Joseph Ibrahim (@josephmtata) header
Joseph Ibrahim (@josephmtata) profile picture

Uzalendo kwanza kataa umediocre

Joined October 2020
Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)Photo by Joseph Ibrahim (@josephmtata)
PONGEZI NYINGI KWA SPIKA JOB NDUGAI
1
1
1
NDUGAI SPIKA WA MCHONGO, AMTISHIA KUMCHAPA BAKORA MWANDISHI WA HABARI 2017 Mwandishi : Mhe. Ndugai unazungumziaje kitendo cha Serikali kukopa? Ndugai : Mwandishi Nchi zote Duniani, zinakopa hakuna Serikali isiyokopa, hata Serikali ya Kijiji inakopeshwa Visima na Wawekezaji.
1
2021 Ndugai : Juzi Mama alikopa Trilioni 1.3 Wasomi mnafurahia, tunapoelekea nchi Yetu itapigwa mnada. Mwandishi : Wewe si ulisema Kukopa sio dhambi hata Mataifa makubwa yanakopa, na uzuri zaidi Mama amekopa na tunaona madarasa yanajengwa.
1
Ndugai : Nyinyi mnatudharau sana Wagogo, halafu Mwandishi umenitukana, Wamchongo ndiyo nini bahati yako uko mbali ningekuchapa bakora, kaulize Kongwa wananijua hawanichezei hovyo mimi.
Joseph Ibrahim retweeted
*RAIS SAMIA KWA HILI, AMEANDIKA HISTORIA KUBWA* Na Mwl Udadis, Moja kati ya changamoto kubwa ambayo imekuwa mwiba kwa kila mhitimu wa Elimu ya juu hususani wanufaika wa mikopo ya HESLB imekuwa tozo ijulikanayo kama VRF ( Value retention fee) kiasi cha asilimia sita.
2
5
18
Miezi 9 ya Rais @SuluhuSamia Ikulu imetimia leo huku kwa kasi akituboreshea; ■ Uchumi ■ Demokrasia ■ Uhuru wa Kujieleza na Habari ■ Haki za Binadamu ■ Ajira ■ Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa ■ Uwekezaji ■ Ulinzi na Usalama ■ Umoja wa Kitaifa #SisiTumekubali
1
1
3
Haka Kajamaa Nani Anaamini Yangekuja Kutokea Haya🤣 Haka Kajamaa Kalikuwa Kanakwenda Ikulu Kwa Mwendazake Harafu Kanatoka Kanasema Nimetumwa Kusema Hivi...Kalikuwa Kana Nguvu Kuliko Maza Akiwa Deputy🤣 Leo Kanagongwa Spana Hadi na Aliyokuwa Anawapa Maelekezo ya Kutushughulikia🤣
2
12
1
52
Joseph Ibrahim retweeted
Announcing the World's 100 Most Powerful Women of 2021: on.forbes.com/6017JSX4c #PowerWomen
90
283
105
879
Joseph Ibrahim retweeted
Jarida la Forbes limemtaja Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kuwa mmoja wa Wanawake 100 wenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2021 (World's 100 Most Powerful Women of 2021). Orodha hiyo huangazia watu waliotumia nafasi zao kwenye sekta mbalimbali kuleta matokeo chanya kwenye jamii.
20
24
1
224
Ya kweli haya Davido kashidwa kununua hii ndinga au Madawa yanaongea sio yeye 🤣🤣🤣🤣🤣
Leo ndio Leo, unaanzaje kukosa huu MJADALA, ifikapo saa kumi tuungane na wenzetu @watchtz kujadili mafanikio na changamoto za miaka 60 ya Uhuru. #SISITUMEKUBALI #KAZIIENDELEE
7
Joseph Ibrahim retweeted
Ufipa nzima inajadili Udokta wa Msukuma kwa nguvu kuliko inavyojadiliwa Katiba Mpya🤔 Tukigusia ILIMU ya Mwenyekiti, ni Ufipa hawa hawa hurusha ngumi na mateke.Ufipa wanaoshabikia Man Utd, Rashford alipotunikiwa Tuzo ya Heshima na kuwa Member of British Empire (MBE) wakapongeza😂
1
2
6
Joseph Ibrahim retweeted
"Kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa mianya mingi ya upotevu wa mapato. Mianya hii inatokana na kukataa kwa makusudi kuweka mifumo madhubuti ya ukusanyaji wa mapato na mifumo inayosomana baina ya bandari na Mamalaka ya Mapato Tanzania." - Rais Samia Suluhu #mamayukokazini
2
8
13