Nick Luhende! retweeted
Inaweza ikawa positive au negative wereva lakini CDM wameteka attention ya nchi kuanzia mwishoni mwa mwaka jana mpaka sasa hivi!!
Matukio after matukio!!
Nimewaza nikacheka sana leo. Kwahiyo washkaji wakaandika waraka, ndani yake wakatoa ushauri. ALAFU WANATAKA KUJIBIWA???? 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃💥💥💥💥💥
51
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Replying to @Advocate_Jebra
Atakua haijui tofauti ya barua na waraka, kuna waraka pia wa baraza la maaskofu kuhusu uchaguzi nimewahi kuzisoma, sijasikia popote maBABA wale wanatafuta kujibiwa..
19
Nick Luhende! retweeted
Tarehe 03 Aprili, Mwenyekiti alisema, "andiko lao lote nimelisoma, hoja zao zinajadilika, zinajibika, waje ofisini tuongee"
But these G55 hata siku hiyo hawakuja na walikuwa wamealikwa. Kifupi wanachokisema sicho wanachokitaka! Ni muda they will be irrelevant!
2
23
Nick Luhende! retweeted
Namna hii! ✅
Jamaa zetu tayari wameingia kwenye mfumo! Babu yangu aliwahi kusema @chadema ni chama cha msimu—sasa wanafanya juhudi za kuzima moto wetu wa #NoReformsNoElection! Wanapita kila tunapopita, lakini hatulegei!
Kwa sababu hili ni jukumu letu kwa wananchi na kitu tunachokipenda kufanya, niwathibitishie kuwa Mwenyekiti @tundulissu na Makamu @hechejohn watakuwa mtaani kila siku, hadi kieleweke!
Ukweli upo wazi:
❌ Hamna uhalali kwa wananchi
❌ Hamna morali ya kupambana
Tunaendelea kusukuma mbele harakati za mabadiliko! Changia tone lako kupitia 0744 446 969 (Jina: CHADEMA HQ) ili kuleta mabadiliko tunayoyataka!
✊ #NoReformsNoElection✊
Nick Luhende! retweeted
Mimi na familia yangu HATUTOENDA KUJIANDIKISHA na HATUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025.
Wewe je?
Nick Luhende! retweeted
Pale @ChademaTz upande wa Media/mawasiliano tumepata watu haswa @BrendaRupia & @kevin_ndabila deserves my respect (with their team behind) ✌🏾✊🏾🙌🏽
Nick Luhende! retweeted
#Njaa53 mnapenda kujipa umuhimu ambao hamna. Yaani chama kiache kuelimisha wananchi juu ya #NoReformsNoElection kihangaike na hizi sinema zenu na TISS, Sigrada na Lembrus Mutungi?
Lissu na Heche wapo Kusini. Mnyika anatoa mafunzo. Nabii Lema anatoa mifano ya vitendo namna Tume ya Uchaguzi ilivyo kuwa hovyo.
Yaani chama kiache kufanya mambo ya maani kianze ku-deal na kina Ntobi, @JonMrema, Julius Mwita watu ambao matatizo yenu yanaweza kumalizwa na matawi yenu.
Bwana Jon, kama una mashida fika tawi lako la Segerea watakusaidia
Hebu kuweni serious kidogo basi.
Nick Luhende! retweeted
Jioni hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @TunduALissu akiwasili Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
Nick Luhende! retweeted
Replying to @IjKimathi
Viongozi hawawezi kupoteza muda kujibizana na makuwadi wa kisiasa
Nick Luhende! retweeted
Hawa wamemaliza kila kitu!!!
Kanyimbo kao kanachoma kama pasi
Chapa repost kwa Wamama mpaka iwafikie!!
Nick Luhende! retweeted
SC TAL si tu kwamba anahutubia, bali anafundisha na kujenga imani ya watu ktk movement ya #NoReformsNoElection.
Movement building.. I admire 🙌🏼
Mbunge akilia huyu mtoto anasaidikaje?
Akitoka hapo V8 iko wapi nipeleke Airport.
Sanaa!!!
VIDEO:
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Jesca Kishoa, ameonesha kuguswa na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, kufuatia ziara yake ya kuwatembelea na kusikiliza matatizo yao.
Katika ziara hiyo ya tarehe 05 Aprili 2025, Mheshimiwa Kishoa ametembelea Shule ya Sekondari Mwanga ambayo inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji safi.
Imeripotiwa kuwa wanafunzi wa shule hiyo hulazimika kutembea zaidi ya kilomita mbili kutafuta maji, hususan wanapohitaji kutumia vyoo. Ili kusaidia kupunguza adha hiyo, Mbunge Kishoa ametoa msaada wa shilingi milioni 3 kwa ajili ya kusaidia upatikanaji wa huduma ya maji shuleni hapo.
