Pinned Tweet
Nipeni chimbo la mayai ya kisasa, ofisi yangu ipo Mbinga mjini.
Mahitaji yangu ni kati ya trei 1000 hadi 1500 kwa wiki.
2024 nilimnunua kwa 450k akiwa amekonda sana, hiyo frame No.1 ni baada ya kukaa naye kwa miezi kadhaa akipata lishe nzuri na matibabu. Frame No.2 tayari kawa mkubwa nasubiria kupandisha, frame No.3 tayari amezaa June 2026 & frame No.4 ni leo 1/11/2026.
2
3
412
Bei ya soda ya coca-cola dukani ni 700, Katika restaurant 2000, airport Sh 5,000 ndani ya ndege Sh 7,000. Soda ileile, ujazo ule ule, utamu ule ule thamani tofauti. Nini nakimaanisha ? Iko hivi Kuna mtu ana digrii moja ya kozi ile, chuo kile kile lakini mmoja anapata
2
3
213
ambapo "mwanga" wako unahitajika zaidi.
My friend Ukiona sehemu huthaminiwi, usikasirike. Hiyo ni ishara kwamba muda wako wa kuhama umefika. Nenda pale ambapo watu watasema tulichelewa kukujua.Wakati mwingine "location" mpya inahitaji uende peke yako. "Tai haruki na njiwa.
1
44
We almost forgot homes that raised us not because we don't care but because the best moments we had became the saddest memories in the end 💔🥺
Umegongewa bado unamuuliza Demu wako alikosa nini kwako, we ni mjinga, unauliza kwanini alivua nguo mbele ya mwanaume mwengine?
Jibu ni rahisi tu.
Wanawake wanapenda kutoka na Wanaume wenye thamani, Mwanamke havui nguo yake kwa Boya hivyo ukiona
1
2
435
Kuna usemi unasema kwamba Land Rover inaweza kukufikisha popote pale unapotaka, lakini Land Cruiser ina uwezo wa kukufikisha popote na kukurudisha ulipotoka bila stress. Land Rover zimeonesha madhaifu mengi ya hapa na pale, Je kuna ukweli kwenye hili?
2
82
Mitaa tunayoishi kuna nyumba nyingi ambazo hazijaisha na wengine hata wamiliki wake hawajulikani.
Au unakuta kiwanja vimejengwa kimebaki kimoja tu na hata mmiliki wake hajawahi kuonekana.
1
58
Bahati mbaya yanatokea mambo aidha kifo, changamoto ya akili kiasi kwamba hata hizo mali hakuna anayejua zilipo wala nyaraka zake.
Ukinunua kitu basi hakikisha unamshirikisha mtu mmoja wapo wa familia yako.
1
29
Kwasasa kama unasubiri watu wakuroge uwe kichaa au wakuharibie uchumi wako basi utasubiri sana, kitu pekee watahakikisha ni unaanza kubeti na kunywa pombe.
Chief Mirambo retweeted
Kama hizi post tunaziona humu ndio maisha yenu Halisi.., Oyaah Wanetu Mmetoboa Kmmmk 😂😂🔥🙌🏿











