Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2) header
Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2) profile picture
Joined October 2019
Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)Photo by Chipesi Mrs (@zackAbdul) (@Chipesi2)
Indeed
BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ? Twende na uzi 👇 #ElimikaWikiendi
2
1
4
Kheri kwako ya kumbukizi ya kuzaliwa kwako madam Rais @SuluhuSamia uishi miaka mingi @ccm_tanzania na watanzania kwa ujumla tunakuombea kheri
1
4
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Kama hayo mambo ya utamaduni hayapo mbona Kuna wizara ya Sanaa,utamaduni na michezo? Mama anaupiga mwingi sana anapiga kote bila ubaguzi,anavutia watalii na kuitangaza Tanzania yetu kimataifa,sio tu michezo,watu wawe na uwelewa..wanasoma sana uelewa zero.. @ChademaTz nyumbu Fc
6
12
1
56
Mzungu bwana anatafuta anamtafuta mteja wa chanjo kila kona baada ya hili tishio kwenu wanaume watakuja hapa @WHO na taasisi nyingine watawaambia Chanjo inaongeza nguvu za kiume ili mpate chanjo kwa wingi😂😂😂 Dah wakati kume mtu unamastress kibao hizo mbegu utakuwa nazo basi
2
4
2
10
Mara paaAAA muuza mayai ubungo @ExMayorUbungo usikie kaiba V8 ya pilato 😀😀😂😂😂😂
1
2
2
Wanaume mnao jitwika majukumu msiyokuwa na uwezo navyo ninyi ni tatzo. Daima mbele nyuma mwiko @ccm_tanzania
1
5
Dah! Kuna kila dalili za mwaka huu 2022 naona unakuja vizuri asante @ccm_tanzania kwa kunipa kazi ya kukipigania chama na serikali hapa mtandaoni. Nimepata nguvu zaidi ila niliwa miss babya #DrzackAbdul kupambana pamoja
5
1
7
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma amechukua fomu ya kugombea kuwa Spika wa @bunge_tz la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mchana huu hapa katika Ofisi ndogo ya @ccm_tanzania Lumumba Dar es salaam. #MARAPAAA KASHEKU MS SPIKA😃😃😃😃
1
Leo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa @SuluhuSamia, amefungua Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Z'bar, katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. #MapinduziDaima #KaziIendelee
1
1
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
#Natabiri Wakati unakuja ambao tutazisikia hotuba za Magufuli kuliko hotuba zozote Tanzania na zitatumika kama dira ya taifa #Melech2021
14
18
4
93
Tafadharini tunaqaomba jeshi la @tanpol kuingilia kati suala hili kama lina ukweli ili hatua za kisheria zichukue mkondo wake
1
2
Wakati mwingine wanasiasa huibua vita vyenye lengo la kuficha uozo wanao ufanya kusudi wananch wasiweze kubaini maovu ya sambamba na kujenga wigo wa kujificha wana jifeed na kufeed watu wao. #MsioneWatuwanahangaika
1
3
Pale Bishop wa mchongo anajisahau kutokana na stress za kukosa sadaka baada ya kukikimbiwa na waumini. Kamwe @josepmwingila anapaswa atambue kuwa mkaidi hafaidi mpk siku ya idd.
Spika wa @bunge_tz Job Ndugai anapaswa akumbushwe kwamba hata zamani zile pesa za matibabu yake ya 150ml per day, hazikuwa zao la kuchangishana wa tozo zilikuwa sehemu ya mkopo hivyo yy ni miongoni mwa waliofidimiza taifa hali kwa kutumia mkopo vibaya.
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
Andiko lako linaufunguo majadiliano mazuri sana, madaraka nikupishana na kuachiana madaraka kwa amani na upendo mwingi
1
1
Umenena vyema ukifanya hivyo lazma watakwita dikteta huu ulimwengu kwa nn mungu ametuacha hata bila kuja kutunulia hali so sad . Kweli tuendlee kumuomba mungu atupe macho tuweze kuona sawa sawa
Hakuna taifa la kibepari lolote linaweza kukupa ela ujenge SGR, ununue ndege, ujenge flyovers, ujenge bwawa la umeme ambao kwao ni uharibifu wa mazingira, ujenge madaraja makubwa. Watakupa mikopo ununue chanjo za corona, ujenge matundu ya vyoo, upande miti basi. Ndo ushenzi wao
2
6
11
Mwenyez mungu azilaze pema peponi roho za marehemu
This quoted post is unavailable.
2
1
Mfano wa viongozi bora katika dunia mtu kaweka bilions zake za kutosha lakini ana amini katika kupokezana uongo safi sana @moodewji kwa kuiongiza @SimbaSCTanzania Kun mtu hajaweka hata mia mbovu lakini ni mwenyekiti wa maisha. @freemanmbowetz iga hii @ChademaTz huna hati miliki
5
2
7
Chipesi Mrs (@zackAbdul) retweeted
CHADEMA matukio ya kigaidi na ujambazi walianza kuyafanya siku nyingi na walikuwa wakiyafanya wanalisingizia Jeshi la Polisi na CCM kuwapumbaza wananchi. Msisahau mratibu wa matukio yote ni MBOWE. TUKISEMA MBOWE GAIDI TUNAMAANISHA.
3
3
7