Chief Mirambo retweeted
Kama hizi post tunaziona humu ndio maisha yenu Halisi.., Oyaah Wanetu Mmetoboa Kmmmk 😂😂🔥🙌🏿
Chief Mirambo retweeted
Please vote for Savatir for Author Of The Year in the Shinning Stars Africa Awards to be held in Rwanda.
You get 1 free vote per day between now and the deadline in 13 days, so you can vote daily.
Here's the link to vote: ssaward.com/polls/cmlj814xq0… – at Zambia
Chief Mirambo retweeted
Vote for Savatir for Author Of The Year in the Shinning Stars Africa Awards. You get 1 free vote per day between now and the deadline, so you can vote daily. Here's the link to vote: ssaward.com/polls/cmlj814xq0… – at Zambia
Chief Mirambo retweeted
Hawa ndiyo watu wakuwasaidia, naomba repost yako hapa ndugu yetu apate msaada.
Chief Mirambo retweeted
Replying to @georgerugambwa
Fr. Kitima anajua jambo moja la msingi: vitu vinaweza kujengwa tena, lakini maisha hayarudi.Mtu akifa, amekwisha hakuna ukarabati wa uhai.
Kama alivyoandika Desmond Tutu kwenye No Future Without Forgiveness,
“A society that values property over people walks willingly into moral bankruptcy.” Page namba 112
Na Martha Nussbaum anasisitiza katika Creating Capabilities,
“Human life holds a dignity that no material loss can outweigh.” page namba 37
Hivyo kabla ya kulaani vioo vilivyovunjwa, ni busara kwanza kulaani damu iliyomwagika.
#HumanityFirst #KaziNaUtu
Chief Mirambo retweeted
Watanzania 🇹🇿 wote kura tunapiga kwa majirani we @JotiOfficial hii inakula kwenu lazima kiwalambeeeee
VOTE FOR KENYA ARTISTS
PIGA KURA KWA WAKENYA 🇰🇪
Naomba repost 100 tu
Chief Mirambo retweeted
Replying to @Bizydan
Kabla hujakwenda CNN nitajie chombo cha habari hapa bongo kimoja tu kilicho ripoti mauaji yalitokea tarehe 29-30-31 kama hakuna basi usihoji kwanini CNN wamechagua upande . Kama vyombo vya ndani vimechagua upande basi usishangae vya njee na vyenyewe vikichagua upande
Chief Mirambo retweeted
Nani kasema Christmas Mubarak 😂😂Mtaniuaa Familia karata ya udini wamelamba joker 🙌🏿
Chief Mirambo retweeted
“Tumaini letu Sheikh, Taqbir” 😂 wenye ajenda za Dini wajue tunapendana hatuna shida 😂
Chief Mirambo retweeted
✍🏾 @kijitu20 ✍🏾 @Kondoo_wa_Sufi ✍🏾 @TatzoK ✍🏾 @DaffaMousa ✍🏾 @thedx05 ✍🏾 @mtemimirambo ✍🏾 @JerryJanjafull
Chief Mirambo retweeted
Vans 👟
Bei: 55,000/= badala ya 65,000/=
Size: 39-45
📞: 0693688961
WhatsApp: 0743931620
DM @Dream_online_Tz
Chief Mirambo retweeted
Habari ndugu zangu watanzania. Tuendelee kupiga kura katika tuzo za Zikomo Africa hadi tufikie 100%. Tuwakumbushe ndugu zetu waliompigia kura msaliti badala yake wampigie kura Savatir wakati huu. Zambia moja, Tanzania moja, sisi ni taifa moja. zikomoawards.com/polls/cmhw1… – at Zambia
Chief Mirambo retweeted
#TajiriLaKihaya
WAISLAMU Kwa WAKRISTO Sisi ni Ndugu….
Tumeoana, tunaishi pamoja,Sisi ni marafiki… tunafanya biashara pamoja,Tunazika pamoja,tunahudhuria sherehe pamoja… katika familia zetu ni mix ya Wakristo na waislamu…
Kama mjomba wako sio dini tofauti basi atakuwa shangazi yako… Kama sio Binamu yako basi atakuwa shemeji yako…
kuna Waislamu wamesoma shule za wakatoliki na kuna Wakristo wamesoma Islamic schools…
Hata siku moja tusikubali kutengana,tusikubali kuchukiana…
Adui wetu sio Dini zetu… infact Sisi ni Ndugu…
Kila mtu hapa Akiulizwa vizazi 20 nyuma- mababu wa mababu zetu hawakua na hizi DINI… Sisi ni waafrika Sisi ni Watanzania…
hata siku moja kodi haichagui dini, sera mbaya zikitungwa bungeni hazichagui dini… mvua ikinyesha haiwanyeshei waislamu tu au wakristo tu… kifo kikija hakichagui Dini, wote tunakufa, Umasikini au Utajiri hauchagui DINI…
Kama Mungu Hatubagui,iweje Sisi tuanze kujibagua???
Tusikubali huu mchezo Divide and rule,,, tusikubali hii Tenga utawale inayoletwa kimya kimya….
Tusijadili DINI zetu maana mwisho wa siku itamfaidisha anaeleta hizi agenda…
Juzi tu tuliona- Zile Risasi hazikua zinachagua Dini… Lockdown haikua Kwa wakristo tu hata waislamu tulikua ndani… mtandao ulipokatwa hawakukatiwa Wakristo tu hata waislamu tulikatiwa…
Tusikubali kutumiwa…
Hata iweje hata siku moja KIJANA usifikirie Kuchoma MSIKITI Au KANISA…
Hata siku moja KIJANA usikubali kuchoma Qur’an au Biblia…
Vita za Dini ni mbaya saana … tusiende huko!
SISI TUNATAKA KATIBA MPYA, Tunataka tume Huru ya Uchaguzi, Tunataka KURA yetu iheshimiwa- Our votes must Count , tunataka viongozi tuliowachagua wenyewe… tunataka wafungwa wote wa kisiasa waachiwe… haijalishi ni Dini gani!
Tunataka Uhuru wa Vyombo vya habari, tunataka uhuru wa kutoa maoni, Utekaji ukomeshwe,watu wasiojulikana wafahimike…
ADUI WETU SISI SIO WAKATOLIKI AU WAISLAMU…
Adui wetu Sisi sio DINI zetu…
FOCUS 💯
Chief Mirambo retweeted
TUAMKE:Watz kama hatukuamka sasa na kuanza KUITENGENEZA nchi yetu, tuendako kutakuwa kugumu sana.Hakuna nchi inayopata AMANI kwa KUUWA watu. Watawala wanatugawa kwa kutumia dini, vyama, nk.Hii ni hatari TUSIKUBALI. Sote tusimamie HAKI, UKWELI na UWAJIBIKAJI.
Chief Mirambo retweeted
#TajiriLaKihaya
HECHE wanachama wa CHADEMA tupo na wewe…
Kama unakubaliana na msimamo wa CHAMA CHETU -
chapa #Repost iwafikie waleeeeee…
Chief Mirambo retweeted
Ba Zambia, let's vote for Savatir in the Zikomo Awards. Our Tanzanian brothers have come through for us in massive numbers, let's add our votes and win in a landslide with 90% and above. Repost, repost. Here's the link to vote: zikomoawards.com/polls/cmhw1… – at Zambia






























