CWPedro (@cw_pedro) profile picture
Joined January 2012
Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)Photo by CWPedro (@cw_pedro)
Kwa NINI hataji makosa yenyewe. Mbona kaambiwa sana kwamba hatufanyi chaguzi huru, haki na halali tangu mwaka 2016?
ETI JAMANI KOSA NI NINI? akati mashuke na majengo mazuri mmepewa 😂😂😂😂😂🙌🏾🙆🏾‍♂️
1
2
1
39
6,738
Hii ndio 'SIRI' ya Mwenyekiti wa CCM kuwa pia Rais wa Jamhuri. Anakaba kotekote.
3
1
25
721
Makonda ni 'mtaalam' wa CROWD RENTING. Hana tofauti na akina Mwamposa.
Ni dhahiri shahiri kwamba Rais Samia ndiye Rais anayependwa zaidi Afrika. Mapokezi haya ya wananchi wa Arusha leo ni zaidi ya upendo na yamedhihirisha wazi kwamba Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania. Ule msemo wa kanda ya kaskazini ni ngome ya CHADEMA tumeuzika rasmi
3
2
14
2,330
Ndio uzuri wa kumiliki DOLA. Yana mwisho mbaya sana haya hasa yakianza kumwaga damu za watu.
Tukutane mwakani kwenye mwezi wa tatu hivi ndio pengine tunaweza kujaribu kusikiliza rufaa zenu.... lakini kushinda ni majaliwa yake mola...
1
1
11
826
PUMZI KWANZA.
2
1
5
656
Kwani meli nazo zina deiwaka? Nahodha wa kweli hawezi kufanya kituko hiki. Nani kawajibika so far?
#KURASA Bilioni 120! Gharama ya meli mpya ya MV New Mwanza, lakini kabla haijaanza safari za kibiashara, tayari imegonga mwamba wa Bismarck katika Ziwa Victoria. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
181
Pole pole alisha toa CODE MAPEMA kuhusu maridhiano. kiufupi jamaa alikuwa anaelewa kila kitu kitakacho kuja kutokea 🔥🔥🔥🔥🙌🏾 TRUE HERO
4
132
1
574
12,603
Kwamba MARIDHIANO yatatupatia majibu ya hawa WATANZANIA wenzetu walipo au kilichowatokea:-
1
1
1
14
397
Kaka @AlloyceNyanda hadi leo ni CHADEMA pekee wanajua kwamba tunachofanya sio CHAGUZI tangu mwaka 2016. Wengine wameamua wawe washirika wa CCM hivyo zinavyofanyika. Tunateketeza KODI zetu kipumbavu sana.
Anaandika ALOYCE NYANDA Kwani Chadema ni nani? Wana kitu gani ? kwani bila wao hakuna katiba mpya au Maridhiano? Ndio kitu pekee ukitaka kuwapuuza hao ma bwana unawez kutumia maneno hayo lakini ukweli ni kwamba. CHADEMA huwezi kuwapuuza katika mjadala wa kijamii, Katiba au Maridhiano kwa sababu kuu tatu kwa mtazamo wangu 1. Kiwango chao cha ushawishi , CHADEMA ina ushawishi katika sehemu ya jamii ambao hauwezi kupuuzwa katika mjadala wowote unaohusu mustakabali wa kisiasa na kikatiba wa Taifa. 2. Uhusiano wao na makundi yanayojiona kuumizwa au kuumia, Kila kundi linalohisi kutendewa isivyo haki, kunyimwa nafasi au kuumizwa katika mfumo wa kisiasa, mara nyingi hujikuta likihusishwa na CHADEMA, chama ambacho hujitambulisha kama mtetezi wa haki na sauti ya makundi hayo. Na hayo Makundi yameamini na wamewaamini huwezi kupuuza 3. Kiwango cha kuaminika, CHADEMA ina mtaji wa uaminifu miongoni mwa sehemu ya wananchi. Katika siasa, uaminifu ni mtaji muhimu kwa sababu unaweza kuifanya hoja ya chama fulani kupokelewa na kuaminiwa na watu wengi zaidi ya wanachama wake Binafsi naona