TheBoss.π° retweeted
PIGA KURA SASA!
Majibu yetu kwa hukumu hii ya Tundu Lissu iwe nini? Tufanye nini kupinga huu udhalimu (Tutajadili baadaye Space:)
71%Maandamano
18%Tumwachie Mungu
11%Kitu kingine (eleza)
4,665 votes β’ Final results TheBoss.π° retweeted
Kabla ya #MO29 walionya TEC kuhusu kupuuza sauti ya UMMA yakatokea yaliyotokea.
Na sasa TEC inatoa onyo tena kwa wakoloni weusi bila shaka watapuuzwa tena.
#Mo29
#TukutaneParokiani
TheBoss.π° retweeted
Tunaitangaza RASMI na kwa DHATI tarehe 29 Oktoba kuwa SIKU YA MASHUJAA. Tutaiadhimisha kila mwaka. Nuff respect to the fallen Heroes.
TheBoss.π° retweeted
Naona baada ya kutekwa TWAHA leo mnahamisha uoga kwangu kwamba "Bado mimi".
Oya mimi nilikufa 27/06/2024 kwa risasi ya KICHWA-sina nilichobakiza DUNIANI.
Mmeanza kunitisha kwamba "Nairobi sio mbali" tangu 2024, hamfiki tuu?
KWASASA JAMBO NI MOJA #FreeTwahaMwaipaya huu mziki wangu hamuuwezi, nitaendelea kuwa kama "Sizitaki mbichi hizi" kwenu.
TheBoss.π° retweeted
Samia Suluhu hawezi kuingiza majangili Kenya na kuweza kum track na kumteka mwanaharakati ndani ya Kenya bila ushirikiano wa serikali ya Kenya.
Twaha katekwa na marais wawili, Samia na Ruto.
The Kenyan government is equally complicit in the abduction of @Twaha_Mwaipaya as the Tanzanian illegitimate Government.
TheBoss.π° retweeted
Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. @tanpol
Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA.
HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.π€
TheBoss.π° retweeted
Kuna mambo mengiiii na taarifa nyingi ambazo tunazo na kuzichakata - si kila kitu tunaweka wazi
Ila aminini hawa mafedhuli WAMEPANIC
Lakini #MO29 before and after LAZIMA sisi wananchi tufanye kweli
Vinginevyo tukishindwa tuamue kulala tusubiri Yesu arudi - wafanye watakavyo wamalize nchi na watumalize - itβs over!
Sina cha kuwaambia zaidi! Tujipange na kwa mwezi mmoja we need to fight like never before
#TutaelewanaTu
TheBoss.π° retweeted
OFFICIAL ANNOUNCEMENT TO THE WORLD
We, the Tanzanian people, do not recognize Samia Suluhu Hassan or Deo Ndejembi as the legitimate President and Vice President of Tanzania.
No legitimate election was held on October 29, 2025. Instead, what happened was a systematic campaign of mass killings, with more than 10,000 Tanzanians killed during a five-day internet shutdown.
Any government that recognizes these two individuals as the legitimate leaders of Tanzania is turning its back on the Tanzanian people and standing against their demand for justice, democracy, and accountability.
Those responsible for these atrocities must be held accountable. The blood of Tanzanians cannot simply be ignored, and the victims and their families must not be forgotten.
We call on the international community to stand with the Tanzanian people as we fight for:
A new, democratic Constitution
A genuinely free and fair election
An end to killings, kidnappings, arbitrary imprisonment, and sexual torture
An end to the suppression and muzzling of the independent media
Full accountability and justice for the victims
Tanzania belongs to its people.
We will continue to demand democracy, freedom, justice, and a government that derives its legitimacy from the will of the Tanzanian people.
The world must stand with the people of Tanzania.
KISWAHILI
TANGAZO RASMI KWA ULIMWENGU
Sisi, Watanzania, hatuwatambui Samia Suluhu Hassan wala Deo Ndejembi kama Rais na Makamu wa Rais halali wa Tanzania.
Hakukuwa na uchaguzi halali uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025. Badala yake, kilichotokea ni kampeni ya mauaji ya halaiki yaliyopangwa na kutekelezwa kwa utaratibu, ambapo zaidi ya Watanzania 10,000 waliuawa wakati wa kukatika kwa intaneti kwa siku tano.
Serikali yoyote itakayowatambua watu hawa wawili kama viongozi halali wa Tanzania inawageuzia kisogo Watanzania na kusimama kinyume na madai yao ya haki, demokrasia na uwajibikaji.
Wale waliohusika na ukatili huu lazima wawajibishwe. Damu ya Watanzania haiwezi kupuuzwa, na waathirika pamoja na familia zao hawapaswi kusahaulika.
Tunaiomba jumuiya ya kimataifa kusimama pamoja na Watanzania tunapopigania:
Katiba mpya ya kidemokrasia
Uchaguzi huru na wa haki
Kukomeshwa kwa mauaji, utekaji nyara, kufungwa kiholela na mateso ya kingono
Kukomeshwa kwa ukandamizaji na kunyamazishwa kwa vyombo huru vya habari
Uwajibikaji kamili na haki kwa waathirika
Tanzania ni ya Watanzania.
Tutaendelea kudai demokrasia, uhuru, haki na serikali inayopata uhalali wake kutokana na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Ulimwengu lazima usimame pamoja na wananchi wa Tanzania.
TheBoss.π° retweeted
Mamelodi Sundowns muijieni mtu wenu tapeli la Namibia nasikia wakala wake hapokei simu kawekaβοΈ amewauzia chezaji bad lina umwa jeraha la goti
Ndio maana upigaji wake wa mashuti ni wa taabu sna
Utopolo wamepigwa hapo
TheBoss.π° retweeted
Leo hatujui kitakachosemwa, lakini tunajua tunachotamani., Haki itendeke.βπΏ
TheBoss.π° retweeted
Pamoja na CHANGAMOTO unazopitia usisahau kula samaki kwa ajili ya afya yako.π«΅πΎ
Weka ODA yako hapa, uletewe hadi ulipo ndani ya muda mfupi.
π€³-0762344677
TheBoss.π° retweeted
Siku moja..
Tutakua na pesa,
Tutakua na amani,
Tutakua na familia,
Tutakua na maisha tuliyokua tukiyaombea.
Tusikate tamaa wala kuacha njiani mpaka tufike hapo.
Good morning X famile π
TheBoss.π° retweeted
Usikate Tamaa Leo, Kesho Inaweza Kuwa Mwanzo Wa Kile Ulichokuwa Ukikiombea Kwa Muda Mrefu. πͺβ€οΈ
Good Morning Ndugu. Kumekucha Tukapambane.
TheBoss.π° retweeted
Unapotafuta ridhiki kwa ajili yako na watu wanaokutegemea angalia usiwaumize wengine ambao nao wanatafuta ridhiki zao kwa ajili ya wanaowategemea.





























