Pale Yanga tumesajili Magalasa chini ya Eng Hersi halafu lawama anapewa Kocha kwa kufukuzwa
Ifike muda wanaYanga tuseme ukweli tunaharibu CV za Makocha wakati tatizo ni Eng Hersi
Adamoo retweeted
Replying to @Addy_Adams
Asante “Malezi yanachangia” Sana 80%.watot wa BaoBao nao excuse yao n Kata!? Mbona sis tumesoma kata..ivi unajua wazaz hua wana omba shule zifunguliwe watoto wamewachosha!? Suala la Malezi limekua la walimu pekee wakati nyakat zetu ilikua n jamii nzima.wazaz tubadirike
Marvellous Marvin Hagler the greatest and my favorite middleweight of all time,,, Mkali alikua hajui kurudi nyuma wala kushika hata upige ngumi vipi. Rest Well CHAMP 🕊️
Huu mwaka uishe tu kwakweli…
Miezi miwili nyuma nililipia kimakosa kiwanja cha jirani tsh 565k… uki Surrender Hati kuna gharama tena yaani almost 800k imepotea,,mind you hapo inabidi na kiwanja changu nikilipie upya
Si kawaida au nina wenge la AROSTO maana niko Sober muda
Ni umaskini tu,,, kama mzazi unatakiwa upambane sana mtoto wako asije kusoma hizi shule za kata
Nimeoana baadhi ya video, Wanafunzi waliomaliza form IV wengi wao tayari wameshaharibikiwa kabisa
Adamoo retweeted
Huyo mama anaweza ishia pabaya san kwa tamaa zake mbaya
1. Kwa mujibu wa sheria zetu, kupokea hela kimakosa na akajulishwa kuwa si zake na akakaidi kuzirejesha ni kosa la jinai kwenye PENAL CODE Cap 258 kfungu kidogo (e) “kutumia hela kwa hiari yako kunaweza kuonyesha nia ya udanganyifu hata kama unapanga kuzilipa baadaye”
2. Sheria nyingine ya LAW OF CONTRACT Section 72 kinasema kwamba “mtu aliyepokea pesa kimakoda anatakiwa kuzirejesha.
Hapa mkuu tumia wadosi wa kaki, hizo hela utazipata vizuri tu, sheria zipo wazi.














