Kheri kwako ya kumbukizi ya kuzaliwa kwako madam Rais @SuluhuSamia uishi miaka mingi
@ccm_tanzania na watanzania kwa ujumla tunakuombea kheri
Mzungu bwana anatafuta anamtafuta mteja wa chanjo kila kona baada ya hili tishio kwenu wanaume watakuja hapa @WHO na taasisi nyingine watawaambia Chanjo inaongeza nguvu za kiume ili mpate chanjo kwa wingi馃槀馃槀馃槀
Dah wakati kume mtu unamastress kibao hizo mbegu utakuwa nazo basi
Mara paaAAA muuza mayai ubungo @ExMayorUbungo usikie kaiba V8 ya pilato 馃榾馃榾馃槀馃槀馃槀馃槀
Wanaume mnao jitwika majukumu msiyokuwa na uwezo navyo ninyi ni tatzo.
Daima mbele nyuma mwiko @ccm_tanzania
Dah! Kuna kila dalili za mwaka huu 2022 naona unakuja vizuri asante @ccm_tanzania kwa kunipa kazi ya kukipigania chama na serikali hapa mtandaoni.
Nimepata nguvu zaidi ila niliwa miss babya #DrzackAbdul kupambana pamoja
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Musukuma amechukua fomu ya kugombea kuwa Spika wa @bunge_tz la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mchana huu hapa katika Ofisi ndogo ya @ccm_tanzania Lumumba Dar es salaam.
#MARAPAAA KASHEKU MS SPIKA馃槂馃槂馃槂馃槂
1
Leo Januari 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa @SuluhuSamia, amefungua Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Z'bar, katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
#MapinduziDaima
#KaziIendelee
1
1
Tafadharini tunaqaomba jeshi la @tanpol kuingilia kati suala hili kama lina ukweli ili hatua za kisheria zichukue mkondo wake
Wakati mwingine wanasiasa huibua vita vyenye lengo la kuficha uozo wanao ufanya kusudi wananch wasiweze kubaini maovu ya sambamba na kujenga wigo wa kujificha wana jifeed na kufeed watu wao.
#MsioneWatuwanahangaika
Pale Bishop wa mchongo anajisahau kutokana na stress za kukosa sadaka baada ya kukikimbiwa na waumini.
Kamwe @josepmwingila anapaswa atambue kuwa mkaidi hafaidi mpk siku ya idd.
Spika wa @bunge_tz Job Ndugai anapaswa akumbushwe kwamba hata zamani zile pesa za matibabu yake ya 150ml per day, hazikuwa zao la kuchangishana wa tozo zilikuwa sehemu ya mkopo hivyo yy ni miongoni mwa waliofidimiza taifa hali kwa kutumia mkopo vibaya.
Mfano wa viongozi bora katika dunia mtu kaweka bilions zake za kutosha lakini ana amini katika kupokezana uongo safi sana @moodewji kwa kuiongiza @SimbaSCTanzania
Kun mtu hajaweka hata mia mbovu lakini ni mwenyekiti wa maisha. @freemanmbowetz iga hii @ChademaTz huna hati miliki
#Taarifabilamipaka
Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa ngao ya jamii utakaowakutanisha watani wa jadi @SimbaSCTanzania na @yangasc1935 kwenye dimba la Benjamin Mkapa,Septemba 25,2021.
1
Ni dhahiri sasa kuwa Tanzania ni nchi inavutia kwa uwekezaji na imefungua milango kwa wawekezaji , mabilioni ya msanii wa mziki duniani @RickRoss zinaenda kuchangia ukuaji wa uchumi nchini.
Kwa hili @SimbaSCTanzania mmetisha hii ndiyo maana halisi ya klab kubwa.
Klabu ya Simba Sc kushirikiana na kampuni ya #VUNJABEI wametoa masweta kwaajili ya mashabiki wao
Shabiki wa Simba Sc umelipokeaje hili?

























