Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru ๐Ÿ™๐Ÿฟ #VituVyaPeponi #MatomboStyleโญ๏ธ

Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua โ€œkufa kiumeโ€ na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
36
218
13
986
182,331
NYANI MZEE retweeted
Uhusiano wako na watu wa karibu, kwa kawaida, huyafunua mapungufu yako vizuri. Usichokijua kuhusu wewe kinaonekana vizuri zaidi ukishakuwa karibu na mtu na ukaanza kuwajibika kwake. Tabia zako kwa watu wanaokujua vizuri (familia, mpenzi nk) ndizo zinazosema wewe ni naniโ€”sio busara zako ukiwa kazini, ucheshi wako unapokuwa na watu mnaokutana mara moja moja na ukarimu wako kwa watu wasiokufahamu.
1
10
1
21
634
NYANI MZEE retweeted
Air Msae!!
7
2
1
16
826
Mabishoo bwana
1
1
443
NYANI MZEE retweeted
Hiyo bluetik inaoneka huko.?๐Ÿ˜Ž โ€“ at Tanzania
33
25
2
91
1,780
Aisee ๐Ÿ˜‹๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
This quoted post is unavailable.
1
1
8
1,269
Replying to @jwise017
Huyu hata sio wa kumwacha na dada zake๐Ÿ˜‚
2
1
2
268
Kwa wasiomjua nyani mzee @jwise017 ndio huyu
2
3
4
1,887
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Masaa ma6 ndani kwa ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
1
1
148
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Hao ndio maana wana majina ya wanyama, popote wanakiwasha
1
1
69
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Daaaah
1
11
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Abadili dini awe islam Au abaki na kabila lake (kama hatoki pwani lakini)
1
1
22
Aina ya mavazi unayovaa inaweza kukukosesha mchongo? Unawachukuliaje watu wanaovaa jinsi za kutoboka toboka?
3
4
170
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Hawa Genz si wataanza kutubaka hata si wazazi wao kweli ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
1
1
629
Sabato ya leo nna abudu hapa..Kichangani SDA.๐Ÿ™ ~Sikuchelewa jmn ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚sema hiki kibao nakipendaga sana kinahamasisha kuwahi๐Ÿ™๐Ÿฅฐ
12
24
2
199
6,092
Binamu tuachie hata hawa wanaotumia haifoni eleven ๐Ÿ˜‚
Weekendiing.!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
1
1
6
744
NYANI MZEE retweeted
Weekendiing.!๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
5
2
1
12
1,099
Wanawake WOTE huwa wanazaliwa wakiwa wapiga picha. Fani zingine ndio huwa wanajifunza ukubwani.
7
640
Ndugu zangu hii "private air strip/ parking" Ilopo kwenye the terminal list Season 2 episode 3 dk 2:19 kusini mwa Tanzania ni kwetu nakapanya au ?/๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ @bajabiri x @zeanonymouspoet x @MoruoKing x @jwise017
3
3
6
1,378
NYANI MZEE retweeted
Duh
Wangoni pombe mnasingiziwa tu nyie watu wa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ˜‚
1
15
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Mamae ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
82