馃嚬馃嚳YOUTH SOLIDARITY
Specialized in Philosophy and Theology.Pure Reason and it's Relation with faith(truth).Founder of YS4S (youth solitary for self-reliance)
Mh. Rais wetu @SuluhuSamia kukusudia kwako kuwekeza kwa vijana kwenye kilimo kupitia program ya bbt, nikukusudia kulijenga taifa tajiri. Unaweka historia na alama katika taifa kwa manufaa ya leo na kesho.
Kilimo ni Biashara, uwekezaji wa vijana kwenye kilimo utaongeza chakula duniani, utatengeneza ajira mpya, utapelekea mapinduzi katika sekta ya viwanda na sekta nyingine.
Kilimo ni utajiri. Nchi yetu kwa hali na asili yake inaruhusu kilimo. Kama vijana wakijikita kwenye kilimo ipasavyo changomoto ya Ajira kwa vijana itaisha kabisa.