Nerst (@nerst06) header
Nerst (@nerst06) profile picture

Medicine| @ManCity| @Barca what are you afraid to lose when nothing in the world belongs to you✨️

Here
Joined January 2020
Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)
Mwambie mtoto ukweli usimfiche dunia ni mbaya
14
32
272
14,785
Nerst retweeted
Jamaa ajalipwa hela zake na mchina miezi mitatu anamueleza huyo boss Nipe hela huyo mchina anamjibu unachakunifanya angalia Mtanzania alichokifanya 🙆🏾
78
51
23
377
61,880
Kwann kuna watu ukiwa unawa overtake ndo wanaongeza spidi?
10
So ishu za madawa bila kuchomwa na moja ya watu aliehusika kwenye dili hilo sio rahisi kukamatwa.
6
Mapema tu nasikia " mama samia bibi yangu" siku ishakuwa ngumu hii🤦🏽
22
Nilikuwa naangalia historia za safari nyingi za kuondoka na ukandamizaji na uonevu katika jamii ya kiafrika nataka ni waambie Tundu Lissu ni shujaa atashinda ataleta usawa na haki katika taifa ili .
5
121
1
450
11,376
Nerst retweeted
A cup of coffee in Italy 🇮🇹 is cheaper compared to Tanzania. 😅Mind you, Italy doesn’t grow coffee. Watu wa Unit Economics make it make sense.🥲
26
19
9
245
12,045
Wala sio swala la elimu Mfano wewe hapo na Diploma yako ya mwalimu nyerere wakikuwekea Dola mia na Kuwait Dinar 100 obviously utachukua dolla. Issue ni exposure tu.
Dah Elimu ni muhimu sana , kuna mlinzi amewekewa dolar 100 na 10k achague moja. Amechagua 10k 😭💔
60
31
12
220
12,785
🥹NDUGU ZANGU HII SERIKALI HAPANA 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙇🏽‍♂️😭
32
179
11
900
62,511
Maana ya neno FOCUS si kutokutana na vikwazo, bali ni kutoruhusu vikwazo vikupotezee mwelekeo.
9
45
1
210
6,188
Imagine mtu alifukuzwa kazi, kwa sababu tu aliokoa maisha ya Tundu Lissu wakati amepigwa risasi 2017🙌🙌🙌🙌
11
45
4
331
6,728
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
42
236
31
1,049
96,357
Tumeonewa na kufanyiwa ukatili mkubwa na viongozi wa CCM na serikali ya CCM kwa muda mrefu sana…….. It’s time for a new Tanzania to be born…….. Tupambane…..:::
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Zaidi jamii.app/VeroSiogopiKutekwa #JamiiForums #Utawala
22
231
1,244
39,901
Ukisimama nchale ukikaa nchale
Leo nchana tutapiga nyama ya nyati na ubwabwa, niwape lokeshen?
13
Nerst retweeted
Kuwa Katibu Mkuu sijui Mwenezi wa chama kikubwa kuwa Muongo vile tena kwenye hadhara inafikirisha sana… Feel sorry kwa Wanachama wao unadanganywa kwa confidence ya hali ya juu na wewe unashangilia ni jinsi gani amekuona Zoba 😂
11
9
2
117
4,490
Nerst retweeted
Toka twita iingie bongo sijawahi kuona mwanamkr mzuri kuzidi wewe humu
This quoted post is unavailable.
6
6
4
16
1,972
Vitumbua for breakfast anyone 🤌🏽
17
Personally nachukulia dini kama urithi kutoka kwa wazazi nothing special ndomana mtu akisema vibaya kuhusu UKRISTO, UISLAM au dini yoyote simuelewi kwakua Mungu ni mmoja. Naulewa sana UISLAM japo ni MKRISTO ila kwenye kufa na kuzikwa siku hiyohiyo ndo sielewi kama nilizimia je?
15
Every African country should implement this.
46
993
38
3,916
36,209
Watanzania, Tumlinde @HecheJohn kwa wivu mkubwa dhidi ya wasaliti na machawa. Tusikubali Heche akawa demoralized. Lissu mara kadhaa kamwambia Heche hadharani “peleka moto”. Sasa ni kazi yetu sisi Watanzania kuhakikisha Heche harudi nyuma na wala hakati tamaa. Nguvu ya umma pekee ndio itakayo wawezesha Heche na Lissu kutushindia hii vita…..
33
381
8
2,080
62,389