tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK) header
tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK) profile picture

Legal officer, hard worker, fearless, ant-police brutality and ant-uchawa, interested much in politics & legal practice.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2021
Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)Photo by tatzoKIBUNDA🇿🇲 (@TatzoK)
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Lissu anaweza kuwa anatumikia kisasi cha watu wengi sana waliotaka kuizima sauti yake. Hata hivyo imani yaka na historia yake ya kupigania haki inamfanya asinge mbele. Mungu mwenye haki atamuinua siku zote.
7
66
389
13,343
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
LAW SCHOOL SIYO CHOONI: Jamani sikilizeni, LAW SCHOOL SIYO CHOONI ambapo kila ANAYEBANWA HAJA anaweza kwenda. Ndiyo maana, MAZEZETA wanakimbilia VITI MAALUM. Asikudanganye mtu, UWAKILI ni LAW SCHOOL TU, kinyume na hapo, OGOPA MATAPELI.
19
58
1
487
13,135
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Mawakili tulioko Z’bar, Kesho tunapiga kura kupata Secretary wa EALS, Tumpigie kura @gloria_kimani Nilimjua Uganda tulikuwa wote observers kesi ya Besigye. Alikuja kwenye kesi ya TAL akazuiliwa airport na kina Matha. Tumpigie kura mpambanaji huyu,kwa EALS imara, weka ✅ KIMANI
9
130
7
544
10,536
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha. Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara. Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote. Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!! Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia. Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake. Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
43
263
8
1,334
41,300
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Januari 21, 2025, ni kielelezo halisi cha uchaguzi huru na wa haki. Hakika, tulifanikiwa kuweka msingi na mfano mzuri wa kuigwa katika uendeshaji wa chaguzi za kidemokrasia. Hili linadhihirishwa na kauli za baadhi ya wanachama wa Simba ambao wameutaja uchaguzi wetu kama kipimo sahihi cha uhuru na haki, wakipendekeza utaratibu huo utumike pia katika uchaguzi wao.
19
174
4
845
33,475
TAMKO LA TLS KUHUSU HUKUMU YA TUNDU LISSU TLS imetoa tamko rasmi kuhusu hukumu ya Mhe. Tundu Lissu Kusoma tamko lote, tembelea: tls.or.tz/uploads/1795760938… #tls #UtawalaWaSheria #Tanzania
9
166
3
404
9,082
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
TUWANYIME HESHIMA VITI MAALUM: Baraza la Elimu ya Sheria (CLE) LIMEKUBALI eti AHMAD MAKELE kutoka KILWA awe WAKILI kupitia VITI MAALUM. Nitatumia NGUVU na USHAWISHI wangu wote kwa UMMA ili VITI MAALUM vikose HESHIMA kwa UMMA.
4
21
90
4,268
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Angalia sura zilivowashuka kwa aibu.
20
144
6
1,145
46,190
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Hivi kiumbe kama huyu anaweza kuwa anatumia ubongo wa kitu gani kichwani kwake? Akiwa Msemaji Mkuu wa Serikali yao alijitokeza hadharani akapayuka mate yanamwagika kwamba mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania kwa kuwa umeruhusu kuchapisha maudhui ya ngono.., na akaendelea kuutumia mtandao wa 𝕏 kutoa taarifa rasmi za Serikali yao kwa umma. Hata baada ya kufurushwa na kutupwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya akina PIPITIDA na ANKO T na SOFI AMELOWA amerudi kutumia mtandao wa 𝕏 kutuaga, amewasha VPN (ambayo walisema ni kosa la jinai kutumia) ili kuandika gazeti kushukuru kwa kufurushwa. Hawa watu wamechanganyikiwa.
Salamu. Kwa baraka zake, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote aliyonijaalia yanayoonekana na yasiyoonekana. Nimepokea kwa unyenyekevu mkubwa uhamisho wangu kutoka nafasi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo & Msemaji Mkuu wa Serikali kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Kwa dhati ya moyo wangu namshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuniamini katika utumishi ndani ya Serikali yake ya Awamu ya Sita. Ni dhamana kubwa na yenye maana kubwa kwangu na familia yangu. Asubuhi hii nilipoamka Mwanangu (Daktari Tarajali) kaniuliza “Hey, Gentleman, is everything alright?” Nikamwambia very fine, akaniambia “Keep it burning” halafu huyoo kaenda zake hospitali kuhudumia wagonjwa 😂😂. Nawashukuruni nyote, wadau wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano mkubwa mlionipa katika majukumu yangu ya Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nawashukuru sana watazamaji, wasikilizaji na wasomaji wote katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ambako shughuli zangu nyingi zimekuwa huko. Nawashukuru wamiliki wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, nyie Waandishi wa Habari ni ndugu zangu kabisa, mimi na nyinyi mpaka watuue😜😜. Kama nilivyomjibu mwanangu, niko sawa, niko tayari kwa kazi na niko timamu kuitumikia dhamana mpya niliyopewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nawaombeni tuendelee kushirikiana katika kulijenga Taifa letu. Tuna Tanzania moja tu na sisi ndio Watanzania wenyewe wa kuijenga au kuibomoa. Tuchague kuijenga. Nawashukuru viongozi na watumishi wote wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali na taasisi zote za Wizara kwa ushirikiano na upendo mkubwa tuliokuwa nao. Endelezeni utamaduni huu tulioujenga pamoja. Nawatakia kheri Bw. Abdallah Hassan Mitawi aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mungu awasimamie daima. Karibuni Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. #KaziIendelee
29
88
1
677
57,510
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Mkiona hivi msishangae; shukuruni majinga mengi yanajidhihirisha. Hata CCM hawawezi kutoa kauli za uongo na kizandiki kama hizi. Huku ni kujidhalilisha na kama KM kudhalilisha chama anachoongoza. Chadema ingekuwa na wanachama hao wasingeteka na kuzushiwa kesi za uongo.
