Chochote akili inachoweza kubuni /kutunga na kukiamini, inaweza kukifanikisha.
Mtazamo wako ndiyo zana yenye nguvu zaidi. Kama unaacha kujitilia shaka kukutawale, kutakuzuia usichukue hatua unazotakiwa kuchukua ili ufanikiwe. Jiamini na amini katika uwezo wako!📌
PaschalSam1 retweeted
Mechi kibao zinaendelea, ikiwemo UEFA Women's Champions League pamoja na michezo mingine mbalimbali.
Weka mkeka wako kupitia 777Bet.tz na ufurahie odds kali pamoja na Cash Out pale unapohitaji.
Tumia code: 777SON
#777BetMabingwa #777BetTz
PaschalSam1 retweeted
Furahia maisha na watoto wako!
Panga mapema namna ya kuweza kumudu mahitaji yao ada, bima ya afya na matunzo.
Karibu Softfinance ujipatie mkopo binafsi uwekeze kwenye miradi itakayozalisha itakusaidia kufikia malengo
#MpangoPesa
PaschalSam1 retweeted
Sema New Balance kuna namna wamekuja kwenye game wanakimbiza kinoma.
Angalia hii miguu ilivyokua ya moto
Yote ipo kwa mtaalam @Suma_Viatu
PaschalSam1 retweeted
Jana nilikutana na Wakala wa CRDB Pisi kalii, badala ya kutoa 20K nikajikuta nimeongeza.
Anaongea kwa madaha huyo "Ukitoa zaidi unajishindia 1M kila siku" ile sauti inanirudia
Halafu ni rahisi tu niliscan Lipa Hapa kutoka Simbanking yangu kama 👇 #SimbankingKimpangoWako
Hatua ya kwanza sio kufanya makubwa bali ni kubadilisha utambulisho na kujenga kujiamini.
Moja ya namna ya kubadilika kuwa bora ni kubadilisha utambulisho, kutoka utambulisho wa kale kuingia katika utambulisho mpya.!
Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi ya St. Anne Marie Academy anawatangazia wazazi na walezi nafasi za kujiunga na masomo kwa mwaka 2027, kuanzia ( darasa la awali) hadi Darasa la Saba!
Chini ya paa Moja , St. Anne Marie Academy —inakutanisha elimu Bora, malezi Bora kwa watoto, nidhamu na uleaji wa vipaji.
Shule yetu ina mazingira mazuri, tulivu na salama kwa ustawi wa mtoto wako, huku ikitoa huduma za kutwa na bweni, chini ya uangalizi wa walimu wabobevu, wenye uzoefu na upendo kwa watoto.
Tunajivunia historia ya mafanikio makubwa kitaaluma, kwa kuwa miongoni mwa shule kumi bora kitaifa kwa miaka minne mfululizo, pamoja na kutoa wanafunzi bora kitaifa!
St. Anne Marie Academy inazingatia afya na lishe bora, kwa kuwapatia watoto milo mitano kwa siku, ikiwemo matunda na mbogamboga zinazozalishwa shuleni. Pia, tunatoa usafiri wa uhakika wa nyumba kwa nyumba na fursa za kukuza vipaji vya watoto.
Ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu nne! Zaidi ya hapo, shule inatoa fursa kwa mtoto anayefiwa na mzazi kuendelea kusoma bure hadi atakapohitimu.
Mzazi na mlezi, usaili unafanyika kila siku isipokuwa Jumapili! Mpe mwanao mwanzo bora wa safari yake ya elimu.
Tupigie simu: 0714 284 220 / 0744 489 933
St. Anne Marie Academy — Superb Education! – at Dar es Salaam, Tanzania
PaschalSam1 retweeted
Kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia mtandaoni ni hatua muhimu katika kuwaandaa wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo yao.
Kila msichana ana haki ya kujifunza, kujiendeleza na kutimiza ndoto zake katika mazingira salama.
#ElimikaWikiendi #DigitalSafetyTz #ZuiaUkatili
PaschalSam1 retweeted
Ukiwa na Dau la 200 tu unaweza kurusha Ndege na ukashinda hadi Million 1
Chakufanya zima VPN yako,Kisha Gusa Link ukawe Rubani. 777bet.tz
#777BetMabingwa #777BetTz
PaschalSam1 retweeted
Nauza samaki.
Asanteni kwa kuniunga mkono.
Mapungufu yanatokeaga, tunajiboresha kila siku.
Mungu awabariki sana Wandamizi 🤛🏼
Kukiri kwamba HUJUI kuhusu jambo fulani sio udhaifu wa akili, ila ni ujasiri wa kuikabili akili yako mwenyewe bila kujificha nyuma ya majivuno.
Ni kukubali kwamba imani ulizorithi, mawazo uliyofundishwa na hitimisho ulilofikia vinaweza kuhitaji kuchunguzwa upya.
PaschalSam1 retweeted
Kulala Giza Utake wewe tu Umeme💡 unanunulika kwa Simbanking 📲
Mpango upo kwenye USSD ya SimBanking ya CRDB * 150 * 03 # inanunua umeme hata kwa siku ngumu kama ya leo🤣 na bado unaingia kwenye droo ya safari za kwenda Ulaya. Hakuna siku ngumu mbele ya SimBanking wewe 👏
PIGA * 150 * 03 #
#simbankingkimpangowako






























