Nerst (@nerst06) header
Nerst (@nerst06) profile picture

Medicine| @ManCity| @Barca what are you afraid to lose when nothing in the world belongs to you✨️

Here
Joined January 2020
Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)
Mwambie mtoto ukweli usimfiche dunia ni mbaya
14
32
272
14,789
Nerst retweeted
Jamaa ajalipwa hela zake na mchina miezi mitatu anamueleza huyo boss Nipe hela huyo mchina anamjibu unachakunifanya angalia Mtanzania alichokifanya 🙆🏾
78
51
23
385
63,161
Nilikuwa naangalia historia za safari nyingi za kuondoka na ukandamizaji na uonevu katika jamii ya kiafrika nataka ni waambie Tundu Lissu ni shujaa atashinda ataleta usawa na haki katika taifa ili .
5
121
1
450
11,383
Nerst retweeted
A cup of coffee in Italy 🇮🇹 is cheaper compared to Tanzania. 😅Mind you, Italy doesn’t grow coffee. Watu wa Unit Economics make it make sense.🥲
26
19
9
245
12,054
Wala sio swala la elimu Mfano wewe hapo na Diploma yako ya mwalimu nyerere wakikuwekea Dola mia na Kuwait Dinar 100 obviously utachukua dolla. Issue ni exposure tu.
Dah Elimu ni muhimu sana , kuna mlinzi amewekewa dolar 100 na 10k achague moja. Amechagua 10k 😭💔
60
31
12
220
12,856
🥹NDUGU ZANGU HII SERIKALI HAPANA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙇🏽‍♂️😭
32
179
11
900
62,697
Maana ya neno FOCUS si kutokutana na vikwazo, bali ni kutoruhusu vikwazo vikupotezee mwelekeo.
9
45
1
211
6,192
Imagine mtu alifukuzwa kazi, kwa sababu tu aliokoa maisha ya Tundu Lissu wakati amepigwa risasi 2017🙌🙌🙌🙌
11
45
4
333
6,817
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
42
236
31
1,051
96,720
Tumeonewa na kufanyiwa ukatili mkubwa na viongozi wa CCM na serikali ya CCM kwa muda mrefu sana…….. It’s time for a new Tanzania to be born…….. Tupambane…..:::
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
22
231
1,247
40,044
Nerst retweeted
Kuwa Katibu Mkuu sijui Mwenezi wa chama kikubwa kuwa Muongo vile tena kwenye hadhara inafikirisha sana… Feel sorry kwa Wanachama wao unadanganywa kwa confidence ya hali ya juu na wewe unashangilia ni jinsi gani amekuona Zoba 😂
11
9
2
117
4,497
Nerst retweeted
Toka twita iingie bongo sijawahi kuona mwanamkr mzuri kuzidi wewe humu
This quoted post is unavailable.
6
6
4
16
1,974
Every African country should implement this.
46
993
38
3,916
36,214
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa. Tusikubali Heche akawa demoralized. Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa. Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
33
381
8
2,081
62,519
YAANI MTU UNAMUOMBA SHIDA ZAKE ZIWE ZAKO HALAFU ANAKUZUNGUSHA 🤣🙌
5
9
1
50
1,400
Nerst retweeted
Japo sina uwezo wa kumpangia Mungu maamuzi juu ya maisha yangu ila siku zote huwa namuomba nisije kuzika watoto wangu bali wao wanizike mimi.
6
14
93
2,590
Wanawake tangu muanze kumiliki mageto yenu uhuru umezidi sana, kweli mimi wakuulizwa “Uko free nikuvushe?” 😂🙌
58
73
6
495
16,587
siku zote ukatili unaoonekana ni ule wa wanaoonewa tu dhidi ya wakandamizaji wao. dola linaweza kuteka, kutesa, kufunga, kubaka, kulawiti, na kufukarisha watu kwa miaka. lakini siku moja tu w'nchi wakisimama na kusema, "inatosha," tunaanza kuimba amani, na kuunda matume kibao!
5
98
2
455
5,780
Ndoa ya masai na CCM inazidi kuingia dosari, huko Makuyuni kitongoji cha watu 1,000 kimeachiwa ekari 100 tu, 300 iliyobaki wameambiwa ni ya mwekezaji na ukiangalia wananchi wapo hapo kwa zaidi ya miaka 30.
4
19
4
189
8,284
Ukienda ugenini unatakiwa kukaa masaa mangapi ndiyo uanze kuwasaidia wenyeji kazi.?
12
20
2
58
1,617