Waislamu huwa mnasema kubeti ni haramu kadiri ya sheria zenu au sielewi. Na hii kampuni ya kubeti kudhamini, CEO, M/kiti wa board na wachezaji watagoma? Au ya Mtume tumwachie mtume?
Replying to @YoungAfricansSC
@yangasc1935 wamekomaa kifikra na kiakili. Hawana vinyongo vya rejareja. Kumrudisha @Bm3gh ni kuonesha msamaha wa wazi na huruma zaidi. Wanaoishambulia hawajakomaa kiakili
Replying to @YoungAfricansSC
@yangasc1935 inafanya usajili wa nguvu mashabiki wa @SimbaSCTanzania wanaumia, uchaguzi unawaumiza pia. Tulia
Huyu kiumbe Neema Lugangira kniblock kwasababu ya akili fupi. Aliyeweka vitimaalumu alaaniwe tu, maana wengine lazima wajitoe miili ili wapete na wakipeta wanaongea pumba. Mwl. Nyerere alisema tuna viongozi wapumbavu ndani ya CCM
1
Replying to @ccm_tanzania
@ccm_tanzania inapaswa kuadhibiwa, si tu inatuharibia taifa na vijana, pia inaharibu hata wasomi wazee. Shenzi kabisa
Bei ipo au hijaeleweka 400k?
Replying to @LIGUORIA1 @erniemfugaji
Je wajua, huwa inachukiza mfanyabiashara usipoandika bei ya bidhaa ila unalazimisha ufatwe DM.
#ElimikaWikiendi
1
Bei mbona ipo? Nimesema Laki nne au
Replying to @LIGUORIA1
Mkuu ukiwa unapost biashara ni vyema kuweka bei kwanza alafu ndio mtu azame dm kwa maongezi zaidi














