Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend) header
Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend) profile picture
Joined December 2024
Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)Photo by Mshauri wa Engonga (@Dee7_Legend)
Mshauri wa Engonga retweeted
Where is Twaha Mwaipaya? No one should be disappeared for demanding justice. We demand his immediate and unconditional release. #EndAbductionsEA As of now, whereabouts unknown. High Court ordered security agencies to produce him on Nov 2 at 11 a.m., explain his detention.
1
15
27
1,057
Mshauri wa Engonga retweeted
Kaka mkubwa @godbless_lema , 1. Kwanza nadhani unapaswa kumwomba radhi Tundu Lissu kwa kulinganisha kifungo chake ambacho ni ukatili dhahiri wa dola na kifungo cha mfanyabiashara wa madawa ya kulevya. Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wananegotiate na serikali kwa sababu wamevunja sheria. Lissu hayupo ndani kwa kuvunja sheria yoyote ile; Lissu anasulubiwa kwa kosa la kudai haki na uwajibikaji nchini. Kusema kwamba unanegotiate na serikali ili Lissu aachiliwe kama vile wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wanavyonegotiate ili maboss wao waachiliwe ni sawa na kutuambia unaamini Lissu ni mhaini. Lissu mwenyewe alisema mahakamani kuwa hahitaji kuomba huruma yoyote kwa sababu hana kosa lolote. Alisema hivi kwa kutambua hiki unachokisema hapa. Sina hakika kama ulitafakari implication ya mfano wako kabla haujautumia katika huu muktadha. 2. Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya huwa wanatrade jambo fulani kama gharama ya kumwachia boss wao. Kwa mfano, wanaweza kumuuza boss mwingine ambaye anasupply madawa kwa makubaliano ya kumwachia boss wao au wanaweza kukubaliana kufunga biashara zao eneo fulani kama sehemu ya makubaliano. Wewe ukienda kufanya mazungumzo ya aina hii ili Tundu Lissu aachiliwe, unapeleka nini haswa mezani? Unatrade nini?? Unawaambia mmekubali kuwa Lissu ni mhaini na hivyo mnaomba aachiliwe kwa sharti la kutokuongea tena au nini haswa? Mnakubaliana kuwa Lissu ataachiliwa kwa sharti la kuhama nchi, kuachana na siasa, kusimama kwenye podium na kuisafisha serikali, au nini haswa mnachokipeleka mezani katika haya mazungumzo sawa na namna wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wanavyofanya kwenye negotiations zao? Itakuwa vyema ukitusaidia kuelewa zaidi hili la pili. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
41
90
5
395
25,301
Mshauri wa Engonga retweeted
HAKUNA NJIA YA MKATO (THERE IS NO SHORTCUT) UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITAKAVYOLIPONYA TAIFA LETU. JIEPUSHENI NA MADALALI WA GIZA. Yeyote anayehubiri maridhiano bila kuweka mbele ukweli, haki na uwajibikaji, aidha ni muuaji au wakala wa wauaji. Msimamo wa aina hiyo lazima ukataliwe hadharani! TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATHS TO HEALING OUR NATION. BEWARE OF BROKERS OF DARKNESS. Anyone advocating reconciliation without first establishing truth, justice and accountability is either a perpetrator of killings or an agent of the perpetrators. Such a position must be publicly rejected! BAK MWABUKUSI
75
489
12
1,615
48,455
Mshauri wa Engonga retweeted
It’s now a week since Tanzanian activist Twaha Mwaipaya was abducted from Nairobi Kenya. Where is Twaha? Thankfully the Kenyan Judiciary that still works ordered the Kenya IGP and other authorities to produce him in court tomorrow. #FreeTwahaMwaipaya
2
84
202
4,627
1
35
76
814
Mshauri wa Engonga retweeted
The High Court in Kenya has ordered the Kenyan authorities, to produce before it, Twaha Mwaipaya, dead or alive, on Monday November 2, 2026. #FreeTwahaMwaipaya
2
37
3
76
4,082
Mshauri wa Engonga retweeted
All eyes are on the Kenyan High Court,this Monday 2nd November 2026. Where is Twaha Mwaipaya? #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
2
55
5
103
4,300
Mshauri wa Engonga retweeted
19
45
1,863
Mshauri wa Engonga retweeted
ABDUCTION ALERT‼️ A whole week later, the Kenyan and Tanzanian Governments have said nothing about the whereabouts of our friend in the struggle, Twaha Mwaipaya.
2
135
6
224
10,038
Mshauri wa Engonga retweeted
ABDUCTION ALERT‼️ A whole week later, the Kenyan and Tanzanian Governments have said nothing about the whereabouts of our friend in the struggle, Twaha Mwaipaya.
35
128
6,528
Mshauri wa Engonga retweeted
Ni siku nyingine Mungu katujalia neema yake tumeamka lakini hakuna ambae anajua Twaha Mwaipaya yupo wapi, tuendelee kupaza sauti zetu kwa ajili yake. Nakama unaenda kanisani leo naomba usisahau kumuombea Twaha Mwaipaya pamoja na Mhe. Lissu. #FreeTwahaMwaipaya #FreeTunduLissu
1
73
372
9,497
Mshauri wa Engonga retweeted
27
56
1,143
TWAHA YUKO WAPI???
30
304
3
1,767
55,366
Mshauri wa Engonga retweeted
Kwanini tunasema utawala halamu kwasababu ndio utawala ambao hauheshimu haki za kuishi binadamu uhai wa binadamu na ndio utawala unao wafanyia mambo ya hovyo sana wananchi ikiwepo kuwaingilia kinyume vitu huwezi kuongoza nchi kwa kupoteza wanao hoji nchini wenyewe umekaa kimya.
1
30
109
2,029
Mshauri wa Engonga retweeted
8
11
350
Mshauri wa Engonga retweeted
Nakuombea bro uwe salama tena, Mungu alieniokoa MBUGA YA KATAVI akakutembelee huko MATEKANI ukawe salama tena. #FreeTwahaMwaipaya
5
148
4
692
15,290
Mshauri wa Engonga retweeted
30/10/2025 Ilikuwa siku nyingine ya giza!!! R.I.P Our People! 💔🕊️🕊️ 1yr sasa hakuna Ukweli, Uwazi na Uwajibikaji alafu tunataka iwe sawa tu! Haiwezi kuwa, Kusukuma takataka chini ya kapeti hakufanyi nyumba kuwa safi! Nyumba itanuka tu! Yatatokea kwa namna mbaya sana!
10
197
3
713
15,863