Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Kama hayo mambo ya utamaduni hayapo mbona Kuna wizara ya Sanaa,utamaduni na michezo? Mama anaupiga mwingi sana anapiga kote bila ubaguzi,anavutia watalii na kuitangaza Tanzania yetu kimataifa,sio tu michezo,watu wawe na uwelewa..wanasoma sana uelewa zero.. @ChademaTz nyumbu Fc
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
#Natabiri Wakati unakuja ambao tutazisikia hotuba za Magufuli kuliko hotuba zozote Tanzania na zitatumika kama dira ya taifa #Melech2021
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Replying to @Chipesi2 @moodewji @SimbaSCTanzania @freemanmbowetz @ChademaTz @Princess_mcute @jjmnyika @HecheJohn @HKigwangalla
Andiko lako linaufunguo majadiliano mazuri sana, madaraka nikupishana na kuachiana madaraka kwa amani na upendo mwingi
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
CHADEMA matukio ya kigaidi na ujambazi walianza kuyafanya siku nyingi na walikuwa wakiyafanya wanalisingizia Jeshi la Polisi na CCM kuwapumbaza wananchi. Msisahau mratibu wa matukio yote ni MBOWE. TUKISEMA MBOWE GAIDI TUNAMAANISHA.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Replying to @IssackMwakalobo
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
🇨🇩 @TPMazembe have named their 23-man squad that will travel to 🇹🇿 Tanzania to play @SimbaSCTanzania in the 2021 Simba Day celebration!
Strong team from the Congolese. 🔥
#NguvuMoja #SimbaDay2021 #TPMazembe
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Yaani chadema kuchukua nchi bado sana, hebu angalia kampeni zote hizi lakini wameambulia patupu
@_zackabdul @Chiggscom @MankindUwezo @Chipesi2 @Sisimizi3
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Huu ndiyo ulikuwa msingi wa @MagufuliJP kuamua kutumia watalaam wa ndani kutoka katika vyuo vyetu na hata kufikiria kuwatengeneza Mabilionea100 wa Kitanzania. Waziri viwanda @kitilam unaweza kutumia ushauri wa Baba wa Taifa kuangalia upya sera ya ufanyaji Biashara na uwekezaji TZ
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Serikali ya Rais @SuluhuSamia lazima ijue hizi pesa za TOZO zinapatikana kidhulma.
Tax-rate ya TOZO inaongezeka kadri kipato cha mtoaji kinavyopungua. Hii ni REGRESSIVE TAXATION.
Nimemueleza Wzr @mwigulunchemba1
Pia MATAAJIRI hawatumii hii miamala.
Mama,
fikiria Octoba 2025.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
A F A R E W E L L L E T T E R to my family @simbasctanzania – at Dar es Salaam, Tanzania
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Mfano: @MsigwaPeter anawatoto wakubwa ambao Baba yao anakamatwa mara kadhaa, Umewahi kuwaona Wakikamatwa kwenye maandamano? Au mtandaoni akitukana hovyo hovyo? Nyumbu SHTUKA Msigwa anakanya watoto wake na kuwatuma nyie chambo mkafundishwe sheria kwa Shuruti.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Umenichekesha sana
Mambo ya DJ Bonny Love na DJ Richie Dillon ndani ya Chadibwa Beach, Kigamboni Jumamosi
xitter.cf/BloodsareCrips/status/…
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Kwa hiki kinachoendelea Zambia kwa mpinzani Hakainde Hichilema kuelekea kushinda kiti cha urais nadhani ni funzo tosha kwa vyama vilivyopo madarakani kufanya vizuri zaidi bila hivyo vitakutana na hasira za wananchi kwenye sanduku la kura,ccm ilipoteza matumaini lkn JPM na Samia👇
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Halfu waambiewawe wakweli wasifiche watz kwani hata kusema kuwa kuna uwezekano kuwa kati ya watu millioni watu laki moja watapatwa na ugonjwa wa mishipa ya fahamu (Guillain-Barré syndrome) kuna shida gani. FDA ya US ishatoa angalizo kuhusu J&J ambayo tunachomwa TZ.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Sisi sote ni Watanzania wenye uhuru wa kuchagua, msimamo wetu kuhusu chanjo ni ule ule.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Tunapohoji usalama wa chanjo tusipewe majibu mepesi mepesi ni kwa ajili ya kesho yetu na vizazi vyetu. @UsalamaWaTaifa @CossenyEdward @yonapavea @MankindUwezo @Chipesi2 @_zackabdul
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Walioshangilia kwa vifijo na vibwebwe kwa kutaka Sabaya asulubiwe huku wakisema mahakama imetenda haki ndio hao hao wakati huu wanaiona mahakama ni hovyo baada ya mwenyekiti wao kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi.Hii ndio waswahili wanasema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.



































