Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Nacheki MECHI ya SIMBA na TMA โฆ.. naelewa kwa nini WALIKIMBIA โ DEBIโ ๐๐!!
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
TARIME: Watu wenye silaha wanaozunguka na Landcruiser nyeupe, wamewapoteza wakazi wanne wa kijiji kimoja tangu Novemba 2024.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Katika malumbano ya hoja jana, nilieleza wanaosema Rais ametoa fedha ni wapotoshaji ,Rais hana fedha,fedha ni kodi za waTz
4R za Rais zimefeli ni lazima iongezwe R ya mwisho ambayo ni resistance ili wananchi waresist mfumuko wa bei,Hali ngumu ya maisha na Wizi wa mali za umma.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Today is my Daddyโs 88th birthday ๐ฅฐ๐ฅฐ
Happy birthday to my super Dad!
A great man with exceptional leadership skills!
Mungu ni mkubwa ๐๐ฝ Miaka 88 ni baraka kubwa โค๏ธ
Kaona mengi na ninamshukuru Mungu kwa kunijalia kuwa binti yake ๐ฉท
Amen ๐๐ฝ
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
๐จ๐จ#Tanzaniaโผ๏ธ
Mradi wa Be Better Tanzania (BBT) unatesa tu vijana tena wengine wamama wana watoto wachanga
Leo hii vijana wanalazimika kufanya kibarua kuuza karanga au kulima shamba jirani ili kuishi huku wameacha familia zao na hali mbaya!
@WizaraKilimo mnachofanya ni ukatili mkubwa mmepeleka wapi pesa za wafadhili!?
Cc @IFAD @AGRA_Africa @AfDB_Group
Apparently you have hundreds of millions of ๐ฒyet the youth are suffering and no meaningful activity in Chingali project!
Follow the money ๐ต
#ChangeTanzania
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Maandamano yamewasili viwanja vya Ruanda Nzovwe.
NB ;- Mbeya wamevunja record ya Dar es salaam na Mwanza.
Tunasubiri kuona kama Mhe. @godbless_lema na Team yake ya Arusha kama wataweza kuvunja hii record waliyoiweka watu wa Mbeya leo.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Wasichana acheni kutamani kuvuna bila kupanda. Tazama Lowassa na Regina walikoanzia kama vijana.
Mnawaza mafanikio baadala ya kazi; mnawaza matumizi bila mapato na ndio mnaingiza usaliti ktk mahusiano. Muunge mkono, msaidie, mpunguzie hofu, teseka nae kuwa yeye, acha mashoga nk.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI (TEC)
Wametoa ujumbe wa kwaresima, humo wamepiga spana mnyoosho kama kawaida yao.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
TEC wana nafasi yao ya mbele kabisa pale upandee wa kuume kwa Mungu wetu, wanasaidia watu kimwili , kiroho na kiakili
KATOLIKI WANAONYESHA WAOWANAMTUMIKIA MUNGU
Asanteni @tanzaniaepisco1 Baraza la maaskofu Katoliki kwa waraka huu mzuri wa Kwaresima
Ujumbe mahsusi kwa viongozi wa kisiasa:๐๐พ
โLeo hii watu wengi wanaofanya maamuzi, wanasiasa na wachumi pia, wanadai kwamba wasidaiwe kitu na yeyote isipokuwa na wao wenyewe.
โWanafikiri wao tu wana haki, na mara nyingi wana matatizo makubwa katika kuwajibika kwa ajili ya maendeleo kwa ujumla yanayowahusu wao wenyewe na wengine pia. Kwa sababu hiyo ni muhimu kuichochea tafakari mpya juu ya namna haki zilivyosimikwa juu ya wajibu; bila kuwa hivyo, haki hizo zinageuzwa kuwa ubabeโ
Kazi kwenu mnaofikiria nyie tu ndo mna haki ๐๐ฝna #TutaelewanaTu
Kwaresima njema wakatoliki wenzangu ๐๐ฝ
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
โฆ. Nimemskiliza mzee Warioba, Anaeleza namna Edward Lowasa alivyokuwa akiadhibiwa kwa โHisiaโ tangu kipindi cha Mwalimu Nyerere. But he never gave up. He stood for what he believed was right. And it pays, and those who wronged him are terrified with Shame and Guilty.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Mhe Lowasa alikuwa kiongozi wa maamuzi Magumu.
