Pinned Tweet
John 5;15-He calls me FRIEND
1Thessalonian 1;4-He calls me CHOSEN
1Corinthians 6;19-He calls my body a TAMPLE
ACTS 1;8-He call me his MESSENGER
Galatians 3;26-He call me his CHILD
Romans 5;8-He call me GREAT LOVED
Johns 8;36-He call me FREE
2Corinthian 5;17-He calls me BRAND NEW
Celsius Ulanda retweeted
Klabu ambayo inamiliki winga wa kulia au kushoto : yani kiujumla kama unamiliki winga mzuri basi JANUARI 2027 jiandae na Hodi kutoka PARIS😀😀😀😀
Huwa hawapendi kubet hawa kuhusu ubora wa kikosi chao
Celsius Ulanda retweeted
Mmeamkaje vipenzi 😍
Pazia nzito za kushona🔥
Kitambaa Mita 1 Tsh 15,000/
Set upana wa mita 2 Tsh 85,000/
Set upana wa mita 1.5 Tsh 75,000/
Set ni pazia nzito 2 na nyepesi 1
Urefu cm 280 ukihitaji zaidi unapata
☎️0693218525
📍 Kkoo Agrey Dar
🚚 Natuma popote ulipo
Karibuni❤️ – at Dar es Salaam, Tanzania
Celsius Ulanda retweeted
Mnayakumbuka haya mabegi
Njooni muagize Tena kwa shilling 30000 tu
Unapata in 12 days
0745221288
Celsius Ulanda retweeted
Kitchen cabinet 350,000
Thanks kwa mtamisemi ulipotoa ubarikiwe karibu sana 🙏
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
Wazee wa mgodini unakutana nae katapeliwa 100M,200M ila maisha yanaendelea vizuri tu wakati sisi huku mtaan kwetu mzee kutapeliwa laki 6 tu anapata stroke kabisa 🙌🏼
Celsius Ulanda retweeted
"We won't overpay £100m kwa Harry Kane"
Then goes ahead and spend £208M on Hojlund, Zirkzee and Šeško.
Man United logic
Celsius Ulanda retweeted
#Underated_pro_punter
💥💥💥BOOOM 🔥🔥🔥🍀🍀🍀
We did it again 🥂
Odds 7+✅✅✅🔥🔥🔥💥💥☄️💫
On DB Bet🔴 Kama bado hujajisajili….
JISAJILI⤵️
Jisajili 👉 dbb-x.com/MTAALAMU
Promocode: MTAALAMU
#Underated_pro_punter
Bookie/Site: DB-BET ⚪🔴
Bet of the day🔥🔥🔥
11 Odds🔥🔥🔥🍀
Booking Code➡️ 34D3E
___________________________
On DB BET🔴 Kama bado hujajisajili….
JISAJILI⤵️
Jisajili 👉 dbb-x.com/MTAALAMU
Promocode: MTAALAMU
Celsius Ulanda retweeted
Kila mchezaji akikutana na piesijiii kwa saivi lazima aonekane hajui mpira 😀😀😀😀😀😀
Celsius Ulanda retweeted
USIKOSE FURSA YA KUWA MMILIKI WA KIwanja CHAKO!
@GeoConstructors @Geo_Traverse Group of Companies inakuletea fursa ya kuwekeza kwenye ardhi katika maeneo ya Buigiri na Mlimwa C, Daraja la Mavunde – at Dar es Salaam, Tanzania
🏡 USIKOSE FURSA YA KUWA MMILIKI WA KIwanja CHAKO!
@GeoConstructors @Geo_Traverse Group of Companies inakuletea fursa ya kuwekeza kwenye ardhi katika maeneo ya Buigiri na Mlimwa C, Daraja la Mavunde
📍 1. VIWANJA – BUIGIRI
✅ Viwanja Na. 45, 46 na 47
✅ Bei: TSh 8,000,000 kwa kila kiwanja
✅ Takribani mita 300 kutoka Lami Mpya ya Kikombo
📍 2. VIWANJA – MLIMWA C, DARAJA LA MAVUNDE
✅ Bei: TSh 28,000,000 kwa kiwanja kimoja
💰 WEKEZA KWA MPANGO RAHISI WA MALIPO!
Huna haja ya kulipa kiasi chote kwa mara moja. Unaweza kulipa kwa awamu mbili ndani ya kipindi cha miezi mitatu:
🔹 Awamu ya kwanza: TSh 4,000,000
🔹 Awamu ya pili: TSh 4,000,000 baada ya miezi 3.
Mpango huu wa malipo unahusu viwanja vya Buigiri vyenye bei ya TSh 8,000,000.
Ardhi ni mali yenye thamani inayoweza kuwa msingi wa maendeleo ya familia yako na uwekezaji wa baadaye. Chukua hatua leo kabla fursa haijapita!
📞 WASILIANA NASI LEO
0719 336 667
0763 782 274
🌐 geotraversegroup.com
📍 Barabara ya 9, Tisa, Dodoma
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Tunajenga Maadili, Tunajenga Maisha!
#GeotraverseGroup #ViwanjaVinauzwa #Buigiri #MlimwaC #ArdhiTanzania #UwekezajiWaArdhi #Dodoma
Sema kitu nimejifunza humu ukitaka nyapu nenda direct kwenye neno lenyewe sisi walokole tunaotumia tafsida hatuwezi kupewa kabisa 🥲
Chawa anaomba kwa kufoka, anaeombwa nae anakataa kwa kufoka. Muziki wa kufokafoka 😂😂😂 #TuesdayVAR
Celsius Ulanda retweeted
Denim jeans 👖 : size 31-38
.
Bei : 40,000 /=
.
Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620
.
📌Kariakoo mtaa wa Congo na narung'ombe brotherhood tower sec floor Shop S6 ✅












































