigumu hakimaanishi wewe umefika mwisho.
Kinaweza kukufundisha kuangalia maisha kwa namna nyingine.
Kinaweza kukufundisha kutumia kidogo ulicho nacho kwa hekima.
Kinaweza kukufundisha kutafuta njia mpya.
Kinaweza kukufundisha watu wa kweli wanaosimama na wewe.
Ze Planmaster retweeted
Good morning.
Mali nzuri zinapatikana @ramamobilehub
wa.me/255747151944























