God is Great

Joined April 2021
Cachboy👊 retweeted
Sasa wale wote ambao tangu jana usiku mlikuwa mnanishambulia kwamba namchafua Joseph Selasini mje hapa mniombe msamaha.😂😂😂
62
119
3
1,052
61,759
Cachboy👊 retweeted
Muhuni wangu now kaanza moja anasubiria hadi mshahara uingie. Na mishahara kama mnavyoijua huwa haitoshi daily. Alafu yule aliemuharibia msela nae hapati chochote kwenye ile Kampuni nyingine maana ndio bei elekezi ya "mikanda" kwa sasa. Kama sio UCHAWI ni nini?
17
6
1
107
5,666
#TajiriLaKihaya Huyu SHOGA kani BLOCK… Huwa wanaanzisha wenyewe kumtukana mtu alafu wanaanza kutia huruma… Usiingie kwenye vita vya mawe ukiwa unaishi nyumba ya Vioo… Sasa Mchongo huu hapa…ingia kwenye ukurasa wa @Aloycemsaki search Post yeyote aliyonidhalilisha … Either directly au kwa mafumbo…. SCREENSHOT alafu iweke hapo kwenye Comment. Kila Screenshot yenye MASHIKO nainunua kwa elfu 10.
94
43
9
276
40,107
Cachboy👊 retweeted
Ukiangalia ile post ya Peter msigwa kurejea CHADEMA pale wanaofuarahishwa na urejeo wake ni wale watu wa CHADEMA haswa ambao tunawaamini kwenye haya mapambano. 90% ya watu wanaopinga urejeo wake MSIGWA na wengine kusema “akirudi awe mwanachama wa kawaida” ni wale wapenda haki wasio na vyeo wala kitu ndani ya CHADEMA zaidi ya kupenda harakati za MAPAMBANO. Hii inakupa picha gani? Watanzania sio WAJINGA-msigwa ni sehemu ya watu waliolifikisha TAIFA kwenye MO29. Matusi na kejeli alizotumia dhidi ya CHADEMA (TUMAINI LAO) kwenye majukwaa mbali mbali watu hawajayasahau. Ndani ya CHADEMA kuna mengi ambayo yanaendelea SIRINI wao kwa wao wanayajua ila sio watanzania wote wanayajua. Ila kwa yale ambayo yanatoka duniani na wanayaona kama ya hawa WAKINA MSIGWA nafikiri mnaona majibu yake. Kizazi hiki cha GEN-Z hakiwezi kuyumbishwa na SANAA ZENU za “siasa” mlizokuwa mnazifanya zama za GIZA. Na hawa GEN Z ukiwasikiliza na kusoma misimamo yao kiukweli kweli hawapo kwenye VYAMA wao wanaamini kupitia HAKI. Sasa kama mnahisi hiki kizazi mtaweza kukiendesha mnavyotaka hilo sahauuni watu sio WAJINGA. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
94
155
4
1,306
52,515
Cachboy👊 retweeted
Hii vita ni ngumu mno, kunawanyonyaji wananunua pamba na kupeleka nje, wakikuta waziri Ntu ya Dili viwanda kufa huwa ni chap mno. Ni kama issue ya sukari, mkenda alikaza akatolewa, saiz miwa inakauka tu mashamban, wafanyakazi hawalipwi pesa mana mana sukari ya ndani haitembei.
Hivi nani aliua Gineries za pamba na viwanda kama Mwatex?
5
11
87
7,639
Richard Rugemalira Balile upeo wake ni mkubwa na maswali yake yalikuwa magumu sana, kama unataka kujua kwamba maswali yake yalikuwa magumu fikiria ungekuwa unaulizwa wewe ungeyapatia majibu? Tatizo ni kakutana na mtu mwenye upeo mkubwa zaidi sana kwenye mambo hayo akafichwa vibaya mno.