1. Ujenzi wa shule za sekondari za kata ulikuwa uamuzi wake. Sasa tunashuhudia watoto wa Kitanzania nchi nzima wakinufaika.
2. Ujenzi wa bomba la maji kutoka ziwa Victoria. Licha ya sheria za kimataifa aliamuru lijengwe.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Kamati ya Richmond ya Mhe Dr. Mwakyembe haikumtia hatiani kwa ufisadi. Hata hivyo alijiuzulu kumwokoa Rais Kikwete na chama chake ktk aibu. Waliomtangaza na kuimba nyimbo za ufisadi walikurupuka. Ukweli usemwe tu. Lowasa alikuwa statesman. Apumzike kwa amani. Amina.
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
๐จ๐จ #Tanzania BBT ya mifugo bomu lingine ๐จ
Vijana wanazidi kuliaโผ๏ธ
Je mnajua kuwa huko Kagera kuna BBT ya mifugo? Vijana wanaeleza
๐๐ฝ lengo ni kunenepesha ngโombe
๐๐ฝ walichukuliwa 2022 Oct lakini ngโombe wameletewa 2023 June
๐๐ฝ hapo katikati walipewa manual labour kungโoa visiki nk
๐๐ฝ wanalipwa 150,000 kwa mwezi ila ni kwa mbinde
๐๐ฝ wote waliopo ni wataalam wa mifugo kuanzia certificate hadi degree
๐๐ฝ Mkataba umeisha Oct 2023 wameongezewa hadi June 2024
๐๐ฝ Wameambiwa waingie tena Batch ya pili mkataba ukiisha
๐๐ฝ Maji safi hakuna hata ya kunywa au kupikia - hakuna bajeti!
Hivi hii wizara mbona inatumia vijana kama CHEAP LABOUR ? Alafu ishu ya bajeti mmepokea mabilioni?
Subirini dawa yenu iko jikoni
Na #TutaelewanaTu
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Wale MLIOPEWA vijihela .. ILI mpotoshe Uhalisia... Wengine huwa HATUKURUPUKI kuzungumzia jambo . Mmekubali KUTUMIKA ( kimahusiano na rushwa) ili MUWAUMIZE VIJANA WENZENU wanaotaaabika. Hiyo ni SHORT TERM tu. Kesho iliyo BORA haiwezi jengwa kwa style hii. Nawaza tu wanaowatuma sijui wanatumia nini kufikiri ?'VIGODA' LABDA...Nakumbuka msemo wa aliyewahi kuwa MEYA wa JIJI la DSM ( APUMZIKE kwa AMANI). Tunatarajia WASAIDIZI wa Rais mlioaminiwa Kusimamia wizara, mtaruhusu SECTRETARIAT iwazidi Akili...unless muwe WOTE mna LENGO MOJA.
Youโre unable to view this Post because this account owner limits who can view their Posts. Learn more
Pascal Moshi ๐น๐ฟ retweeted
Jenga KESHO iliyo BORA BBT! Mwaka JANA katika BUNGE la BAJETI,tuliambiwa WIZARA imepanga kufikia 2025 kuwa na ekari 2,500,000 kwa ajili ya kuwapatia VIJANA na WANAWAKE. LEO 2024, ekari 600 kuzisafisha,kupima,kusawazisha MASHAMBA pamoja na kuweka miundombinu ya umwagiliaji tumeshindwa. Tukiri TULIKURUPUKA ILI TUJISAHIHISHE.










































