Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PascalMoshi) header
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@PascalMoshi) profile picture

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟYOUTH SOLIDARITY Specialized in Philosophy and Theology.Pure Reason and it's Relation with faith(truth).Founder of YS4S (youth solitary for self-reliance)

Tanzania
Joined September 2017
Shika simu
Nacheki MECHI ya SIMBA na TMA โ€ฆ.. naelewa kwa nini WALIKIMBIA โ€˜ DEBIโ€™ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜!!
75
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Nacheki MECHI ya SIMBA na TMA โ€ฆ.. naelewa kwa nini WALIKIMBIA โ€˜ DEBIโ€™ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜!!
240
57
18
1,362
93,835
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
TARIME: Watu wenye silaha wanaozunguka na Landcruiser nyeupe, wamewapoteza wakazi wanne wa kijiji kimoja tangu Novemba 2024.
28
115
13
366
37,166
Tukizangatia sera ya mradi, bajeti ya Wizara, na mchango wawa hisani na kiwango cha vijana walionufaika hadi sasa @HusseinBashe
23
Replying to @fgdewji
Nilitamani sana kufanya Biashara ya usafirishaji.
30
Replying to @fatma_karume
Mwonekano wa kijana mdogo. Hongera kwa umahiri na uwakilishi. Haki inalipa Dunian na Mbinguni.
14
Replying to @PMadeleka
Unashinda sababu unajua, unashinda sababu ya uungwana wako. Uaminifu ni ushindi wa Nguvu
6
Replying to @omari_manyama
LISU ila mkiweza kumchomoa Lukuvi mnashinda asubuhi
2
Replying to @EduTalkTz
Huyu ni kama CAG wa pili. Mwenye kazi yake ni kwenda kuangaza utekelezaji wa miradi nchini actually ingepaswa miradi yote. Mwenye una maana kubwa sana katika taifa.
6
Replying to @PMadeleka
Kulikuwa na haja ya kutunza siri. Bado wewe ni Polisi
20
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Tanzania sijui kama tuna Mtumishi anaweza kusema hivi
Hii ni serikali ya shetani....pastor ndiye amaquote Bible๐Ÿ˜…
5
17
1,059
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Hii ni serikali ya shetani....pastor ndiye amaquote Bible๐Ÿ˜…
6
1
10
1,853
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Katika malumbano ya hoja jana, nilieleza wanaosema Rais ametoa fedha ni wapotoshaji ,Rais hana fedha,fedha ni kodi za waTz 4R za Rais zimefeli ni lazima iongezwe R ya mwisho ambayo ni resistance ili wananchi waresist mfumuko wa bei,Hali ngumu ya maisha na Wizi wa mali za umma.
33
74
3
273
9,182
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Today is my Daddyโ€™s 88th birthday ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ Happy birthday to my super Dad! A great man with exceptional leadership skills! Mungu ni mkubwa ๐Ÿ™๐Ÿฝ Miaka 88 ni baraka kubwa โค๏ธ Kaona mengi na ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa binti yake ๐Ÿฉท Amen ๐Ÿ™๐Ÿฝ
248
200
20
1,443
137,584
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
26
13
2
124
20,126
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿšจ๐Ÿšจ#Tanzaniaโ€ผ๏ธ Mradi wa Be Better Tanzania (BBT) unatesa tu vijana tena wengine wamama wana watoto wachanga Leo hii vijana wanalazimika kufanya kibarua kuuza karanga au kulima shamba jirani ili kuishi huku wameacha familia zao na hali mbaya! @WizaraKilimo mnachofanya ni ukatili mkubwa mmepeleka wapi pesa za wafadhili!? Cc @IFAD @AGRA_Africa @AfDB_Group Apparently you have hundreds of millions of ๐Ÿ’ฒyet the youth are suffering and no meaningful activity in Chingali project! Follow the money ๐Ÿ’ต #ChangeTanzania
44
50
6
185
43,106
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Hongereni sana Mbeya, mmepata na mvua ya baraka.
1
23
144
4,052
Pascal Moshi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Maandamano yamewasili viwanja vya Ruanda Nzovwe. NB ;- Mbeya wamevunja record ya Dar es salaam na Mwanza. Tunasubiri kuona kama Mhe. @godbless_lema na Team yake ya Arusha kama wataweza kuvunja hii record waliyoiweka watu wa Mbeya leo.
10
85
5
443
12,036