15
94
2
346
17,416
Cachboy👊 retweeted
Mashuhuda wanasema RCO na RPC walimuwashia moto sana, badae wakamwambia awafuate ili akatoe maelezo ya ziada so wakaingia nae ndani ya kituo cha Polisi. Walipoingia ndani kuna baadhi ya Wanachama wa CHADEMA, walijiongeza wakawafuata wale Askari waliokuwa pale njee, wakawauliza kwani Buyobe ana issue gani kubwa mpaka kamuomba RCO asiiseme mbele yetu? Wale Askari wakawajibu kwamba walipoenda kumkamata Buyobe nyumbani kwake Kigamboni alijitambulisha kuwa yeye ni ofisa wa TISS, wakamchukua na kuondoka nae kulekea kituo cha Polisi Chang’ombe. Walipofika Polisi wakamuomba atoe password ya simu yake, akatoa wakaingia kwenye WhatsApp yake wakakuta anawasaliana na Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, Thobias Mwesiga na alikuwa anampa info za watu mbalimbali,(Japo Mwesiga kwasasa kaondolewa kwenye hiyo nafasi) mtu mwingine ambae alikuwa akiwasiliana nae ni Abdul mtoto wa Idd Amin Mama. Lakin pia alikuwa anawasiliana na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwemo Mawaziri na kote huko alikuwa anajitambulisha kama afisa wa TISS so Polisi baada ya kuona mawasiliano yake na hao watu, hata wao wenyewe waliogopa. So hao Wanachama wakajua issue ni nini so waliondoka zao ila walimwacha Buyobe pale kituoni na Wakili ambae alikuwa kamsindikiza. Mwisho kabisa hii sio vita ya maneno ni uhalisia wa mambo na kwa tulipofika sasa ili kulikomboa Taifa letu lazima kwanza tulindane kwa kuepushana na hatari zinazoepukika. Nawatakia siku njema.
105
232
7
1,308
158,520
Cachboy👊 retweeted
Hizi sehemu nne bado Telegram hajazitendea haki kabisa 🤔 “Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton.” “Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo” “Wakati wanatoka hiyo asubuhi, Buyobe aliahirisha safari na kuwaambia Msuya waende tu wenyewe na Mshabaha, huku Mshabaha akijua wanaenda kumuona huyo mzee mwanaharakati kisha warudi” “Walipokuwa njiani, Msuya aliomba kushuka ili akachimbe dawa aliposhuka tu, dereva akakanyaga mafuta”
Mtazamo wako ni upi kuhusu jamaa?
13
19
87
12,083
Cachboy👊 retweeted
Kwenye hili sakata la Paratroopher na Dada wa Chadema na tuhuma nzito majibu ya maswali mnayojiuliza ni rahisi sana kuna moja ya interview Buyobe alisema nanukuu "Ujasusi ni biashara ya taarifa kati ya usaliti na uaminifu" akaongezea kwa kusema...👇
17
53
5
553
60,485
Mjomba hii post haisaidii ku-prove Innocence yako; • Ni kama unafurahia allegations za Mshabaha hazija cause “Damage Kubwa”. TRANSLATION: Your COVER IS’NT BLOWN na sio ku-prove your Innocence. 🤔 • Unawa Mock Wanaharakati, na kuwagawa kwa kusema huyu hivi huyu vile. TRANSLATION: You are BLAME SHIFTING & DEFLECTING kwa kutumia point ambayo unaamini itapata support.🤷🏾‍♂️ • Maelezo kuhusu HUACHENG, EPO, Environmental Consultancy, Punda, Merit, NEMC, etc as elaborate as they are, na ni one of your strong suit (Kuelezea Issues), having prove kitu. Ila wanasema A PICTURE IS WORTH A HUNDRED WORDS; nikiangalia picha tu mi naona PLANTED KACHERO ameambatana na viongozi na wahusika wengine wa mradi. Hiyo Dress Code na Position yako hapo kwenye msafara. 😁🤷🏾‍♂️ • Kuuliza RHETORICAL QUESTION kama Wanaharakati wanatupenda kweli au la kwa kukesha mitandaoni kutupigania, na ku-claim “Sisi ndio Miradi”. TRANSLATION: Unadogosha jitihada za Activists, sababu Wanayopambania (Democracy, Utekaji, Jailing, Utawala Bora, etc) wewe sio Issue zako. Na kuwaambia watu kuwa sisi ni miradi ni kutaka Raia waache kuzingatia Wanaharakati. Kama ni mtu ambae na wewe ulikamatwa kwa kuonewa hadi ukakimbilia Kenya for yiur safety, WHY WOULD YOU DO THAT? 