STRANGER (@Defender2812) header
STRANGER (@Defender2812) profile picture

KARMA IS REAL

United States
Joined February 2024
A new Prince in town? 🤴 #TotalEnergiesCAFCL
180
472
35
5,924
115,987
Kwa MASLAHI ya HAKI ya BINTI ALIYEBAKWA NA KULAWITIWA, ewe ndugu yangu MPENDA HAKI, tuwasiliane kwa namba 0718161406 ili kwa PAMOJA tuitafute HAKI ya BINTI. KOMESHA USHETANI.
146
525
11
2,973
124,361
Niwaonye sasa Wanangu, Msiombe hela, ombeni Kazi ili kuepuka aibu za Mitandaoni na kwa Jamii inayokuzunguka pia. Humu kuna watu tofauti tofauti na wenye nyazifa tofauti pia huwez kosa mtu wa kukupa kazi, kikubwa uwe na Heshima na Nidhamu tu ✍️
3
1
6
122
Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, TUMEFIKAJE hapa tena???!!!!😭😭 ⁦@SuluhuSamia⁩
953
991
99
7,155
312,234
#VIDEO Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kwenye maadhimisho ya siku uchangiaji viungo Duniani leo Hospitalini hapo. #EastAfricaTv #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari
153
31
15
322
63,946
Naanzisha Tatizo nalitatua mwenyewe Ili nisifiwe. Karibu Tanzania. 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
25
30
4
756
24,660
Hivi kumbe mbilikimo anaweza kuzaa mtoto mrefu 😊
82
33
4
1,576
66,551
Mwana wa mfalme anapooza rejeta na Maji ya GSM💧 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
42
132
1
3,161
35,312
Taja jina la dormitory yako pale advance nikwambie umesoma shule gani 😀
1,577
94
22
2,641
281,135
Siku mpya tunaanza na Mungu. Good morning ✌️
24
166
2
1,837
23,831
#TajiriLaKihaya Recite and Retweet, it will help you. Ayat Al Qursi- ndio Kiboko ya wachawi na Mashayatwin… GM🫶🏾
6
36
106
2,656
Kuna maamuzi unaweza kuyafanya baadae ukaja kuona umefanya kosa kubwa..🙌
22
29
61
1,049
Wanatamani tushindwe ,tuanguke ,tuwaombe ,watunyime, wakatutangaze Mungu atujalie katika kazi zetu maana Kuna watu wanatutegenea🙏🙏🙏 Gm family
5
5
10
188
STRANGER retweeted
"Kumekua na ongezeko kubwa la ajira"
101
47
5
794
127,907
YUSUPH KAGOMA AMESHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA AFRIKA. Kwa mujibu wa vyanzo vyangu shauri la Yusuph Kagoma pale TFF ambapo Yanga walishtaki ni kuwa Mchezaji huyo amesaini timu mbili kati ya Yanga na Simba, hivyo adhabu ya double signing ingekuwa ni kufungiwa kwa muda kujihusisha na soka. Upande wa utetezi wa Yusuph Kagoma ni kuwa ni kweli alisaini kandarasi na Yanga na klabu hiyo iliilipa Fountain Gate ada ya uhamisho ya Mchezaji huyo kutoka Kigoma. Lakini kwenye mkataba ambapo Kagoma alisaini na Yanga kulikuwa na suala la maslahi binafsi ambapo Yanga walipaswa kutekeleza ndani ya muda maalum na mkataba unakuwa halali punde baada ya mambo hayo kukamilika na kupandishwa kwenye mfumo. Taarifa kutoka kwenye vyanzo ni kuwa Yanga hawakutekeleza matakwa ya Mchezaji ndani ya muda hivyo mkataba ukafa kifo cha asili, ndipo Simba walipoingia wakipeleka dau kubwa zaidi Singida na maslahi mazuri zaidi kwa Mchezaji na nyota huyo akasaini Simba. Fedha ambayo Yanga walishailipa kuelekea Fountain Gate kwa ajili ya Kagoma ndio ikabadilishwa na kuwa ndio ada ya uhamisho wa Mchezaji Aziz Andambwile ambaye kwasasa yupo Jangwani. Kwa maana hiyo Yusuph Kagoma ni Mchezaji halali wa Simba na hakupokea malipo yoyote kutoka kwa Yanga bali Yanga walifanya malipo kwa klabu yake ambapo kwakuwa wao ndio Wamiliki wa Mchezaji ndio waliofanya biashara na Simba ambayo ilikuwa kubwa zaidi. KAGOMA kwasasa ni Mchezaji halali wa Simba pamoja na VALENTINO MASHAKA ni Mchezaji halali wa Simba, wameshinda kesi zote mbil imesalia ya AWESU AWESU dhidi ya KMC ambapo majibu ni kesho. MASHAKA✅ KAGOMA✅ AWESU ⏳ VISIT MOROGORO🇹🇿
172
111
12
2,063
98,654
Tumerudi kazini🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
61
169
9
2,672
39,204
Nilikua Naangalia Bei Za Apartments kwenye nchi moja ya Europe Naona kabisa zipo friendly £400 per month 1 room studio nihamie Huko sasa hii Tz ishakua ya mateso Tu 🚮🚮
23
33
3
527
22,495
UKALI HUU
1
3
49
Katika purukushani ya jana Mbeya, wakati Polisi wanamkamata SUGU na KM John Mnyika na kuwaweka katika gari yao, Landcruiser Hardtop kuwapeleka Makambako na Iringa, SUGU na Mnyika walipigwa sana na walipoteza $5,000 (TZS 13.5 milioni) na TZS milioni 3 na simu zao zote.
87
193
5
1,658
69,840