Vön Masemele (@MasemeleFJ) header
Vön Masemele (@MasemeleFJ) profile picture

The moral legitimacy of a society may be measured by the degree to which it safeguards, nurtures, and invests in the lives of its children.

Dodoma, Tanzania
Joined October 2014
Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)Photo by Vön Masemele (@MasemeleFJ)
Ili kutimiza azma ya Serikali ya kidijitali, ni muhimu kuruhusu matumizi ya baadhi ya huduma za apps za Serikali na Benki zote bila intaneti. Hii itafanya matumizi ya intaneti yawe rafiki kwa wananchi. @tamisemi_tz @NMBTanzania @crd
31
Vön Masemele retweeted
Passing Out JKT 2026, Ready for Colleges/Universities These lads are Tanzanian high school graduates who must attend compulsory national service before joining college. During service, recruits train in various fields to prepare for independent adult life, focusing on patriotism, self-determination, and military readiness to defend their country.
5
22
1
68
7,008
Vön Masemele retweeted
Replying to @Jambotv_
Ado ni tapeli na amejibu swali kitapeli kwamba yeye peke yake ndio ataweza kubadili wabunge wa CCM wakiamua kutunga sheria kandamizi? Mbona kura za VP zilipigwa na wabunge wote?
1
4
249
Aldo anataka kusema kwamba anaweza kuwadhibiti CCM wasifanye yao sio!
VIDEO: Katika mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo wa Septemba 11, 2026, uliofanyika Kata ya Dutwa, Jimbo la Bariadi mkoani Simiyu, mwananchi Fulani amesimama na kumhoji Katibu Mkuu wa chama hicho ambaye pia ni Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, kuhusu sababu za yeye kuendelea kubaki bungeni na kulipwa posho kupitia mfumo wa uchaguzi anaoukosoa. Katika swali lake, mwananchi huyo amemhoji Ado Shaibu akihoji ni kwa namna gani anajisikia amani kuendelea kuhudumu kama mbunge na kupokea posho za bunge zilizotokana na uchaguzi ambao ndugu zao walipotea, wakati huohuo akiwaambia wananchi wa Dutwa wapiganie mifumo rafiki ya uchaguzi na Katiba Mpya Akijibu hoja hiyo, Ado Shaibu ameeleza kuwa uamuzi wake wa kwenda bungeni haukutokana na kuridhika na mfumo uliopo, bali ulikuwa ni mkakati wa kuzuia chama tawala (CCM) kupitisha kile alichokiita sheria kandamizi bila kupingwa. Amedai kuwa iwapo wapinzani wangesusia bunge na kuwaacha CCM peke yao, chama hicho kisingepata uangalizi katika uamuzi wa nchi. Amebainisha kuwa ataendelea kutumia nafasi hiyo kupigania haki za Watanzania waliopoteza maisha na kuuawa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
58
Propaganda katika ubora wake
Basically, Ukrainian drone failed to detonate on impact, and got stuck in the grass. Russian idiot could not believe his luck and ON PURPOSE (?) detonated the drone, effectively deleting himself. Why would he do that. ?????????????
18
Utulivu huo ni pamoja na kukubali kwamba matatizo yasio na suluhu wakati huo, ndio ukweli ambao inabidi ukabiliane nao na kukubaliana nao kwa mikakati endelevu.
Ukiondoa elimu, ulikosoma, taaluma ulizosomea, kazi, mahali unakofanya kazi, mali, mamlaka na cheo ulichonacho, watu uliojitambulisha nao, unabaki na nini kinachopambanua vizuri utambulisho wako na kukupa utoshelevu? Wewe ni nani ukiacha vibandiko hivi? Ukiweza kujisikia mtu wa thamani, mtu wa maana, mwenye furaha, mwenye utulivu na amani, bila kujishikiza mno na hivi vibandiko tunavyojipachika baada ya kuzaliwa, wewe kwa hakika ni mtu ukiyekutana na wewe, unayemfahamu ‘wewe’, unayeheshimiana na wewe, unayejitambua, uliyefanikiwa na kwa hakika, utakuwa mtu mwenye utulivu unaokupa utoshelevu katika maisha. Ukiupata utulivu huo, mshunuzi Abraham H. Maslow anakuita ‘self-actualized’ hata kama huna chochote kinachoonekana. Katika utulivu huo unakuwa mtu mwanana, asiye na mashindano, asiyejitanguliza yeye na maslahi yake, asiyeteseka kujikweza aonekane, na hivyo unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuipa dunia kile ulichopaswa kuipa. Carl Rogers angesema hapo unakuwa unaliishi kusudi lako na hayo ndio maisha yenye utoshelevu (fully-functioning person).