hivi hakuna eneo au Huwezi kujenga mwafaka wa kitaifa kwa kuacha mezani sauti ambazo zina ushawishi, zinawakilisha hisia za sehemu ya jamii na zina mtaji wa kuaminika kwa wananchi. Nimemsikia kigaila wa CHAUMMA anashindwa kutafsiri kati ya kwamba Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayekupinga kwa sababu ya uhasama na mtu anayekudai ufafanuzi kwa sababu anaamini kuna jambo haliko sawa. Ukweli ni kwamba ni CCM na Chadema pekee ndio wenye ushawishi wa kuyafanya Maridhiano yawe na Mantiki na hii ni kwa sababu ya Human Capital Waliyonayo Hawa wakina Chaumma, ADC na wengine hata wao nadhani wanaona kuna kitu kuna Miss katika level ya Siasa kama kuna Mjadala wa katiba ama Maridhiano Nimeandika haya maoni baada ya kumsikia Kigaila nami nimeona nitoa angalau Mtazamo wangu kuhusu kutajwa kwa chadema katika kila anaefikiri kwenda mezani Binafsi nataka watu wakae mezani wazungumze.
32
Nani alimuua Binti huyu? Lissu na Heche walikuwa jela. Binti huyu alikuwa haandamani. JINAI huwa haihamishiki.
Unajua, kuna wakati unahisi kabisa kwamba @ChademaTZ2 na viongozi wao wanafanya makusudi kuhamasisha vurugu,ambazo matokeo yake wanayatumia kama faida na fimbo ya kisiasa. Huwezi kuhamasisha vurugu,halafu ukaja kuilaumu Serikali eti ndiyo imekatisha maisha ya binti,wanaopaswa kulaumiwa hapa ni Lissu, @HecheJohn ,@MariaSTsehai , @mangekimambi na wanaharakati wote, akiwemo John Pambalu, ambaye hivi sasa yuko mikononi mwa vyombo vya sheria kwa makosa hayo hayo yaliyopelekea maisha ya binti huyu kukatizwa.
2
34
1,136
MARIDHIANO yalikuwa ya maana na MUHIMU kama yangefanyika kabla ya uliokuwa umepangwa kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Sasa CCM iko madarakani KIHUNI na DAMU za watu kumwagika. Mtaridhiana NINI?
Mnaridhiana mauwaji ya tarehe 29.10.2025? Walioagiza, kusimamia na kutekeleza upande mmoja upande mwingine waliouwawa, kuumizwa na kuharibiwa mali watawakilishwa na nani? Tunajua mnataka kilazimisha marekebisho ya katiba. Katiba ni ya wananchi au kikundi cha watu?
2
2
18
2,180
Hivi DAMU kama hii iliyomwagika bila HATIA inawaachaje watu na familia zao salama? Mungu huyu ni wetu sote. Atatenda.
Mlifikiri mtapoteza ushahidi? Kamati ya Jaji Lina huenda kuna machawa wanawadanganya; wanaharakati walihonga waandamanaji, sijui Chadema walihamasisha. Ushahidi kama huu upo watu wanaogopa kupotezwa. Wakati utafika haya yatawekwa hadharani na hayatazuiwa na maridhiano "fake."
1
4
34
971
"Msikubali kufanya MARIDHIANO baada ya huo unaoitwa uchaguzi. Mkikubali kufanya kufanya hivo mtakuwa watu wa HOVYO sana".'-Polepole. Pumzika unavyostahili Polepole. Taabu na shida hii ilianzia kwa Magufuli uliyemkubali sana. Makosa kwenye SIASA huwa ni magumu sana kurekebisha.
“MARIDHIANO” YA VYAMA 14 VYA SIASA : Licha ya kwamba Vyama 14 vya Siasa hapo 👇 HAVINA UGOMVI NA SERIKALI, lakini vimeamua “KURIDHIANA” ili KUONDOA UGOMVI ULIOPO na hatimae KULIPONYA TAIFA. Hongereni sana Vyama 14 vya Siasa. Pokeeni 💐🥀🌷🌹 yenu.
