Pinned Tweet
Ukitazama Kundi C Kombe la Shirikisho.
Sisi ndio wababe hapa hakuna kitakachobadilika.
Msimu huu ni muda Wa kuleta Kombe la Shirikisho ndani ya Tanzania.
2
17
1,643
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
Kikosi Cha Wachezaji wanaochukuliwa poa ila ni balaa NBC (Underated player)
1. Mbisa (Dodoma Jiji)
2. Mwaikenda
3. Hance Masoud
4. Toure
5. A.Bikoko
6. Himid
8. Mudathir
10. Khelfin Hamdun
7. H.Lukindo
11. J.Mboma
9. C. Toure
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
Kikosi Cha Taifa Stars Dhidi ya Nigeria.
5-3-2
Manula
Chilambo
Mligo
Mnoga
Mwamnyeto
Job
Himid Mao
Msangi
Novatus
Kibu
Kachwele
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
POLISI TANZANIA NA YANGA KUCHEZWA UWANJA WA AMANI ZANZIBAR.
Klabu ya Polisi Tanzania Imekubali ombi la Yanga kucheza Mchezo wao wa Nyumbani kwenye Uwanja wa Amani Zanzibar licha ya Mchezo huo ilibidi uchezwe Uwanja wa Ushirika Moshi.
mechi itachezwa tarehe 20 mwezi huu.
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
IBRAHIM DOUMBIA AITWA TIMU YA TAIFA YA MALI.
Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Doumbia Ameitwa kwenye Timu Ya Taifa ya Mali kujiandaa na Mchezo wa Kufuzu AFCON 2027 Dhidi ya Rwanda.
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
KAMA KAWAIDA SIMBA KABEBWA HAKUNA PENATI PALE.
Simba kabebwa Dhidi ya NAMUNGO FC mwamuzi katoa Penati ya uongo Pale Doumbia kajilushia kwenye mguu wa Mchezaji wa Namungo wakati anataka kuokoa mpira.
kwa Hali Hii Ubingwa Msimu huu ni wa Simba.
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
RASMI STEVE BARKER KUONDOKA SIMBA BAADA YA MCHEZO WA NAMUNGO.
Mshahara ambao Steve Barker atapewa na Mamelod ni mara tatu ya ule unaoupokea Simba.
Ameshawasiliana na Viongozi WA Simba kuwa anataka kuvunja Mkataba wake uliosalia wa miezi miwili sababu mamelod wanamuitaji haraka.
SINGIDA BLACK STARS SC retweeted
Unaambiwa ipo mpaka ya Kajala sijui itakuwaje aiseeee
馃槼馃槼馃槼馃槼馃槼馃槼馃槼馃槼


















