Nick Luhende! (@nickluhende) header
Nick Luhende! (@nickluhende) profile picture

Mimi ni Raia Mwandamizi! Chapa ya Busiya, pepeaaaaa...

Shinyanga, Tanzania
Joined March 2011
Nick Luhende! retweeted
36
274
5
1,615
44,701
Inaweza ikawa positive au negative wereva lakini CDM wameteka attention ya nchi kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka sasa hivi!! Matukio after matukio!!
73
195
1
2,106
51,832
Nick Luhende! retweeted
Tarehe 03 Aprili, Mwenyekiti alisema, "andiko lao lote nimelisoma, hoja zao zinajadilika, zinajibika, waje ofisini tuongee" But these G55 hata siku hiyo hawakuja na walikuwa wamealikwa. Kifupi wanachokisema sicho wanachokitaka! Ni muda they will be irrelevant!
2
23
Namna hii! ✅ Jamaa zetu tayari wameingia kwenye mfumo! Babu yangu aliwahi kusema @chadema ni chama cha msimu—sasa wanafanya juhudi za kuzima moto wetu wa #NoReformsNoElection! Wanapita kila tunapopita, lakini hatulegei! Kwa sababu hili ni jukumu letu kwa wananchi na kitu tunachokipenda kufanya, niwathibitishie kuwa Mwenyekiti @tundulissu na Makamu @hechejohn watakuwa mtaani kila siku, hadi kieleweke! Ukweli upo wazi: ❌ Hamna uhalali kwa wananchi ❌ Hamna morali ya kupambana Tunaendelea kusukuma mbele harakati za mabadiliko! Changia tone lako kupitia 0744 446 969 (Jina: CHADEMA HQ) ili kuleta mabadiliko tunayoyataka! ✊ #NoReformsNoElection✊
10
105
2
532
18,024
Nick Luhende! retweeted
Mimi na familia yangu HATUTOENDA KUJIANDIKISHA na HATUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025. Wewe je?
19
59
1
332
12,715
Nick Luhende! retweeted
Pale @ChademaTz upande wa Media/mawasiliano tumepata watu haswa @BrendaRupia & @kevin_ndabila deserves my respect (with their team behind) ✌🏾✊🏾🙌🏽
16
90
1
744
13,225
#Njaa53 mnapenda kujipa umuhimu ambao hamna. Yaani chama kiache kuelimisha wananchi juu ya #NoReformsNoElection kihangaike na hizi sinema zenu na TISS, Sigrada na Lembrus Mutungi? Lissu na Heche wapo Kusini. Mnyika anatoa mafunzo. Nabii Lema anatoa mifano ya vitendo namna Tume ya Uchaguzi ilivyo kuwa hovyo. Yaani chama kiache kufanya mambo ya maani kianze ku-deal na kina Ntobi, @JonMrema, Julius Mwita watu ambao matatizo yenu yanaweza kumalizwa na matawi yenu. Bwana Jon, kama una mashida fika tawi lako la Segerea watakusaidia Hebu kuweni serious kidogo basi.
33
36
3
289
16,681
Nick Luhende! retweeted
Jioni hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu akiwasili Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
1
41
320
4,361
Nick Luhende! retweeted
Replying to @IjKimathi
Viongozi hawawezi kupoteza muda kujibizana na makuwadi wa kisiasa
22
43
1
428
7,606
Hawa wamemaliza kila kitu!!! Kanyimbo kao kanachoma kama pasi Chapa repost kwa Wamama mpaka iwafikie!!
46
603
25
1,476
42,245
Nick Luhende! retweeted
SC TAL si tu kwamba anahutubia, bali anafundisha na kujenga imani ya watu ktk movement ya #NoReformsNoElection. Movement building.. I admire 🙌🏼
143
474
11
2,823
50,667
Nick Luhende! retweeted
Utofauti kati ya no reform no election ya Mbowe na ya Lissu ni ipi ..?