Aidha, mbunge huyo amekutana na mama mmoja ambaye alitelekezewa mtoto mwenye ulemavu na watu wasiojulikana kwa kipindi cha zaidi ya miaka sita. Mama huyo amekuwa akihangaika kutafuta msaada wa huduma za mtoto huyo mwenye mahitaji maalum.
Akisimulia namna alivyotelekezewa mtoto huyo, mama huyo amesema aliombwa na Bibi mmoja kumshikia mtoto kwa muda, lakini Bibi huyo alitoweka kusikojulikana. Baada ya kufuatilia, alibaini kuwa mama wa mtoto huyo alifariki dunia kwa kunywa sumu, baada ya kugundua kuwa amejifungua mtoto mwenye ulemavu.
Katika kuendelea na jitihada zake za kusaidia jamii, Mheshimiwa Kishoa alikabidhi kiti cha magurudumu (wheelchair) kwa mzee mmoja anayesumbuliwa na ugonjwa wa kupooza. Pia, alitoa msaada wa shilingi 500,000 kwa kila mmoja kwa watu wawili wenye ulemavu, ili kuwawezesha kujikimu na kuendesha maisha yao.
Mheshimiwa Kishoa ameahidi kuendelea kuwa bega kwa bega na wananchi hao, huku akisisitiza dhamira yake ya kuwatumikia kwa moyo wa huruma na kujali ustawi wao.
31
Nick Luhende! retweeted
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @ChademaTz mkoa wa Tabora, James Kabepele, amekanusha kuhusika na waraka wa vuguvugu la G55 linalodaiwa kupinga kampeni ya No Reforms No Election, akisisitiza kuwa hakuwahi kuweka saini kwenye waraka huo wala kuonesha nia ya kugombea jimbo lolote.
Kabepele amesema kuwa waraka huo unaotaja jina lake kama mtia nia wa Jimbo la Igalula, pamoja na saini inayodaiwa kuwa yake, si wa kweli na haukuwahi kupata ridhaa yake.
“Mimi si mtia nia wa jimbo lolote, na sikuwahi kuweka saini kwenye waraka huo. Siwezi kujua nani aliweka saini hiyo kwani ni rahisi kughushi kwa sababu ya nafasi yangu na ushiriki wangu katika vikao mbalimbali vikubwa,” alisema Kabepele akizungumza na Jambo TV.
Kabepele ameeleza kuwa haipingi kampeni ya No Reforms No Election, huku akisisitiza kuwa hakuna mgawanyiko katika uongozi wa CHADEMA mkoa wa Tabora, akisisitiza kuwa wanashirikiana kwa pamoja kutekeleza ajenda ya chama na kusukuma mbele kampeni hiyo ya mageuzi kabla ya uchaguzi.
“Hii siyo ishu ya mtu mmoja mmoja. Mkoa wa Tabora tumeungana, tunasubiri miongozo ya kitaifa, na tunatekeleza yale tuliyokubaliana kama chama,” ameongeza.
Kuhusu ziara ya viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu @TunduALissu na John Heche @HecheJohn , Kabepele amesema maandalizi ya mapokezi yao yamepangwa kwa umoja kupitia kamati maalum za maandalizi, kufuatia maazimio ya Baraza la Mashauriano.
Ameeleza kuwa viongozi hao wanatarajiwa kuwasili Tabora kama sehemu ya ziara ya Kanda ya Magharibi kwa ajili ya kuhamasisha ajenda ya No Reforms No Election na kampeni ya Tone Tone, huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi.
Pia Kabepele amebainisha kuwa si yeye pekee aliyeghushiwa saini kwenye waraka huo, bali kuna viongozi wengine wa mkoa wa Tabora waliokumbwa na hali kama hiyo.
Wamekurupuka kwenye kila kitu, hadi jina walilojiita.
Eti wanasema wanawakilisha wengine 200. Hiyo ni petition???
G 55 ni Kundi la Wazee Makini ,Wazalendo wa Tanganyika na wqloweza kumwambia Mwl.Nyerere Wazi kwamba Serikali 3 Ndiyo suluhisho. Hawa ni mashujaa wa Tanganyika hawakutafuta fursa za Ubunge bali utaifa wao na Haki katika Muungano.
Ni vema watu wote timamu kwa Heshima ya Wazee wetu ikiwemo Jenerali Twaha Ulimwengu,Njelu Kasaka,Philp Marmo,Lumuli Alipipi Kasyupa na Wenzao tuache kutumia jina la G55 ili kulinda historia jadidi ya Tanganyika na urejesho wake.
Hawa walikuwa 55 ndiyo maana waliitwa G55 haiwezekani watu 7 au kumi kujiita G55 ni kubaka na kunajisi historia ya Taifa letu.
47























