Kaji maliza kuweka wazi niko pale.
Dogo yupo Kariakoo anauza maji ya kunywa ya baridi , Ndani ya Siku moja anaficha 100K Kama Faida na hapo hana hata miaka 26 .
Mimi jamaa yangu anaitwa Kazimzumbwi anauza kachori , ngisi ,kababu ,pweza na mchuzi wa pweza Kwa siku anaficha 200K Kama faida hapo makumbusho.
25
Hii safi sana😂😂
#TajiriLaKihaya
Mm ndio maana Vijana wangu huwa nawalipa kila tarehe 25.
Hatakama mwezi huo tumepata Hasara!
24
TheBoss.💰 retweeted
PIGA KURA SASA!
Majibu yetu kwa hukumu hii ya Tundu Lissu iwe nini? Tufanye nini kupinga huu udhalimu (Tutajadili baadaye Space:)
71%Maandamano
18%Tumwachie Mungu
11%Kitu kingine (eleza)
4,665 votes • Final resultsKosa ambalo limepikwa mda huo huo kuondoa aibu ya mwaka.
#TajiriLaKihaya
Tundu Lissu ameshinda kesi ya UHAINI, lakini mahakama imemtia hatiani kwa 'kosa dogo' la UCHOCHEZI.
1
51
Lissu is out today 🙏🙏
As long as tunategeana kwenye harakati hizi za ukombozi tujiandae kuumizwa wote kwa zamu!
Mungu ameshatuonyesha njia Oktoba 29 2025 - na anasema TUSIOGOPE!
Tukikubali Hofu itutawale tutaishi na mashetani!
Sina cha ziada kwa sasa! We all have to learn this lesson the hard way!
33
Mpaka hapa tu mh Lissu yupo huru 🙏🙏
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 496
Upande wa mashtaka walieleza kuwa kauli ya mshtakiwa inatakuwa itazamwe katika muktadha mzima kuwa aliitishia serikali na kuwa mshtakiwa alikuwa na lengo la kuitisha serikali regardless kama serikali ilitishika au la!
Ushahidi wa upande wa utetezi mshtakiwa alisema maneno hayo lazima yapimwe katika muktadha wa kisiasa na lengo kwa kauli hiyo ilikuwa ni kueleza msimamo wa kisiasa wa Chadema na lengo lake halikuwa kuitishia Serikali, mtazamo huu ulingwa mkono na shahidi wa 2,3,4 na 5 kuwa kauli ya No reforms, No election ililenga kueleza ushawishi wa kisiasa.
Upande wa utetezi ulisema neno uasi lazima nilitazamwe katika muktadha wa kisiasa na kauli hiyo haikuwa na lengo la kuitishia Serikali au kuchochea vurugu.
Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walipaswa kuthibitisha nia hiyo kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali na sio hisia tu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha
Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama, watia nia na waandishi wa habari na mkutano huo ulirushwa live.
Upande wa utetezi wamemaintain kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa ililenga umma to boycott uchaguzi na sio kuitishia serikali.
Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali.
Tumeona kwamba ushahidi uliotolewa na mashtaka una fall short kuthibitisha shitaka la uhaini hivyo katika kiini hiki cha pili tunaona ushahidi haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini.
Kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kuna vitu vitatu ikiwemo factuai issues, mahakama lazima iangalie ushahidi kujiridhisha na tatu ni ushahidi uoi umetolewa.
Mahakama inaona kwamba tafsiri ya maneno ya Lissu bila tangible evidence tumeongozwa na kanuni kwamba nia (mens rea) ni internal state of mind lazima liambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini.
Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa.
Part 497 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
2
82
Na kwanini arudie shule kwamba alternative za maisha zikuwa hakuna.☹️
Dogo alifeli form four 2023, alipata four ya 32. Sababu alikua anataka kwenda advance tukamtafutia shule akarudie mtihani, akaanza form three tena 2024, mwaka jana amemaliza form four matokeo yametoka janja kapiga zero. Hii familia ni kama wote tulilaaniwa hv.
31





















