Pascal Moshi 🇹🇿 (@PascalMoshi) header
Pascal Moshi 🇹🇿 (@PascalMoshi) profile picture

🇹🇿YOUTH SOLIDARITY Specialized in Philosophy and Theology.Pure Reason and it's Relation with faith(truth).Founder of YS4S (youth solitary for self-reliance)

Tanzania
Joined September 2017
Shika simu
Nacheki MECHI ya SIMBA na TMA ….. naelewa kwa nini WALIKIMBIA ‘ DEBI’ 😁😁!!
75
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Nacheki MECHI ya SIMBA na TMA ….. naelewa kwa nini WALIKIMBIA ‘ DEBI’ 😁😁!!
240
57
18
1,362
93,835
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
TARIME: Watu wenye silaha wanaozunguka na Landcruiser nyeupe, wamewapoteza wakazi wanne wa kijiji kimoja tangu Novemba 2024.
28
115
13
366
37,166
Tukizangatia sera ya mradi, bajeti ya Wizara, na mchango wawa hisani na kiwango cha vijana walionufaika hadi sasa @HusseinBashe
23
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Tanzania sijui kama tuna Mtumishi anaweza kusema hivi
Hii ni serikali ya shetani....pastor ndiye amaquote Bible😅
5
17
1,059
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Hii ni serikali ya shetani....pastor ndiye amaquote Bible😅
6
1
10
1,853
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Katika malumbano ya hoja jana, nilieleza wanaosema Rais ametoa fedha ni wapotoshaji ,Rais hana fedha,fedha ni kodi za waTz 4R za Rais zimefeli ni lazima iongezwe R ya mwisho ambayo ni resistance ili wananchi waresist mfumuko wa bei,Hali ngumu ya maisha na Wizi wa mali za umma.
33
74
3
273
9,182
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Today is my Daddy’s 88th birthday 🥰🥰 Happy birthday to my super Dad! A great man with exceptional leadership skills! Mungu ni mkubwa 🙏🏽 Miaka 88 ni baraka kubwa ❤️ Kaona mengi na ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa binti yake 🩷 Amen 🙏🏽
248
200
20
1,443
137,584
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
26
13
2
124
20,126
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
🚨🚨#Tanzania‼️ Mradi wa Be Better Tanzania (BBT) unatesa tu vijana tena wengine wamama wana watoto wachanga Leo hii vijana wanalazimika kufanya kibarua kuuza karanga au kulima shamba jirani ili kuishi huku wameacha familia zao na hali mbaya! @WizaraKilimo mnachofanya ni ukatili mkubwa mmepeleka wapi pesa za wafadhili!? Cc @IFAD @AGRA_Africa @AfDB_Group Apparently you have hundreds of millions of 💲yet the youth are suffering and no meaningful activity in Chingali project! Follow the money 💵 #ChangeTanzania
44
50
6
185
43,106
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Hongereni sana Mbeya, mmepata na mvua ya baraka.
1
23
144
4,052
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Maandamano yamewasili viwanja vya Ruanda Nzovwe. NB ;- Mbeya wamevunja record ya Dar es salaam na Mwanza. Tunasubiri kuona kama Mhe. @godbless_lema na Team yake ya Arusha kama wataweza kuvunja hii record waliyoiweka watu wa Mbeya leo.
10
85
5
443
12,036
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Wasichana acheni kutamani kuvuna bila kupanda. Tazama Lowassa na Regina walikoanzia kama vijana. Mnawaza mafanikio baadala ya kazi; mnawaza matumizi bila mapato na ndio mnaingiza usaliti ktk mahusiano. Muunge mkono, msaidie, mpunguzie hofu, teseka nae kuwa yeye, acha mashoga nk.
25
56
5
262
17,974
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI (TEC) Wametoa ujumbe wa kwaresima, humo wamepiga spana mnyoosho kama kawaida yao.
16
87
1
421
28,929
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
TEC wana nafasi yao ya mbele kabisa pale upandee wa kuume kwa Mungu wetu, wanasaidia watu kimwili , kiroho na kiakili KATOLIKI WANAONYESHA WAOWANAMTUMIKIA MUNGU
Asanteni @tanzaniaepisco1 Baraza la maaskofu Katoliki kwa waraka huu mzuri wa Kwaresima Ujumbe mahsusi kwa viongozi wa kisiasa:👇🏾 “Leo hii watu wengi wanaofanya maamuzi, wanasiasa na wachumi pia, wanadai kwamba wasidaiwe kitu na yeyote isipokuwa na wao wenyewe. ‘Wanafikiri wao tu wana haki, na mara nyingi wana matatizo makubwa katika kuwajibika kwa ajili ya maendeleo kwa ujumla yanayowahusu wao wenyewe na wengine pia. Kwa sababu hiyo ni muhimu kuichochea tafakari mpya juu ya namna haki zilivyosimikwa juu ya wajibu; bila kuwa hivyo, haki hizo zinageuzwa kuwa ubabe” Kazi kwenu mnaofikiria nyie tu ndo mna haki 👋🏽na #TutaelewanaTu Kwaresima njema wakatoliki wenzangu 🙏🏽
3
17
95
5,858
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
…. Nimemskiliza mzee Warioba, Anaeleza namna Edward Lowasa alivyokuwa akiadhibiwa kwa “Hisia” tangu kipindi cha Mwalimu Nyerere. But he never gave up. He stood for what he believed was right. And it pays, and those who wronged him are terrified with Shame and Guilty.
16
103
9
488
24,318
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
😭😭😭 Hili ni darasa la kutosha kwa wote.
21
94
3
637
19,912
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Mhe Lowasa alikuwa kiongozi wa maamuzi Magumu. 1. Ujenzi wa shule za sekondari za kata ulikuwa uamuzi wake. Sasa tunashuhudia watoto wa Kitanzania nchi nzima wakinufaika. 2. Ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria. Licha ya sheria za kimataifa aliamuru lijengwe.
13
25
1
174
9,223
Pascal Moshi 🇹🇿 retweeted
Kamati ya Richmond ya Mhe Dr. Mwakyembe haikumtia hatiani kwa ufisadi. Hata hivyo alijiuzulu kumwokoa Rais Kikwete na chama chake ktk aibu. Waliomtangaza na kuimba nyimbo za ufisadi walikurupuka. Ukweli usemwe tu. Lowasa alikuwa statesman. Apumzike kwa amani. Amina.
40
48
4
286
24,167
Bado tunaomsema Bashe anahujumu Mradi wa bbt tutakamatwa. Hilitaifa ifike mahali tuseme imetosha kwa vitendo
Replying to @bavicha_taifa
@bavicha_taifa tumesikitishwa na kitendo cha serikali badala ya kushughulikia tatizo la umeme nchini, wameamua kuwakamata wakosoaji wa TANESCO. Tumeshauriana na viongozi wenzangu. Nimemuelekeza Advocate @AdvMahinyila kufatilia mchakato wa dhamana. #BavichaTutawasimamia
41