🤔 • Kusema Accusations za Mshabaha ni his PARANOIA na OBSESSION of you. TRANSLATION: Unataka kumaanisha kuwa Mshabaha ana PERSONAL VENDETTA against you, which is TRYING TO DISCREDIT HIS INTEGRITY & ASSASINATE HIS CHARACTER, ili watu wakupe wewe “Benefit of Doubt” na yeye wawe na “Prejudice” kwake. Unajua nani mwingine amekuwa anafanya hivyo? SERIKALI HARAMU YA CCM 🤷🏾‍♂️ What do you have to say from my assessment mkubwa? Btw, sijui kama umeandika vitu vingine au kama mlifanya another space maana jana ilikata na hiyo tweet ndio nimeiona hapa sijui ka kuna maelezo mengine. Na yes nimeona Tweet ya Mshabaha pia… KWAKO MWALIMU KASHASHA
Target hapo ni mimi wewe hujui. Nilishawahi kufanya kandarasi kama environmental consultant wa kampuni iliyokuwa ikiendesha machinjio ya punda (HUACHENG INTERNATIONAL LTD) iliyomilikiwa na raia wa china. Wakati ule kulikuwa na mjadala kuhusu sustainability ya mradi kutokana na reproduction rate ya punda hali iliyolazimu baraza la taifa la mazingira NEMC kutoa EPO kwa client wangu. Tukishirikiana na NEMC ikafanyika EIA na EA ambazo zilikuja kuruhusu mradi uendelee. Kila decision ilifanyika on merit kwa hoja za kitaalamu. Mshabaha sasa amebaki tu na Obsession inayomsumbumbua kuhusu mimi kwani hakujakuwa na damage aliyoitegemea kwenye mauzushi yake sasa anaamia kwenye ujuzi wa mtu. Sema nitakuja na andiko zuri sana. Hii tabia ya mtu kutumia paranoia yake binafsi kushutumu kila mtu hakika itakoma. Inatakiwa zifanyike harakati za wazi zenye malengo thabiti ya kubadilisha mfumo wa kisiasa. Kusiwe na harakati za kutumiana. Nawaachia tu swali moja, mnafikiri wanatupenda sana kwa kukaa hapa mtandaoni asubuhi hadi jioni kutupigania? Saa ngapi wanapata muda wa walau kujitafutia kidogo ili waweze kumudu gharama za kujiendesha? Sisi ndio miradi. Simaanishi mtilie shaka kila mtu. Kuna wanaharakati wazuri mnawajua ambao hawana njaa. Taaluma zao hazina shaka yoyote hadi wameweza kuajiriwa kwenye taasisi kubwa za maswala ya demokrasia na haki za binadamu. Hawa mtawajua kwani wako busy na wanatokea humu mitandaoni occasionally at least once or twice a day. Kuna yule dogo. Yule dogo kwanza ana sababu za wazi kuwa mwanaharakati. Inawezekana hakuwahi kuota kufanya harakati lakini mfumo umemtegeneza kuwa mwanaharakati kwa njia walizompitisha. Huyu dogo pia hana njaa. Is doing what is doing kwa sababu amesurvive just an inch kubaki hai. Pia kuna hawa wanaharakati ambao wao muda wote wako salama wakiwa wamejifungia kwenye apartments ughaibuni. Kwa mtaji tu wa Wi-fi huko walipo wanatuma namba za viongozi kutoka nchi walizotoroka na kuhamasisha vijana “kuwasalimia”. Shida inaishia kukupata wewe wanayesema wanakupigania huku wai wakibaki kutuma jumbe mitandaoni kutaka uachiwe huru. Hii ni sawa na yale maswala ya kupiga simu BBC au DW kisha unasema “Trump achana na Irani huna haya?” Wazazi wako, ndugu na jamaa ndio wanaokuwa wanasota kukutafuta kiukweli. (Sitaki kujenga hofu kwa hoja hii. Ni akili pia kujua mazingira ya battlefield yanayokuzunguka ili fanye maamuzi sahii) NB: Pichani nikimzungusha eneo la mradi aliyekuwa Naibu waziri Ofisi ya makamu wa rais, Muungano na Mazingira (Kangi Lugola), aliyekuwa ameeambatana na timu ya wataalamu kutoka NEMC na Jiji la Dodoma.
