Replying to @RashdaZunde
MILIONI TUU TENA KODI ZETU INAMFANYA HUYU MPUMBAVU AROPOKE!!!BADALA YA KUHOJI MSAHILI KUZUIA 500M ZA CHADEMA
Replying to @_zack255
Heche wapenda haki tunamchangia na tunataka azile pesa zetu vizuri ili nyie mafisadi mtoke madarakani mnaouza rasilimali za nchi kwa manufaa binafsi na kufadhili mambo ya kipuuzi ili hali nchi ipo katika hali mbaya kiuchumi!!!yaani mnawapa hao wasaliti 1m kodi zetu¿¿¿😭😭😭😭😭
Replying to @MelaninAliyah1
Hakuna MOTO ni matumizi mabaya tuu ya kodi za wananchi kutumika kuwalipa hawa machawa ili hali barabara nchi nzima mbovu,wanafunzi wanakaa sakafuni na ufisadi wa rasilimali zetu unaofanywa na familia chache😭😭😭😭😭😭😭
Replying to @_zack255
KINACHOUMA ZAIDI NI KODI ZETU KUTUMIKA KATIKA MAMBO YA KIPUMBAVU NAMNA HII!!!HAWA WASALITI HAWAJAITISHA PRESS KUTAKA LISSU AACHILIWE ILA WANAHOJI BUKU ZETU.NCHI NZIMA BARABARA MBOVU HAWAHOJI
Replying to @zoetjesheeftX
CCM INAPENDA WAJINGA KAMA WEWE!!!HUULIZI PAMOJA NA RASILIMALI ZILIZOPO TANZANIA LAKINI WATANZANIA NI MASIKINI WA KUTUPWA NA DENI LA TAIFA LINAPAA KWA NINI¿¿¿ unaumia roho na vi buku buku ya tone tone😭😭😭😭










