Rebeka Makenza retweeted
Tuma mzigo wako popote Dar es Salaam kwa App mpya ya @PakiaApp.
Ni SALAMA.🚥
HARAKA na 🏍🕒
NAFUU. 🏷💰
Pakua SASA kwenye Android na iOS.
#DeliveryImenoga💯👌
DOWNLOAD SASA:
Android: play.google.com/store/apps/d…
iOS: apps.apple.com/tz/app/id1509…
We ❤#PakiaBoda
Rebeka Makenza retweeted
Jamani ninashindwa kuelewa janga hiliambalo linasumbua hata watoto kushindwa kuendelea na masomo kwa Nini vilabu vya pombe baa zinaendelea kulikoni?@ChukuaHatua @TZMsemajiMkuu @umwalimu
Rebeka Makenza retweeted
Ni muhimu sana kupanda miti katika kipindi hiki cha mvua ili kupambana na mabadiliko ya tabia nchi.
Madiliko ya Tabia ya nchi yanaweza kusababisha hata ukame hali hili hujitokeza ktk kjiji cha nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe tunaiomba serikali kutuchimbia kisima kirefu @oxfam @mjallwa #chukuaHatua
Rebeka Makenza retweeted
“Tunataka tuoneshe uthamani wa mwanamke kuwa anaweza. Tukimweka katika mazingira mazuri akasoma vizuri basi atarudi ataionesha jamii yake kwamba mtoto wa kike anaweza’’. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi, Kisena Mabuba. #ArudiShule #ElimuBilaUbaguzi
Rebeka Makenza retweeted
Picha ya kazi,Ikionyesha jinsi ambavyo Mkuu wa Wilaya Mbogwe anavyoshirikiana na wananchi ktk shughuli za maendeleo ya Ujenzi wa Sekondari ktk kata mpya ya Bunigonzi @ClubMagufuli @TAMISEMI2015
Rebeka Makenza retweeted
DC.Mbogwe akiwashukuru wananchi wa Bunigonzi kwa ushiriki wao ktk shughuli za maendeleo kwa ajili ya ujenzi wa Sekondari #ChukuaHatua Mh @JoyceNdalichako @TAMISEMI2015
Rebeka Makenza retweeted
Wengine tunashangilia mafanikio ya kijana mdogo mwenye miaka 30, hakupiga shule, katumia kipaji chake kutengeneza ajira kwa vijana wenzake.
If you hate this wewe ni mchawi tuu.
Rebeka Makenza retweeted
poor service delivery ni moja ya sources of corruption. #CSOWeek2019 kuna umuhimu wa kulink ant corruption measures na service delivery.
Rebeka Makenza retweeted
Zitakua zimeandaliwa na muwekezaji, inakuja kama draft na wataalamu wetu wanaitwa ktk semina na posho kidogo, tunapenda mteremko...
“Ukisoma Local content za nchi nyingi za Afrika zote zinafanana, ili tuweze kuendeleea mbele ilitakiwa tuangalie nini tunaweza kufanya tofauti “ ~Abel Kinyondo (UDSM)
#JukwaalaUziduaji2019 @HakiRasilimali
Rebeka Makenza retweeted
Mrejesho wa kazi za Uraghbidhi ngazi ya Wilaya -Mbogwe kwa wadau wa maendeleo na Viongozi wetu wa Wilaya:Katikati kushoto Mh.DC,kuliaMh.Kaimu M/kiti H/W na kulia kwao Mkurugenzu Mtendaji (W).Kushoto kwao M/kiti mtandao waraghbishi (W)#ChukuaHatua.Tunadhirikiana
Rebeka Makenza retweeted
Mwakilishi kutoka TAMISEMI anasema Serikali haina tatizo na Azaki ila ugomvi wetu ni kwamba mkiona jambo baya mnakimbilia kwenye media ila mkiona jema hamsemi ndio ugomvi wetu. Sisi kwenye PETS tunasema ukiona jambo jema kimbilia kwenye media wengine wajifunze #WikiYaAzaki2019
Rebeka Makenza retweeted
Toka jana naona kila mtu kutoka Serikalini anasema tuhame kutoka kwenye uchechemuzi twende kwenye kugawa vitu sasa mimi niulize swali suala la uelimishaji wa jamii suala la ufuatiliaji nani atalifanya kama sote tutahamia kwenye kutoa vitu anahoji mdau katika #WikiYaAzaki2019
Rebeka Makenza retweeted
Ukitaka kuona kazi nzuri za uraghbishi tembelea Wilaya ya Mbogwe Geita .Tunashirikiana na Serikali ktk maendeleo#ChukuaHatua @forumcc @OxfamTz @majaliwa_kassim @Jafo @TgnpMtandao @Twaweza_NiSisi
Rebeka Makenza retweeted
55% wanatumia mitandao ya simu kwa kutuma na kupokea pesa wakati ni 17% ambao hutumia benki na wana akaunti za benki nchini #Tanzania - Dkt Beng'i Issa, NEEC #WikiYaAzaki2019 #CSOWeek2019 #UbiaKwaMaendeleo
Rebeka Makenza retweeted
Asali za mabadiliko ya tabia ya nchi zinahitaji nguvu ya pamoja ili kuweza kukabili changamoto hiyo. @OxfamTz
Rebeka Makenza retweeted
Tumekuwa ni watu wakufuatilia mara kwa mara katika vijiji ambavyo miradi yetu tunaitekeleza,tuweze kujua mafanikio na changamoto wanazozipata ili tuweze kuzitatua pamoja ,hii imeweza kutuletea matokeo chanya katika miradi yetu kwa ujumla.
#TokomezaUmasikiniMtwara
@OxfamTz
Rebeka Makenza retweeted
"Companies and the government must enhance transparency and accountability on the extractive sector revenue management." - @Hakirasilimali's Coordinator Racheal Chagonja makes her opening remarks during the #JukwaalaUziduaji2019
Rebeka Makenza retweeted
Girls will be invited to facilitate and speak in the panel session in the spirit of “nothing about us without us” #CSOWeek2019
#WikiYaAzaki2019
@FCSTZ
@selemanykitenge @MarekaMalili @DadaConso
Rebeka Makenza retweeted
Mraghbishi ni mtu yeyote ambaye anaguswa na changamoto zinazoikabili jamii yake na anaamua kushirikisha wengine ili kuleta suluhisho - Mraghbishi, Mbogwe. #WikiYaAzaki2019 #CSOWeek2019 #ChangeNiSisi






