34
53
4
358
57,467
Cachboy👊 retweeted
Simulizi ya kweli! Kuna jamaa mmoja (44) alikuwa jirani yangu, huyo brother alibahatika kuzaliwa kwenye familia ambayo kidogo ilikuwa imejijenga kiuchumi na katika hiyo familia, baba yake alikuwa na wake watatu, na yeye alizaliwa kwa mke wa pili, bwana wee… siku zikasonga! Yule mzee alikuwa anamnyanyasa sana mama yake na jamaa vipigo, matusi na kutomhusisha kwenye mipango ya familia, kana kwamba hamtaki kabisa vikawa ni vitu vyakawaida! Siku moja mzee alimbamiza maza kipigo cha mbwa koko maza akaona isiwe tabu akaondoka nyumbani, mguu wa kwanza ukatua kwa mwanae, ambaye ndiye huyu jamaa sasanmaana kati ya watoto saba wa huyo mama wa kiume alikuwa ni mmoja tu. Mama akakaa kwa mwanae wiki, mwezi… hatimaye miaka ikasonga. Baadaye baba akaanza kumletea brother zesheni hapo ni maneno ya kejeli na vitisho vya ajabu mara unamsikia akiwaambia watu; “Yule Joseph ameninyang’anya mke wangu, acha aendelee kumlala tu, lakini tutaonana.” Sasa hayo manenoyalikuwa yana muumiza sana brother na unakuta Kila akimwambia mama yake arudi nyumbani kwa mzee , maza anasema; “Kama sikukuzaa nifukuze” Jamaa akaona isiwe shida, akamwinulia maza yake kuta, mbali kidogo na makazi yake lakini huduma zote zikawa chini yake. Mshua si akasikia? eh! kuna siku kamwita jamaa nyumbani kwake na jamaa akaitikia wito wa baba bila kujali maneno anayo sikia mtaani jamaa alipofika tu, mzee akaanza kupiga ukunga, “Nakufa! Nakufa!” Watu wakaanza kujaa mzee akawa analia huku akilitaja jina la jamaa “Joseph Joseph Joseph leo unaniua haya nimalizie sasa unasubiri nini?” Kwamba jamaa anataka kumchinja mshua wake, kwa mazingira yale yalivyo kuwa, ule umati wa watu na matukio ya mauaji yalivyo hapa Tanzania, jamaa akaona wazi akibaki pale anaweza kuuliwa akaamua achimbe bhana. Nadhani hakujua kuwa kosa lake lilianzia hapo kwenye kukimbia! Mzee akaenda polisi akatoa taarifa kuwa ametishiwa kushambuliwa kwa panga, jamaa akakamatwa tangu mwaka 2015 akawa mahabusu tu. Naandika haya kwa sababu mwana amerudi leo hata masaa saba bado hayajapita tangu wamwachie. Binafsi namshukuru Mungu amerudi salama, lakini ana maumivu ambayo hayawezi kusimulika! Ni Mungu tu anae jua kesho yetu wazee🙏
4
6
26
2,595
Alie anzisha vipindi vya usiku vyuoni Mungu ambariki imagine nikitoka hapa napitia Riverside kuchakata MBUSUSU ndo niingie Getho nikiwa mwepesiiii
2
6
13
510
Jana tarehe 14/05/2026 niliitwa na kijana wa CCM hapa chuoni na kuanza kunipanga "Et kuna utaratibu unaoendelea kuhamasisha vijana wasiingie kwenye vurugu tena kama ya Mo 29 hivo kama kijana na mwanafunzi mwenzetu tunaomba tukuchukue video ukiwa unakemea na kuhubiri amani" nikawambia Lisu akitoka gerezani na akina Soka, Polepole na Mdude wakipatikana naomba uje uchukue video 100 nikiwa nahubiri aman😎 KING OF MBUSUSU #UDSM 👑
12
64
4
381
13,760
Machawa wanampambania mtu kwa utaratibu wa maelekezo, siku mkiona machawa wananipambania Jua ni maelekezo ya kitengo
2
17
187
7,734
Cachboy👊 retweeted
‼️ALERT‼️ Huyu ndo kiongozi wa Team ya maofisa wa Polisi ambao DCI Ramadhan Kingai amewapa kazi ya kuniwinda. Jina lake anaitwa Edward Pius Soteli, majirani zake wanamfahamu kama Baba Sayuni, anatoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dodoma. Ni mzaliwa wa kijiji cha Mwimbi, Kata ya Mwimbi Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa. Namba yake ya simu ni +2557876300x2.
