The Gammar (@MP_Soldier9) profile picture
Joined September 2024
Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)
Kumbe Biashara Ya Spare Za Pikipiki Inafaida Kubwa Namna Hii, Mtaji Wa 1Milion Unatoboa Vizuri Tuuuh TAMISEMI Nawapa Miaka 2 Hamtoniona Tena Bakini Na Maposho Yene Ya Semina.
31
40
4
461
29,042
๐ŸšจJUST IN; Beki wa kati wa Yanga Ibrahim Bacca amepata jeraha kwenye mchezo wa timu ya Taifa ya Tanzania jioni ya jana na amelazimika kutolewa nje kwa machela akishindwa kumalizia mchezo. Yanga wana mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya MC Algers Novemba 28 mwaka huu pale Zanzibar.
7
14
47
2,436
Nipate kama huyu niturie ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
8
24
50
580
Wananilipa mabaya badala ya mema na chuki badala ya upendo wangu~ Zaburi 109:5
6
50
151
1,566
Kati ya umasikini na mke mbaya, kipi kinaweza muua mwanaume kwa haraka zaidi ?
15
25
63
1,752
The Gammar retweeted
Mashuka ya kutotolea watoto majiniazi๐Ÿ“Œ #TUMBAHILO Shuka 2, foronya 4 -50k Shuka 1, foronya 2-25k 0755693113 ๐Ÿ“ Riverside karibu na Micasa, Mikoa yote tunatuma
6
43
2
53
1,023
The Gammar retweeted
Mtumikie Mungu wako siku zote za ujana wako, Twendeni Ibadani.โค๏ธโœ๏ธ
6
21
62
962
The Gammar retweeted
Kumekucha tena leo mwenyezi mungu tuepushe na matatizo ambayo pesa haiwezi kutatua Gm x familia ๐Ÿค
12
23
38
784
The Gammar retweeted
Man U tunakichafua leo dunia nzima Ina furaha ๐Ÿซฃ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ˜‚
3
10
20
1,475
The Gammar retweeted
Good morning everyone Up and grateful.
8
11
16
687
Good morning Wivu hauwezi kukuongezea mafanikio lakini kujifunza kufanya kazi kwa bidii na kuwa na subira kunaweza kukufikisha mbali
14
22
32
670
The Gammar retweeted
Pumzi tuliyonayo ni ushuhuda wa ukuu wake. Tusichoke kumshukuru Mungu, maana yeye ndiye mwanzo na mwisho wa kila jambo. Utukufu wote ni wake milele! ๐Ÿ™Œ GOOD MORNING!
8
7
16
317
"Bwana atapigana kwa ajili yenu nanyi mtanyamaza kimwya"_KUTOKA 14:14, Good Morning wana wa Mungu ๐ŸŒ„๐ŸŒ„๐ŸŒž
13
16
30
535
"Kufikiria ni kazi ndio maana wengi huanza kwa kuhukumu".๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ Good Morning Champions โœŒ๏ธ.
14
26
60
1,181
X wajuaji huyu wakumpa mkataba wa moja kwa moja au wakuendelea nae na dei waka tu ?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
9
13
58
1,581
Hata tusipopata kila tunachokiomba bado tunayo sababu ya kumshukuru Mungu. Tuanze na Mungu kwanza ๐Ÿ™๐Ÿฝ
11
12
35
578
Nipitie Kanisan au nikalale tuu kwanza? ๐Ÿบ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
8
23
42
7,583
The Gammar retweeted
Tambua na yakubali madhaifu yako. Usipotambua udhaifu wako hautaweza kuweka juhudi katika kujiboresha..! ๐Ÿ“Œ
8
15
41
608
The Gammar retweeted
Kuna siku tupo mtaa, mwana alisema anataka tukamuone demu ake bila taarifa. Basi Ilifika mida ya sa tano usiku tukawasha bike hadi kwa demu ake. Tulipofika tulimkuta demu amepakatwa na mshikaji, demu alisema unakuja bila taarifa na hulipi kodi. โคต๏ธ
12
20
64
4,857