3
8
52
2,104
Wenzako wanasema kilishakufa hiki chama. Msajili afute maiti?
WATANZANIA WAMUOMBA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUKIFUTIA USAJILI CHADEMA. Baadhi ya wananchi wamewasilisha ombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, wakimtaka kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwemo kukifutia usajili kwa madai ya kukiuka masharti na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa vyama vya siasa nchini.
5
4
27
1,715
Leo ni siku ya mwanaume duniani. Kuwa mwanaume angalau. Hili la KUJIKOMBA kwa wenye MAMLAKA sio tabia ya kiume. Hata chawa kuna wakati huwa anamng'ata anayemhifadhi ili aweze kuishi.
TANGAZO‼️ ADUI wa Rais Dkt @SuluhuSamia , kijana wake @AbdulAmeir na familia yake kwa ujumla ni ADUI wa Suphian pia. Haiwezekani watujengee nchi vema, halafu kikundi kidogo cha wapinzani wehu na wanaharakati uchwara watujengee chuki juu yao kwa maslahi yao binafsi. IELEWEKE‼️
2
3
37
2,646
PUMZI KWANZA.
1
5
639
Mnamuanika ninyi chawa wake. Alichaguliwa lini na nani?
Rais Dkt @SuluhuSamia ni: 1)Mkuu wa nchi 2)Mkuu wa Serikali 3)Mkuu wa majeshi yote 4)M/kiti wa chama ongoza Serikali 5)Raia namba moja 6)Mkuu wa mengineyo usiyopaswa kuyajua Hivyo Rais/familia yake sio wa KUPARAMIWA HOVYO; vijana muwe na mipaka MTALIA NA FAMILIA ZENU PEKE YENU.
1
1
13
764
Kuwa na mawazo tofauti sio tatizo. Tatizo ni kama unachokisimamia na kukitetea ni cha KWELI na HAKI? Kwa mfano uchaguzi ulifanyika mwaka jana na Samia akapata karibu 98%, zaidi ya kura milioni 32? Ni MPUMBAVU pekee anaweza kulitetea hili.
Kuwa na mawazo tofauti na nyini si kukosa kazi,hii nchi ni yetu sote na hakuna mtu mwenye hati miliki ya Tanzania,Serikali zinaondoka,viongozi wanapita,lakini taifa linabaki,ndio maana kwa kutambua hilo nimeamua kusimamia haki ya kweli kwa kusema ukweli ambao nyinyi mnataka kuupotosha ili wananchi waichukie Serikali yao isiyolala ikipambanakuwatafutia ufumbuzi wa maisha yao bora. Kuhusu watoto wangu, usiwahusishe kwenye mijadala ya kisiasa,Mimi ninachokifanya ni kutumia haki yangu ya kutoa maoni kuhusu mustakabali wa nchi yangu. Kiongozi yeyote atakaekuja akifanya vizuri kama Rais Dkt Samia nitamtetea kwa nguvu zangu zote na wala sitaogopa kwa sababu hakuna aliye juu ya taifa.
13
935
Kwa hiyo ni kweli serikali hii inaua watu? Basi jitahidini. Wa kuuawa tuko wengi sana. Damu yangu ikimwagika kwa kuipambania HAKI niko tayari.
Uliyoyapitia ni madogo mno. Yajayo yatakuhuzunisha mno. Narudia; wanaokuhadaa shujaa UTAWALAANI SANA muda sio mrefu. Hizo emails ulikuwa unaonewa huruma upunguze domo-chuchunge angalau uongeze siku za kuishi. I wish ningekushauri ila wewe ni sikio la kufa na jua limeshazama.
3
34
1,902
Hii ndoto Yangu siku moja itakua kweli nimeota nchi imekombolewa na Chadema wananchi tulifurahi kuliko hata kipindi cha uhuru Ni ndoto tu.
3
6
30
549