Mwajey retweeted
Tunatofautisha vipi wasiojulikana na vitendo vya jeshi la Polisi hasa kwa kuzingatia malalamiko ya Mzee William kutoka Tarime, Mwanae akiwa Mwanza alikwenda kukamatwa na Jeshi la Polisi kisha akapotea. #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mwajey retweeted
Tunatofautisha vipi wasiojulikana na vitendo vya jeshi la Polisi hasa kwa kuzingatia malalamiko ya Mzee William kutoka Tarime, Mwanae akiwa Mwanza alikwenda kukamatwa na Jeshi la Polisi kisha akapotea. #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mwajey retweeted
Hivi karibuni tumeona Kuna Mfuko wa usaidizi wa kisheria unaitwa SAMIA LEGAL AID, ni sawa kuwa na mifumo ya namna hii katika nchi ambayo kuna kundi la wasiojulikana lilishindikana kudhibitiwa na mamlaka za serikali ? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mwajey retweeted
“Katiba hii ndio inafanya watu wahamishwe ovyo kwenye maeneo yao ambayo wapo miaka mingi, haina makali ya kuwalinda wananchi na dhuluma inayofanywa na viongozi wakatili tulionao ”— @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Dini zimetumika kuwafanya watu kuwa waoga, wachungaji wala masheikh hawawezi kuhamasisha watu kupigania haki, wote wameangukia kwenye upande wa kuisifia serikali” — @HOMESTUDIO8 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Kwa katiba hii tuliyonayo hata kikiingia chama kingine madarakani kitafanya yanayofanywa na CCM, cha muhimu kwanza kabla ya yote ni kupigania #KatibaMpya itakayotulinda” — @HOMESTUDIO8 #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Katiba hii tuliyonayo ni kama panadol iliyoisha muda wake haifai kwa matumizi ya binadamu na ukiitumia unapoteza muda haina kazi tena ” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Viongozi bora husikiliza vilio vya wananchi sababu wanatakiwa kufanya maamuzi kwa kuzingatia matakwa ya wananchi na sio kwa maslahi yao au vyama vyao , #KatibaMpya itasaidia ili ” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Kiongozi yoyote ameajiriwa na wananchi hivyo anahusika kuwalinda wananchi na kuwawakilisha vyema kwa asilimia 100 kwa kila jambo ” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Mtu mvivu hawezi kumaliza jambo, Mvivu huanzisha jambo na kushindwa kumalizia, walionzisha mchakato wa #KatibaMpya ni wavivu, wananchi tuhusike kuamsha mchakato wa katiba uendelee” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Mtu anayeshindwa jambo huwa anahamisha lawama, na kuleta visingizo au udhuru ndicho inachofanya serikali yetu katika mchakato wa #KatibaMpya” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Jambo lolote la muhimu lazima utalipa muda na pesa hivyo serikali hawaoni suala la mchakato wa #KatibaMpya ni la muhimu ndio maana hawalipi muda wala pesa”— @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Ni hatari kuchukua hatua za hatari lakini ni hatari zaidi kutochukua hatua za hatari, Watanzania tunakabiliwa na hatari kama tukianzisha vuguvugu la #KatibaMpya ila ni hatari zaidi kama tukikaa bila kutafuta #KatibaMpya ” — @MzeeFumbuaMacho #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
Mwajey retweeted
Msemaji mapropaganda @MsigwaGerson njoo utoe ufafanuzi hapa #KatibaMpya
Mwajey retweeted
“Kwenye siasa hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya kila kitu hupangwa huu ucheleweshwaji wa mchakato wa #KatibaMpya ni mpango wa watawala kwa kuwa katiba hii inawanufaisha wao” — @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Maendeleo ya watu ni uhuru wa watu hao ambao unalindwa na katiba , katiba ya sasa imeshindwa sana kulinda huru na haki za wananchi ”— @Kadulyu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Ukiwa na mfumo bora wa utawala wa sheria watu hawawezi kupora mali za Watanzania kama walivyoporwa watu wa bureau de change” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Nchi inatawaliwa sio kwa vile ina katiba la hasha ila ni kwa vile kuna majeshi yenye uwezo wa kutekeleza kinachotakiwa na serikali badala ya kutekeleza maslahi ya wananchi” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Uraia wa kuzaliwa haupaswi kupotea kwa namna yoyote ile, hivyo ni haki ya msingi kwa Mtanzania kupata uraia pacha bila kujali uraia wake wa nchi nyingine” — @Oleshangay #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…
Mwajey retweeted
“Unapokuwa na mfumo mbaya wa utawala na kuharibu uelekeo wa maisha, maana yake umeharibu hatima ya vizazi na vizazi” — @godbless_lema #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi youtube.com/live/h66ot8w8Nys…























