Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF John Masunga ametembelea Kiwanda cha Mitambo ya Zimamoto na Uokoaji cha Rosenbauer International AG nchini Hispania lengo likiwa ni kuimarisha juhudi za kuboresha usalama wa moto katika viwanja vya ndege nchini
339
Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Happiness Shirima amefanya kikao kazi na Jeshi hilo Mkoa wa Arusha Agosti 29, 2026 kwa lengo la kujadili kuhusu kukabiliana na dharura zinazoweza kutokea kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yaliyotolewa na TMA hivi karibuni
El Niño ni nini?
Ni hali ya mabadiliko ya mfumo wa hali ya hewa inayoweza kusababisha mabadiliko ya mwenendo wa mvua katika maeneo mbalimbali.
Mvua kubwa zinaweza kusababisha:
🌊 Mafuriko
🌧️ Maji kujaa mijini
🌉 Mito na mifereji kujaa
⚠️ Hatari kwa maisha na mali
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dodoma imetembelea Banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwenye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo (nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dkt. John Malecela Nzuguni Jijini Dodoma agosti 1, 2026
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Mtwara limeendesha mafunzo ya kujengeana uwezo katika kukabiliana na ajali za ndege
1
388
Mafunzo ya mawasiliano ya kimkakati wakati wa majanga inaendelea kutolewa kwa Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es salaam
Mafunzo hayo ya siku tatu yanatolewa na Maafisa wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuanzia Julai 28 hadi Julai 30 2026
328
Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji walioshiriki mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika Mkoani Dodoma tarehe 26 Julai 2026
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamad Mussa akiwa na Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Dar es salaam , Naibu Kamishna Kenedy Komba mara baada ya kutembelea Banda la Chuo hicho wakati akifunga maonesho ya saba ya elimu ya juu zanzibar 26 Julai 2026
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Prof. Alhad Mussa Salum, akiwa ameambatana na viongozi wenzake pamoja na wajumbe wa jumuiya hiyo ametembelea Banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba – at Tanzania
3
709
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Paschal Patrobass, ametembelea Banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kujionea kazi zinazofanywa na Jeshi hilo – at Tanzania
1
1
564
Ushirikiano kati ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi umeendelea kujidhihirisha katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), ambapo Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala, ametembelea Banda la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji – at Tanzania
598






































