
Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: https://xitter.cf/t.co/aEEOOryJWO
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2021
- Tweets34.1K
- Following1.1K
- Followers145K
- Likes105K
Pinned Tweet
Uzi huu ni List ya nyuzi zangu zote nilizoandika, ninazoandika na nitakazoandika
#simuliziZaBuyobe
#WameibaToolboxWamesahauFundi
1. MAUAJI YA BILIONEA MSUYA
In Every Crime,there is always a trail of evidence that is left behind.
Fatilia mkasa huu wa mauaji ya kutisha yaliyotokana na kifo cha mtu mmoja tu.
"A CHAIN OF MURDER CRIMES"
UZI๐
#simulizizabuyobe
Mwenye upara na shati la dhambarau ni John Ngui Kaboi, askari polisi wa Kenya anayehusishwa na vifo vya wandaamanaji wawili, David Chege na Erickson Mutyisa walioandana mwaka jana Kenya kupinga Finance Bill.
Wengine pichani ni askari wenzake
Hawa si watanzania kuweza kuwa โpolisi wa Dar Es salaamโ
These killers are police officers in Dar es salaam
No accountability for #Mo29
They killed many people
Fortunatus Buyobe retweeted
Mwandishi Victor alipofika ndani aliukuta mwili wa JM ukiwa umewekewa lebel ya โUnclaimed body of a Luo Gangsterโ
Victor akapenyeza habari zile kwa mke wa JM ambaye haraka akakimbilia mortuary
Fortunatus Buyobe retweeted
Hata hivyo Muuaji wa Mboya Nahashon Isaack Njega Njoroge siku wakati anakamatwa na polisi aliwauliza swali hili โwhy donโt you go after a big man?โ
ย
Swali hili lilimaanisha kuwa yeye alikuwa ametumwa tu na mtu mkubwa kutekeleza mauji yale.
Fortunatus Buyobe retweeted
I am Muhammad Mwoyo gwa gwanga. Iโm still around until God says donโt be around. Expose the Mafia to save the state. When you speak you die. When you keep quiet you die. You better speak and die when the message has reached peopleโ
Ndivyo alivyojinadi
Fortunatus Buyobe retweeted
Haijulikani nini hasa kilikuwa nyuma ya kifo cha Kolimba masaa machache tu baada ya kusema CCM imekosa dira na mwekeleo.
Mpaka leo hatujui kwa undani juu ya kifo cha ghafla cha makamu wa rais Dr. Omary Ally Juma masaa machache baada ya kutoka kwenye maonyesho ya sabasaba
Uzi๐
Fortunatus Buyobe retweeted
SWAHLA akamuomba mmewe pesa ili aende kuosha nywele.
Mmewe akamtumia pesa.
Baadaye vichomi wanampigia simu mmewe kumuuliza kama yupo mjini kwani wanaoiona gari yake maeneo ya Hotel Tilapia.
Hapa Tilapia ni eneo la starehe kwa wenye ukwasi jijini mwanza.
Fortunatus Buyobe retweeted
Hawalali, hatulali
Ili wewe ulale salama
Uzi๐
UPENDO WA MSHUMAA
๐๐ฎ๐ป ๐ฎ๐ฑ, ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ณ
๐๐ถ๐ท๐ถ๐๐ผ๐ป๐๐ฎ๐บ๐ฎ, ๐๐ถ๐๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ถ
๐๐ฎ๐ฟ ๐๐ ๐ฆ๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ๐บ
Lilianza kama tukio la soga baina ya wanandoa.
Mke: "Mume wangu kuna jambo halieleweki hapa mtaani."
Mume: "Lipi"?
Fortunatus Buyobe retweeted
December 2, 1989 McGhee na Capt. Metusela Kamando wakakwea pipa Kwenda Zanzibar ambapo waliwasili majira ya saa 10 jioni.
Wakaunganisha mpaka Mbweni nyumbani kwa Amani Karume.