45
205
6
987
58,523
Kumeanza kuchangamka — Mafwele — Wambura — CDF Mkunda — Mombo — Abdul — Makonda — Mwigulu — Mchengerwa — Murilo — Kingai Na wajinga wengine Jeshini na polisi mlioua watu, Waliofanya hayo huko ufilipiano wanaunganishwa kwa Kesi
4
64
319
18,657
Kama ningetekwa nikapotea yawezekana @TitoMagoti @Sativa255 @HildaNewton21 na @Twaha_Mwaipaya wangefikiwa wote au moja wapo, sababu wasingejua kabisa namna ambavyo nilifikiwa na kupotea....... Kuna kisa kimoja niliona cha mtu akimnyesha maji nyoka, yule nyoka baada ya hapo akajaribu kumgonga kwa sumu, Kumbe muda wote Nyoka anafanya mipango ya kumpiga jino Katika haya maisha yetu, tusije walaumu nyoka, maana nyoka anajua wajibu wake, ukimsogelea anakupiga jino, kikusogelea anakupiga jino, ila shida ni sisi wanadamu tunapofikia kwamba tuaweza shawishi nyoka kubadilika kuwa na busara ya kutoumiza Namshukuru Mungu kwa maisha aliyonihazima tena kuna watu wengi wamebaki salama kwa kushitukia nyoka aliyekuwa ameingia kwenye shamba, ninaamini hivyo maana Sativa, Twaha , Tito na Twaha wote walishapigiwa simu kwa mwelekeo ambao mwisho wake ungekuwa kama niliopitia. Richard Mwesigwa, unakazi ngumu sana maana unapanga mipango na wajinga
It is time kuwa na public notice kuweni makini na @fbuyobe Jiepusheni naye kwa namna zote mnazoweza, vyovyote vile natumia hekima sana, Buyobe ana sura ya pili wengi msiyoijua, anachopost hapo na mambo anayofanya hapa Online sio anachoishi gizani Huyu sio mpambanaji
9
42
292
28,759
Cachboy👊 retweeted
Mmekuwa mkifanya maigizo na ubabaishaji tokea 1992. Kwa upande wa #Zanzibar mmekuwa mkipindua maamuzi ya wananchi tokea Uchaguzi wa mwanzo wa 1995. Mmeua na kuumiza wengi mradi tu mbaki madarakani. Sasa maigizo na ubabaishaji umefika mwisho. Nchi inahitaji mageuzi ya MFUMO WOTE!
28
67
8
313
19,560
Cachboy👊 retweeted
Huyo Mwananenu ana mambo ya Kishoga anapenda kuwatetea sana Mademu ikitokea Vita sijui anadhani kujiweka karibu nao atatomba Kuma la mama ako
10
19
3
39
5,989
Replying to @MariaSTsehai
Mbona Kombo alikuwa anazunguka ulaya na baadaye yeye Msigwa na Kombo wote wakasema sasa tuko vizuri na ulaya toka wamekuwa vizuri huko serikalini ni ndoa ngapi za jinsi moja wamefunga? Kombo, Nyarandu na Prof Kabudi ndio wataalamu wa mambo ya jinsia moja kuoana walipokuwa wanatembea ulaya yote kuomba mahusiano yarudi? kwa nini kwenye vigezo vya Jinsia moja hatujaambiwa hao mawaziri wawili ndio wabobezi pale yanapotakiwa majadiliano ya Tanzania na nchi nyingine kuhusu ndoa za wanaume kwa wanaume Mwisho, sharti lilikuwa ni kwa wanaume tu kuoana au na wanawake kwa wanawake? au sharti la wanawake kwa wanawake sio tatizo kwa msigwa kama tukipewa masharti ya wanawake kwa wanawake tuko sawa? Kwa nini Msigwa anapambana na hiyo ya wanaume kwa wanaume tu kama ipo kweli ila ya wanawake kwa wanawake sio shida anamuogopa naye ambaye ni mwanamke yuko kwenye hiyo sekta anaona akataja hiyo wanawake wataibuka kwa wingi kuwaumbua ?
1
16
50
3,526