LastKid retweeted
Stand ya magufuli ina miaka since imekamilika ila mifumo yao ya fire detectiom system na alarm system sijui kama imeanza kufanya kazi. Kuna detectors hata ile mifuniko ya juu haijafunguliwa meaning hazijawahi hata kuwa configured.
LastKid retweeted
Mungu, asante kwa yale niliyoomba na ukanipa…
Lakini zaidi, asante kwa yale niliyoomba na hukutoa, kwa sababu ulijua hayakuwa mema kwangu.
LastKid retweeted
Network inakata sana kwa kuwa nipo sehemu ambayo kuna coverage ndogo sana.
I hope tumepata kidogo.
Pia sijataka iwe space ya kangaroo court. @lifeofmshaba alikuwa kwenye space nyingine at the same time. Naomba atokee mtu atakayeendesha mjadala huu bila kunipendelea mimi au yeye na atenge muda
LastKid retweeted
Kuna chalii naitwa MopaLee From Arusha
Ana ngoma mbili Kali sana
#Hichohicho
#Boombap ft FidoVato
Ni wamoto sana🔥🔥🔥
#mataitaz Wa wa waaa
LastKid retweeted
Replying to @PoorCandidate @EngMapundajr
Na saiv kama kawaida j4 kwanzia 4 usiku bolingo time na charze machugu zinagongwa ngoma za congo sio poa mzee🔥🔥🔥
LastKid retweeted
Replying to @kalage_jr @PoorCandidate
Kwa ushikaji silaha huo labda kama risasi ili paa juu alafu ikadunda dunda kama kitenesi. 😂
LastKid retweeted
Replying to @PoorCandidate @pastajoshuatz
Sana aisee, saiv kabaki Ndyeta, Waized kama ulimuacha, wengine siwaonagi sana pale nilienda Saebs
LastKid retweeted
Kama anazo nyingi sawa hakuna shida ila kama anayo moja ni ujinga amefanya maana hata maandiko yanasema ni kwa mwenye uwezo sio lazima.
LastKid retweeted
Nimeanza kuelewa washua waliokuwa wanakaa parking hadi nusu saa kabla ya kuingia ndani. Unajikuta njiani hapo mikono ikiwa kwenye usukani na macho barabarani ndio idea kali zinakutembelea, usipoandika chini kabla ya kulipumzisha hekalu kichwa kinarudi default settings.
LastKid retweeted
Hunger will once again make a man go back to beg for food where his siblings were poisoned.
- @polo_kimanii





