McGhee hakuwa mgeni nyumbani pale!
Fortunatus Buyobe retweeted
Sometimes November 1982
TANGA, Tanzania
Ni nyumbani kwa Mganga Bakari Daudi aka Shoka,
Mganga huyu anatibu kwa kusoma vitabu vya Quran na anatibu maradhi kama ngozi kubabuka, kurukwa na akili, degedege n.k
Fortunatus Buyobe retweeted
Hadi wakati huu Komandoo Tamimu alikuwa akitafutwa na Jeshi la wananchi kwa kosa la utoro baada ya vita vya Uganda.
Fortunatus Buyobe retweeted
MAPINDUZI 1982 (Step by step)
Aliyekuwa kinara wa Kuratibu mpango huu alikuwa ni Hatibu
Gandhi maarufu kama McGhee
Huyu alikuwa ni rubani wa ndenge ndogo za abiria
โshombeshombeโ au โmmangaโ mwenye asili ya mkoani Tanga na kabila lake alikuwa ni mbondei.
Dear Kenyans, with the same bravado and pride as good English speakers, explain the role of your incompetent city engineers to the collapsed and substandard skyscraper in Eastleigh
Fortunatus Buyobe retweeted
David akiwa bado pale mgahawani, akakumbuka harakati zote za mjomba wake za siku nne zilizopita.
Ilikuwa ni rahisi kwa David kukumbuka ratiba hizi kwani yeye ndiye aliyekuwa kama dereva, bodyguard na msiri wa mjomba huyu aliyemlea na kumsomesha.
Fortunatus Buyobe retweeted
๐๐ก๐ ๐๐ข๐๐ก๐๐ฅ๐๐ง๐ ๐๐ฅ๐จ ๐๐จ๐ฐ๐๐ซ๐ฌ ๐๐จ๐ญ๐๐ฅ
๐๐๐ง๐๐ญ๐จ๐ฐ๐ง ๐๐ข๐ญ๐ฒ, ๐๐จ๐ก๐๐ง๐ง๐๐ฌ๐๐ฎ๐ซ๐
๐๐ฌ๐ญ ๐๐๐ง๐ฎ๐๐ซ๐ฒ ๐๐๐๐ ๐๐: ๐๐ ๐๐๐
Majira ya mchana kijana David Batenga anaonekana akiwapa wakati mgumu wahudumu wa eneo la mapokezi la hotel hii.
Pale mapokezi kulikuwa na mvutano David akitaka apelekwe kwenye chumba cha mtu mmoja aliyeamini ni mteja wa pale hotelini.
Lakini jina la mgeni yule ambalo David aliwatajia wahudumu halikuwa kwenye orodha ya wageni wa hoteli ile.
Meneja akamuhakikishia David kuwa, amepitia manifest ya wateja wote kwenye computer lakini hakuna jina analolitaja.
David akajipa utulivu na kwenda kukaa mgahawa wa hoteli ile huku akitazama runinga.
Fortunatus Buyobe retweeted
Jina la Lowasa lilipokatwa,tuliona jinsi mtandao wa Lowasa ulivyoliamsha wakiwemo kina Nchimbi na Sofia Simba
Huku wafuasi wake wakiiyambia maamuzi ya kamati kuu"Tuna Imani na Lowasa"
Nilikuwepo Dodoma wakati ule
Ilikuwa ni Kokota te,Kobima te
Naam
Hakuna kuingia wala kutoka
Wanajimu hatari wakaonya โjamani tusogeze mbele hata muda wa uchaguzi ila kwanza letโs reformโ
Their call wasnโt heeded/ mate with deaf ears
Yakatokea ya kutokea ambayo kwa lugha ya kisheria yanaitwa incurable
Nia njema ya wanaoitwa wasusaji iliishia kwenye kuepusha. Let the ignorance solve the outcome.
Fool me once, Fuck you
Fool me twice, Fuck me

























