DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo) header
DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo) profile picture

MTANZANIA HALISI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Joined October 2021
Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)Photo by DUNGAMAWE OG (@SebastianKombo)
RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIZUNGUMZA TANGANYIKA PACKERS Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM, katika Viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar leo Agosti 28.2025.
9
Katika kazi, Ikulu, Chamwino leo nilipata pia wasaa wa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Mwabukusi.
89
91
3
627
43,204
Simba SC imetangaza kumsajili Selemani Mwalimu kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Wydad Casablanca ya nchini Morocco. Kabla ya kujiunga na Wydad Mwalimu alikuwa akiichezea Fountain Gate.
10
211
5,280
Matukio ya picha katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Dar es Salaam ambapo uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) unafanyika leo.
8
Maelfu ya wanachama, wafuasi na mashabiki wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa katika shamrashamra za uzinduzi wa kampeni za mgombea wa Urais wa chama hicho, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, zinazofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi, Agosti 28, 2025.
4
1
1
15
1,888
Leo nimepata heshima kubwa ya kutunukiwa Tuzo Maalum ya Heshima na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama njia ya kutambua kazi kubwa inayoendelea kufanywa kuimarisha ustawi wa wananchi na maendeleo ya Taifa. Sauti ya Bunge ni sauti ya wananchi. Ahsanteni sana. Hakika, kidole kimoja hakivunji chawa. Mafanikio tunayojivunia leo si nguvu, uhodari au maarifa yangu pekee, bali ni matokeo ya mipango mbalimbali ya nchi yetu na maelekezo ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025. Aidha, ni matunda ya kazi kubwa inayofanywa na Bunge letu ya kuisimamia na kuishauri Serikali. Nimepokea tuzo hii kwa niaba ya Watanzania wote. Ninawashukuru nyote kwa kazi kubwa tunayoendelea kuifanya kwa pamoja kuleta maendeleo kwa Taifa letu, huku tukibaki kuwa wamoja, wenye amani na mshikamano.
740
239
51
1,651
226,775
DUNGAMAWE OG retweeted
Wazee wa tone tone wanasema jana walikusanya million 5, wataalam wa fedha kwa kuangalia hapa unahisi hizi ni shilingi ngapi?
9
6
2
20
2,152
🚨EXCLUSIVE: MSIMU UJAO MOTO UTAWAKA | FEISAL NA MABULULU KUUNGANA NA MPANZU | SIMBA AHMED ATAMBA🙌🙌👇:>youtu.be/0C9zZKPyPFE
2
3
75
7,298
DUNGAMAWE OG retweeted
Kumbe kwenye mikutano yao ni kundi kubwa sana la Mhe.Rais linaendaga kusikiliza porojo za hawa viumbe, tukutane October
33
17
14
42
12,185
#SupaBreakfast: - Ukisiaka kuhusu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ni kitu gani kinakujia kichwani? Kwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio #EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka #EATV2025
92
5
2
282
24,683
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso leo Alhamisi tarehe 8 Mei 2025, amewasili katika viunga vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari kuwasilisha Bajeti ya Mageuzi Sekta ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2025/26.