1
113
Vön Masemele retweeted
n a land plagued with anarchy, the most powerful man is the judge and arbiter.
4
9
84
15,708
Replying to @Tariq9116404
Watu wanajenga uwezo na wanabadilika. Kama umeshindwa kupangua hoja zake, hiyo ni ad hominem, yaani unaenda kufanya attack kwake yeye, na sio hoja zake. Pia kitengo maalum, ndio kazi yake kumsaidia mtu aje kuwa na ufanisi kwenye jamii, ikiwemo kujenga hizo hoja
1
1
101
Iandaliwe Public Parents Partisanship kama tulivyofanya shule za kata ili watoto wetu wote wapate usafiri. Hili swala la kuwa na dunia mbili kwenye picha moja halifai.
Kama unafahamu hili tangazo Fanya mazoezi sana na epuka vyakula vya mafuta..
1
1
1
102
Kuna tukio linakuja...kubwa tu
🙏 GOD PROTECT PRESIDENT TRUMP President Trump suggested today that he may not survive the Iranian threat, saying he could "be gone" because Iran is trying to assassinate him. He made the remark three separate times. Moments later, he boarded Air Force One as the NATO Summit in Turkey concluded. This is no longer background noise. The President of the United States is publicly warning that Iran is trying to kill him.
19
Vön Masemele retweeted
Mapadri hawawezi kujificha katika 'useja' kuhepa watoto wanaozaa, korti yaambia Kanisa Katoliki zurl.co/UFqIt
1
319
Mie safari za mkoani huwa nauma chuma zenye bei ya mwananchi wa uchumi wa chini...kwanza hazina speed ya kushindania wateja...pili gharama nafuu na unafika sawa na ailyepanda VVVIIP
Kuna utapeli mwingi sana kwenye usafiri wa bus za mikoani hizi mnazoita luxury,vvip&vip class,yaani nauli ni kubwa karibu marambili ya bus zisizokuwa luxury lakini ukiangalia vigezo eti vvip ina choo ndani,choo chenyewe huruhusuwi hata kunya kama sio utapeli ni nini?!.💔
1
1
40
Maafrika ni majinga majinga sana....sasa ukimwacha mwenzio akafanya bisahara kwa amani we unapungukiwa nini! Roho mbaya na ndimi zilizopinda kama upinde ndo sifa yetu
Kuna mambo yanashangaza sana mtu anamgahawa wake siku 3 nzima akipika chakula ndani ya dakika 10 anakuta kimeshaharibika (kuchacha kabisa) 😂😂 tukadhan vyombo labda vibovu leo katumia vyombo vipya kabisa still vikachacha 😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼 Africa nasayansi
1
1
3
179
Vön Masemele retweeted
Very true. Shule zinajali wanafunzi kufaulu hata kwa faulo. Ili wapate sifa kuliko kufundisha wanafunzi kwa bidii wakiwa darasani.
1
1
31
We should not go this way
Sasa hapa umeelewa nini kwa mfano? 🤔
31
Vön Masemele retweeted
Replying to @kafangi
That would be stupidity, ngoja ujionee after the rest of Africans have left venye watabaki wakifyonzwa na wazungu, technically the country belongs to the settlers. They own 90% of their economy, and the dumb kzn can't discern that.
2
71
4,193
Nini kinaendelea Uganda?
All television channels are required to broadcast films that highlight Our President Mzee Yoweri Museveni and General MK’s achievements every single day. Chairman’s Office.
28
Sidhani kama huu muungano uliwezekana bila CIA kutia baraka....sidhani.
Mwenye kujua anifundishe kujua Maridhiano Zanzibar yalianza baada ya katiba ya Zanzibar kubadilishwa au kabla ya katiba kubadilishwa ? Nataka kujifunza kwa viongozi wa kiafrica walivyoweza kuelewana na kuunda serkali ya mseto bila usaidizi toka nje
43
Vön Masemele retweeted
Replying to @MasemeleFJ
Ubepari uliozaa mavi ya democracy ni shida Lol
1
1
21