230
227
24
1,413
96,345
Nick Luhende! retweeted
VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @ChademaTz mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote. Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake. “Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” alisema Kabepele akizungumza na Jambo TV. Kabepele ameeleza kuwa haipingi kampeni ya No Reforms No Election, huku akisisitiza kuwa hakuna mgawanyiko katika uongozi wa CHADEMA mkoa wa Tabora, akisisitiza kuwa wanashirikiana kwa pamoja kutekeleza ajenda ya chama na kusukuma mbele kampeni hiyo ya mageuzi kabla ya uchaguzi. “Hii siyo ishu ya mtu mmoja mmoja. Mkoa wa Tabora tumeungana, tunasubiri miongozo ya kitaifa, na tunatekeleza yale tuliyokubaliana kama chama,” ameongeza. Kuhusu ziara ya viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu @TunduALissu na John Heche @HecheJohn , Kabepele amesema maandalizi ya mapokezi yao yamepangwa kwa umoja kupitia kamati maalum za maandalizi, kufuatia maazimio ya Baraza la Mashauriano. Ameeleza kuwa viongozi hao wanatarajiwa kuwasili Tabora kama sehemu ya ziara ya Kanda ya Magharibi kwa ajili ya kuhamasisha ajenda ya No Reforms No Election na kampeni ya Tone Tone, huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi. Pia Kabepele amebainisha kuwa si yeye pekee aliyeghushiwa saini kwenye waraka huo, bali kuna viongozi wengine wa mkoa wa Tabora waliokumbwa na hali kama hiyo.
51
133
10
692
35,199
Nick Luhende! retweeted
Hivi kwa mfano G55 wangeomba kukutana na uongozi kujadili kuhusu No reforms ni no Election wangekataliwa? Kuna mahali wamekosea sana, utovu wa nidhamu uliopitiliza, Mbowe aliwafuga sana Hawa
6
13
2
65
1,757
Ukihitajika utaitwa kujifanya unajua sheria za chama haiwezi kusaidia.ukitenguliwa maanake nafasi yako itachukuliwa na MTU Mwingine hakna mtu ambaye nafasi yake haiwezi kufanywa na mwingine hapa duniani jifunzeni kuheshimu viongozi wenu waliochaguliwa na chama
1
3
63
3,806
Hii ndio picha yangu bora kabisa tangu kuanza kwa mwaka huu. Kampeni yetu ya "No Reforms No Election" ni kwa ajili ya kila mtanzania mpenda haki na amani.
14
154
3
967
13,802
Kifungu gani kilichotumika kumteua? Usipokijua huwezi kukijua kilichomtengua. Wewe umekaa makao makuu ya Chadema miaka mingapi? Sio chini ya 20. Uliteuliwa kwa kifungu gani miaka yote hiyo? Madudu yako pia yapo kwenye makabrasha. Tutayatoa tu. Hiki Chama sio biashara kwa sasa.
176
205
21
1,000
51,609
Nick Luhende! retweeted
Nafasi ya kuteuliwa ni koti la kuazima. Mwenye nalo akilichukua hakuna haja ya kulalamika wala kusononeka. @Julius_Mwita200 na @CatherineRuge wenye makoti yao wameyachukua, jengeni chama. Karibuni back bench tukunje ngumi. #StrongerTogether #NoReformsNoElection
33
69
5
418
40,480
Nick Luhende! retweeted
Kizazi hiki cha uongozi mkuu wa CHADEMA, yaani, Lissu, Heche, Mnyika na Lema, kama hawatafanikisha REFORMS hizi za chaguzi zetu, basi tusubiri miaka mingine 50 kupata viongozi wengine wa aina. Wale tuliojikita kwenye kuwakwamisha, kuwachelewesha, hatulitakii mema Taifa hili.
28
104
8
623
18,214
Nick Luhende! retweeted
Leo nimejifunza” unaweza kuwa sehemu ukaona unahitajika kumbe wanakuonea huruma tuu”
15
60
3
564
24,764