Vunga retweeted
Tu Retweet hapa wakuu!! 🔥
🔥HAPPY NEW WEEK FROM
@GeoConstructors & @Geo_Traverse Group🔥☺️❤️🫵
The Best and Trusted Land and Construction Consultants.
1.Ujenzi
2.Upimaji Ardhi
3.Romani za majengo
4.Hati miliki
5.Viwanja.
Tupo Dodoma, Barabara ya Tisa
0719 336 667/ 0763 782 274.
Vunga retweeted
*KAMPUNI👉 : BETJAM*📌
*MAJOR EUROPEAN LEAGUES SLIP ODDS 20*⚽️🔥🔥🔥
CODE👉 : 92ZE1
🧿Hauna Account ya BETJAM?
*Jisajili👇*
bjam.to/injinia
*Promocode👉 : INJINIA*
BONASI mpaka 500,000/-
⚠️zima VPN unapojisajili
STAKE HIGH WIN BIG💰💰💰
@Injinia777
Vunga retweeted
MAANDAMANO YA VIJANA UFARANSA 🇫🇷
Ufaransa inakabiliwa na wimbi la maandamano ya vijana yanayohusishwa na malalamiko kuhusu elimu, gharama za maisha na sera za serikali
Lakini nani alianzisha harakati hizi, wanadai nini, na kwa nini baadhi ya maandamano yameambatana na vurugu na uharibifu wa mali?
NANI ALIANZISHA?
Yalianza Septemba 21, 2026 katika eneo la Créteil karibu na Paris yakichochewa na malalamiko kuhusu hali ya elimu baadae wanafunzi na makundi mengine waliunga mkono madai hayo
WANAPIGANIA NINI?
▪️ Walimu wa kutosha na elimu bora
▪️ Bajeti bora ya shule na fursa sawa
▪️ Kupinga sera zinazowaathiri vijana
UHARIBIFU ULIOJITOKEZA
Baadhi ya maeneo yaliripotiwa kukumbwa na uchomaji wa magari, majengo ya umma, mapipa ya taka na vizuizi, uharibifu wa mali, wizi na vurugu
NANI ANAWASUKUMA KISIASA
Chama cha mrengo wa kushoto, La France Insoumise kimeunga mkono baadhi ya madai ya vijana hao na kuwaasa waendele kudai mabadiliko mpaka serikali ifanyie kazi
SERIKALI IMESEMA NINI?
Jana Oktoba 18, Rais Emmanuel Macron alikiri kuwa vijana wana wasiwasi kuhusu maisha, elimu na mustakabali wao
Alisema serikali inapaswa kusikiliza madai yao na kushughulikia chanzo cha hasira hizo huku akisisitiza kuwa wahusika wa uporaji na uharibifu watawajibishwa
Waziri wa Elimu, Édouard Geffray naye alikuwa ametangaza mpango wa kupeleka walimu 3,000 katika shule zenye uhitaji mkubwa
Vunga retweeted
Binafsi kama MSOMI nimefanya tafiti nimejiridhisha kua wanaosema wanawake ni wengi kuliko wanaume ni UONGO
Nimetembelea maeneo mbalimbali kama vile
-viwandani
-masokon
-mitaan
-vituo vya usafiri
-Magereza
-Jeshin
-Maporini
-Mashambani
-Mahotelin
-Migodini
Kote wamejaa wanaume
Vunga retweeted
Na furaha yote hii lakin huwezi kuamini kua huo msimu simba ilikua TROPHLESS
Ndio mana perfomance walio nayo kwa sasa ni ngumu kuwatabiria kua wanaweza beba taji lolote
Tuendelee kunywa mchuzi nyama zipo chini
Vunga retweeted
Ukubali au ukatae - kama ulimkataa hakikisha hutorudisha moyo nyuma kumruhusu arudi kwako tena - hata afanye nini.
Ukimrudisha utakua umefikisha point 75 za kuangushwa, maana hapo harudi kama digidigi hapo atarudi kama nyati aliyejeruhiwa.
Sababu kubwa huwa wanarudi na visasi.
Vunga retweeted
Kuna kipindi niliwahi weka status picha ya manzi na emoji ya kopa aisee.
Baada ya kuweka status Wana wawili wakasema washapiga 😅.
Nilitokwa na jasho jingi sana, kwa uthibitisho walinitumia hadi chatting.
Nachoshukuru walimjaza namimi nilipiga.
Huo ujinga sitakaa nirudie tena
Vunga retweeted
📍MAKAMU WA RAIS ASHUHUDIA FAINALI YA KIKAPU, DAR CITY IKITWAA UBINGWA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, usiku wa Oktoba 18, 2026, ameshuhudia Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City ikitwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira⤵️
Vunga retweeted
Anko
"Wenye busara Walisema "Ili Kudumu Katika Ndoa Siku Zote Jifanye Mjinga Kumsikiliza Mpumbavu"
Vunga retweeted
*Kumekuchaaaah!!!🌇...Mapambano yanaendeleah!!!✊🏿✊🏿✊🏿💪🏽. Jana wapuuzi walikuwa wachache, Dortmund 0-0 & Slavia prague ila hatukutoka kapa🫡. ODDS 7, 2 & 1.5 WON✅🔥...LEO AFYA YANGU IMEIMARIKA ZAIDI HIVYO TUNAONGEZA MAPAMBANO*🔥💸💰
Meseji WhatsApp👉 : 0788097114📌
@Injinia777
Vunga retweeted
Kipaombele cha huyu alikua anatafuta hela ya nauli mwezi mzima na sio hela ya kodi ya mwezi 😅.
Zingatia alichosema 'nimetokea Moshi ila nimezaliwa Arusha'.
Vunga retweeted
Nina uhakika wa argentina wakiona hii video machozi yanawatoka
Umri na ukomo wa muda wa kuwepo hapa duniani unakatisha sana mifumo pamoja na ndoto za watu
































