Siku ukiamua kupoa Home uepukane na hekaheka za uhangaikaji @Tanescoyetu wanaamua kukata umeme toka asubuhi, alimradi tu usitulie Nyumbani. Smh!!
We mzee @MarekaMalili simu zako zote hazipo hewani nicheki ukipata huu ujumbe.
#DearNyerere, TBL wameendelea kukuenzi kwa kuendelea Kuzalisha Safari Lager ya viwango, hawajataka kuichakachua na kutuletea Safari Lite馃槉
"Fishing Industry in Japan".. Hivi jamaa mliotunga Mitaala, mlishindwa kabisa kutufundisha kuhusu Fishing Industry in Kigoma, Mwanza, basi walau Ukanda wa Pwani? Kwanini Japan馃槀馃槀