26
17
4
110
7,863
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
CHADEMA tumeitangazia DUNIA hakuna MARIDHIANO bila masharti yetu kufuatwa. Kama unaona CHADEMA tunakuchelewesha nenda vyama vingine ambavyo vinaunga mkono mawazo yako ya kutaka MARIDHIANO. Ndege wafananao huruka mti mmoja.
8
150
3
938
11,782
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kitendo cha kumfunga rais mstaafu wa TLS, Wakili Tundu Lissu kimechochea watanzania wapenda haki kupigania amani na mshikamano kwenye taifa lao.
2
53
1
162
2,089
Dadekiiii, Nchi imevimba……. Watanzania kila mmoja wetu akijitoa kutetea na kudai haki kama hivi basi TUTASHINDA HII VITA DHIDI YA WAUWAJI WANAOSHIKILIA NCHI KWA KUTUMIA JESHI LA POLISI……. Kama uko Tz na huwezi kujitoa kwa jina lako basi anzisha page anonymous ya kudai haki kwenye mitandao ya Instagram, tiktok na Facebook. Kama uko nje ya Tanzania tafadhali tumia jina lako na sura yako mwenyewe, account zenye mtu anaonyesha sura yake ndio zinashawishi wananchi kiurahisi zaidi kuliko account zisizo na mtu anaejulikana. Nawaomba haswa diaspora wote tuwe wanaharakati tunaoweka sura zetu kwenye page. Hii ndio njia effective tunaweza kuwasaidia wenzetu nyumbani wapate uhuru wao kutoka kwa WAKOLONI WEUSI!!!! WAKOLONI WEUSI NI WAKATILI KWA WATANZANIA KULIKO WAKOLONI WEUPE WALIVYOKUWA WAKATILI KWA KINA NYERERE….
25
393
5
2,760
158,353
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
JE,KESI ZA JINAI ZINA UKOMO WA MUDA? Jana tarehe 23 Novemba 2026 niliiambia MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA - ARUSHA,kwamba; kwa mujibu wa kifungu cha 43(a) cha SHERIA YA UKOMO WA MUDA, Kesi zote za Jinai, HAZINA UKOMO WA MUDA. Tunasubiri HUKUMU.😁😁
6
29
233
5,140
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
PhD!
7
79
2
606
17,107
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hayo leo Novemba 24, 2026 wakati akitoa misimamo ya chama hicho kwa waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho Mikocheni jijini Dar es Salaam juu ya kauli ya Rais Samia kuanza mchakato wa kuunda Tume na Maridhiano.
7
1
31
922
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
Hali ni mbaya sana!
18
151
1
774
18,081
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
"Tunasisitiza kwa umuhimu kuwa mazungumzo yoyote yenye lengo la kutufikisha kwenye maridhiano ya kitaifa lazima yaongozwe na mpatanishi huru, asiyeegemea upande wowote, mwenye uwezo na anayeaminika na pande zote zinazohusika na mgogoro." Mhe. @HecheJohn
3
59
3
246
8,439
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
🚨‼️DPP APPEALS TUNDU LISSU’ S SENTENCE‼️ #Tanzania Public prosecutor has appealed the sentence of Tundu Lissu 🙄 like seriously! Haya serikali imekatia rufaa hukumu ya Lissu - naona hawajaridhika wanataka anyongwe! Ndo maana nawaambia hawa watu kama mnasubiri waonyeshe logic au utu mnapoteza muda #FreeTunduLissu
44
122
12
451
49,492
tatzoKIBUNDA🇿🇲 retweeted
VIDEO: Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema maridhiano ya kweli hayawezi kuwa mazungumzo ya jumla yanayohusisha mikutano ya kupiga picha, kauli za kisiasa wala hotuba za kuonesha jumuiya za kimataifa kwamba kuna mchakato unaendelea Heche amesema hayo leo Novemba 24, 2026 jiji Dar es Salaam, alipokuwa akizunguza na Waandishi wa Habari, akiwasilisha 'Tamko la Chama hicho kufuatia Mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Vyama Vya siasa.
2
7
37
8,932