1
17
2,236
📢 Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesamehe faini za maji kwa Wananchi wote wenye faini katika Mamlaka za Maji nchini hivyo wenye faini wameombwa kufika kwenye Mamlaka hizo kwa ajili ya kurejeshewa huduma ya maji ambapo wanatakiwa kufika kuanzia sasa hadi May 31,2025. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametangaza msamaha huo kutoka kwa Rais, leo May 08,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2025/2026. Aweso amesema “Ninapenda kutoa salamu za Wizara ya Maji kwa Wananchi wote wenye faini katika Mamlaka za Maji kuwa Mama Samia amesamehe faini hizo na hivyo wafike kwenye Mamlaka kwa ajili ya utaratibu wa kurejeshwa huduma ya maji hadi tarehe 31 Mei 2025” “Wateja wote wenye madeni kwenye Mamlaka za Maji (ikiwemo waliokatiwa maji kwasababu ya madeni) wafike ofisini kwa ajili ya kupewa utaratibu wa kulipa madeni yao na kurejeshwa huduma mara moja” #Umoja_digital #UmojaDigital
1
2
21
DUNGAMAWE OG retweeted
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Palamagamba Kabudi akiwa Bungeni Jijini Dodoma leo May 08,2025 kwa niaba ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kwamba Serikali itawapa Simba SC ndege kuelekea Morocco kwenye mchezo wa fainali. “Baada ya mafanikio makubwa ya Simba na sasa inaingia kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho linaloandaliwa na CAF, Simba inakwenda Morocco kupambana na RS Berkane na Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Dr Samia imefanya maamuzi ya kutoa ndege itakayoipeleka Klabu ya Simba Morocco kwa ajili ya mchezo huo” Maamuzi hayo yamefanyika kama sehemu ya jitihada za Serikali za kuipunguzia Simba umbali wa safari na uchovu, Simba SC kwenda Morocco kwa ndege ya abiria kungewafanya wazunguuke na kutumia muda mwingi njiani kutokana na kulazimika kupita nchi tofautitofauti kwa ajili ya kuunganisha ndege. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais Samia kuzisaidia timu za Tanzania Kimataifa (Simba na Yanga) ili kuhakikisha zinafanya vizuri, kwani hata baada ya Yanga kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika June 3 2023 dhidi ya USM Alger alitoa ndege iliyoipeleka timu Algeria na kuirudisha Dar es salaam. #MillardAyoUPDATES
83
95
5
2,340
94,027
Chadema kumejaa chuki na udikteta
9
"Mimi ni shahidi, mwaka 2021 hali haikuwa hii, maana yake watumishi wa umma wameimarika na hakika mnatembea katika ndoto za Rais wetu anayetamani kuona utumishi wa umma ukiwa ni fikra za kuwatumikia wananchi katika maeneo yetu." - Mohamed Mchengerwa, Waziri wa TAMISEMI
10
5
1
283
21,417
VIDEO: Mnamo tarehe 2 Mei 2025, majira ya asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilipokea taarifa kutoka kwa Bi. Sije Mbugi Emmanuel, mwenye umri wa miaka 31, mkazi wa Iwambi na mke wa Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude, kuhusu tukio la kuvamiwa kwao na watu wasiojulikana. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tukio hilo lilitokea saa 2:00 usiku katika Mtaa wa Ivanga, Kata ya Iwambi, Jiji la Mbeya, ambapo watu hao walivunja mlango na kuingia ndani ya nyumba yao, kisha kumjeruhi Bw. Mpaluka sehemu mbalimbali za mwili wake kabla ya kumchukua na kuondoka naye kusikojulikana. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linapinga vikali taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zinazodai kuwa askari polisi wamehusika na tukio hilo. Jeshi linaendelea na uchunguzi na juhudi za kumtafuta Bw. Mpaluka Said Nyagali @ Mdude pamoja na kuwabaini wahusika wa tukio hilo ili wachukuliwe hatua za kisheria. Jeshi la Polisi linatoa wito kwa mtu yeyote mwenye taarifa kuhusu mahali alipo Bw. Mpaluka au kuhusu wahusika wa tukio hilo kuwasilisha taarifa hizo kwa vyombo vya usalama ili kusaidia kukamilisha uchunguzi na kuchukua hatua stahiki. Cc @tediusfeston
4
3
27
1,747
DUNGAMAWE OG retweeted
MKAKATI WA KUINGIZA NCHI KWENYE MACHAFUKO Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi. Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi. Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote. Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne? Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia? *Hii sio bahati mbaya hata kidogo.* *_Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.*_ Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo. Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni _*‘trigger point’*_ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi. Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa! Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
2
3
2
179
Tusipokuwa makini chadema wataleta machafuko nchini
7