Eng.Mapunda Jr retweeted
Mungu alinde muunganiko wako takatifu afya na mbegu bora kila mpandapo, mpate watoto wasikivu kwa wazazi
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana kaka, Baraka za Mungu zikamiminike sana humo ndani.๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Japokuwa tulikuwa tunatamani utuadisie safari yenu jinsi mlivyokutana mpaka kuja kufanikisha hilo jambo maana wengine tunaishiaga njiani.
Eng.Mapunda Jr retweeted
Happy To Be back home . .thank @EngMapundajr kwa mualiko wa harusi yako Mungu Ailinde . Asanteni wote wanadodoma niliokutana nao karibuni sana Shinyanga. โ at Shinyanga, Tanzania
Eng.Mapunda Jr retweeted
Nyie wengine endeleeni kusema hamuwezi deti na Wanaume wa Twitter (X)๐
Big Up sana Mshua.๐๐พ
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana Eng. Mapunda kwa hatua hii muhimu ya maisha. Ndoa ni safari ya upendo, uvumilivu, heshima na kujenga maisha pamoja. Mwenyezi Mungu awabariki, awaongoze na awajalie upendo wenu udumu milele. Hongera sana kwa mwanzo huu mpya wa maisha. ๐๐ฝ๐ฅ
Eng.Mapunda Jr retweeted
Hongera sana @EngMapundajr Na familia yako
Tunawaombea familia yenye Upendo na Amani
Mwenyezi Mungu awe nguzo ya familia yenu
Karibu Chamani ndugu yangu
Eng.Mapunda Jr retweeted
WAMBEA TUMEDHALILIKAโ ๏ธโผ๏ธ
Za ndani zinasema aleolewa sio Capricorn ni mdogo mtu๐๐
Mambo ni mengiiii naskia hata bwana sam mwenyewe alihudhuria harusi ya shemeji ake๐น๐





























