Pinned Tweet
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu..
Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!!
Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga?
Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!!
Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
John Heche retweeted
'Tunafikiri bunduki ndiyo inaweza kulinda amani' – Warioba
bbc.in/3WHkdkm
John Heche retweeted
Hheeee kuna mtu uko insta anauliza kwa nini uko Zanzibar maridhaino yalifanywa kati ya ACT na CCM na siyo vyama vyote maana vina operate Zenj ana Tanganyika ? Kanifumbua macho kwa swali hili !
John Heche retweeted
May we not forget that Twaha Mwaipaya is still missing.
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA
John Heche retweeted
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel…….
KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi…..
Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki…..
Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania.
Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano.
Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
John Heche retweeted
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hizi……
Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hizi…..
John Heche retweeted
Shida mnahisi bado tupo zama za MAWE.
Vuta picha MPUMBAVU kama huyu ndio BABAAKO.
John Heche retweeted
Today marks 24 days since Twaha Mwaipaya was abducted.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
John Heche retweeted
The @TheChanzo wali cover hali ya angel tarehe 28 October. Alikuwa anaongea, mwenye faraja pamoja na maumivu, mwenye hope.
Wiki 3 za Muhimbili, Marehemu.
Maana yake ni bora angebaki nyumbani
John Heche retweeted
Angel Wariael, binti aliyejeruhiwa kwa risasi Oktoba 29, afariki dunia Muhimbili
bbc.in/3WJnHmp
John Heche retweeted
PUMZIKA KWA AMANI, BINTI.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoelezeka, tunakuaga wewe uliyeondoka duniani kabla ya wakati wako. Uhai wako umekatishwa kikatili na watu wazima waliopoteza utu, huruma na thamani ya uhai wa binadamu.
Inasikitisha zaidi kusikia kwamba, licha ya vifo na maumivu ya wahanga, bado kuna wanaokimbilia kuendeleza kile wanachokiita MARIDHIANO, kana kwamba wamesahau kwamba UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIO MSINGI WA MARIDHIANO YA KWELI NA YA KUDUMU.
Binti, kifo chako hakitakuwa sababu ya sisi kunyamaza.
Tutaendelea kudai na kupigania haki yako na haki ya wahanga wengine wote. Hatutakubali damu iliyomwagika, maisha yaliyopotea na machozi ya familia zilizofikwa na majonzi vifunikwe kwa pazia la maridhiano yasiyo na ukweli, haki wala uwajibikaji.
MARIDHIANO SIYO KICHaka CHA KUJIFICHA KUKWEPA UWAJIBIKAJI.
Hatuwezi kujenga amani ya kweli kwa kusahau waliopoteza maisha yao wala kwa kuwanyima wahanga haki wanayostahili.
Pole sana kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu mzito. Hakuna maneno yanayoweza kufuta maumivu yenu. Tunawaombea nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
PUMZIKA KWA AMANI, BINTI. HAKI YAKO TUTAENDELEA KUIDAI. KUMBUKUMBU YAKO HAITAFUTIKA.
×××××××××××××××××××××
REST IN ETERNAL PEACE, DEAR DAUGHTER.
With profound sorrow and indescribable grief, we mourn your untimely departure from this world.
Your life was cruelly cut short by adults who appear to have lost their humanity, compassion and respect for the sanctity of human life.
What makes this tragedy even more heartbreaking is hearing that, despite the deaths, suffering and anguish of victims and their families, some are still determined to proceed with what they call RECONCILIATION, as though they have forgotten that TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE VERY FOUNDATION OF GENUINE AND LASTING RECONCILIATION.
Our beloved daughter, your death will not silence our voices.
We shall continue to demand and fight for justice for you and all other victims.
We shall not allow the blood that has been shed, the lives that have been lost and the tears of grieving families to be buried beneath a false veil of reconciliation that has neither truth, justice nor accountability. RECONCILIATION MUST NEVER BECOME A SANCTUARY FOR THOSE SEEKING TO EVADE ACCOUNTABILITY. There can be no genuine and lasting peace built upon forgotten lives, suppressed truths and denied justice.
My deepest condolences go to your family, relatives, loved ones and everyone affected by this heartbreaking loss.
REST IN ETERNAL PEACE. WE SHALL CONTINUE TO DEMAND JUSTICE FOR YOU. YOUR MEMORY SHALL NEVER BE ERASED.
BAK MWABUKUSI
Mtoto wa miaka 13.
Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari.
Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu.
Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo.
Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha.
Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote..
Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka.
Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu.
Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema.
Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika.
Pole sana familia ya Angel.
Pumzika kwa Amani Malaika.
John Heche retweeted
Replying to @Europarl_EN
@Europarl_EN @UNHumanRights @commonwealthsec
@tedcruz @SenatorShaheen @SenateForeign @SFRCdems
Samia Suluhu has begun eliminating key witnesses to the October 29 atrocities, individuals who could testify against her in the future.
An independent investigation must be launched to establish exactly what happened to this witness at Muhimbili National Hospital. The circumstances surrounding this case demand urgent scrutiny and accountability.
John Heche retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
John Heche retweeted
Maxence Melo atunukiwa tuzo ya kimataifa ya haki za binadamu
bbc.in/3V1i6qO
John Heche retweeted
A stupid leader is dangerous. A stupid leader with loyal followers is a disaster.
John Heche retweeted
This demon Samia doesn't have a single strain of shame, running our country to the ground and doesn't care. The worse part is all these Tanganyikans who are selling us for a pocket change🤦🏾♀️ This is exactly how we were colonized, and these idiots never learn. WE MUST STAND UP, UNITE AND FIGHT AGAINST INJUSTICE. SELFISHNESS IS OUR NUMBER ONE ENEMY FOLLOWED BY FEAR OF TRYING.
samia suluhu hassan’s “national dialogue” with 16 opposition parties that couldn’t scrape 2% between them is pure theatre. She took 97.66% after locking up the actual opposition leader @TunduALissu (now serving 4 years) and disqualifying CHADEMA.
Those parties don’t speak for the voters and never have. Real reconciliation starts with releasing the man who actually represents the opposition, not posing with the ones who don’t.
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu #Tanzania























