Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J) header
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J) profile picture

No risk No reward📉📈ManUnitedFan Am not a content creator but i can create content

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2015
Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)Photo by Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| (@Baba__J)
Tanzania Gen Z wanakaaa space masaaa zaidi ya 5 wanajadili umbeaa wa Nono.... Hii Nchi acha CCM wafanye wanaavyotakaa wao
12
9
29
20,758
DATA + CRICFY unaburudika Game zote za Ulaya. Hii vita Bado ni nzito sana kwa DSTV pamoja na kushusha bei ya vifurushi vya michezo
57
Hili Jua kuna namna kama Taifa inabidi tufunge na kuomba aiseee hiii balaaa tenaa kama utafutaji wako ni wa Juani ndo hatari zaidi ....
1
53
Nadhani hii Nchi haijwahi kutokea kesi ya Mwanasiasa kama Tundulissu kufatiliwa na watu wengi na wa kila aina hadi wauza matunda mtaani walikuwa wanafatilia hii kesi na sio kwasababu ya Uzito wake ila This time around wananchi wana muhamko wa kufatitilia Namna Nchi yao Inaenda
1
45
Zile gari za polisi MPYA NILIZOZIONA LEO NI BALAAA KABISAA HII NCHI SAIVI MDA WOTE KAMA IPO KATIKA HALI YA HATARI
6
122
CARRICK anatamani kuliaaa 😅😅😅😅 kuna mda hizi kazi usisubiri kufukuzwa ww mwenyewe unaweza achia ngazi tu
54
Makocha wengi waliopita United yani wakiishaaza kuwa na mfulululizo wa matokea mabaya huwaga wanashindwa kabisa kurudi kwenye fomu yani unakuwaga na muendelezo wa matokeo mabaya hadi wanafukuzwa
1
41
Wadau mnatumua App gani mbali na CRICFY kuangalia mpira online maana CRICFY imeshakuwa ya mchongo sana
102
TANDIKA ni kariokoo ijayooo sio mchezo kabisa SERIKALI WAJUE TU NAMNA YA KUIPANGILIA TANDIKA isije kuwa na kero kama kariokoo
1
1
47
United hadi saivi wanasubiri nini kumfukuza huyu kichaaaaa
🚨 Michael Carrick: “I can only apologise to our fans. No excuses”. “I care an unbelievable amount about the supporters, they're the heartbeat and always will be”.
64
Kama kuna Raia wanategemea kuna haki itapatikana kutokana na yale matukio ya tarehe 29 oktoba 2025 Nawapa pole sana hakuna haki yeyote ya kibinadamu inaweza patikana SIO KUPITIA MAHAKAMA ZA TZ AU ASASI ZA KIRAIA ZA NJE... LABDA MUNGU AINGILIE KATI
34
Vijana wa Ki Tanzania wengi hawana future wala msimamo ni watu wa kupelekeshwa tu....Wanaopambana kulikomboa hili Taifa kutoka kwenye mikono ya mboga mboga nawashangaaga sanaaaa
63
Kwahiyo Sisi tusio Post Nyerere Day tunaonekana waahini
35
Miss Grand akitua Bongo mwambieni atuambie nyimbo ya Taifa
1
1
56
Huu usenge sasa Hullcity anatupelekea moto namna hiii Naogopa sana ma caretaker coach wanapopewa mkataba wa kudumu
1
1
117
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| retweeted
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya: Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina. Isaya 45:2 "Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
6
74
2
280
9,932
Hayo maujenzi yanayoendelea kwenye Road reserve ya Kimara to Mbezi yanaogopesha kwanini huu uongozi umeruhusu hayo kufanyika huko mbeleni serikali inaweza kutaka kutumia tena hiyo road reserve itabidi iwalipe tena hao watu waliwapa kujenga masheli @WizarayaUJ
40
Kimeumana mbaya mbovu KIMARA SUKA MATAA AS USUAL @Adventure_36
8
5
2
84
10,122
Hii ni aina nyingine ya Uchafuzi wa mazingira
1
1
54
Saivi ukipita barabara ya kimara to mbezi mwisho Utashangaa zile Road reserve zote ambazo mwendazake aliziacha. zote zimevamiwa kuna maujenzi yanayoendelea kwa kasi sana Viongozi walikuwepo sasa hawajui maana ya zile road reserve mpaka kuamua kuruhusu ujenzi ufanyike
31