poizon (@Capiteinii) header
poizon (@Capiteinii) profile picture

The true measure of the justice of a system is the amount of protection it guarantees to the weakest.

Tanzania
Joined January 2014
Kuna jambo kubwa hapa nchini linachukuliwa poa mno. Nalo ni kuhusu utu, heshima na uhuru wa mtu binafsi. Tumejiona tena taifa likiingia kwenye headlines si kwa maendeleo, bali kwa ukandamizaji wa haki za msingi. Tundu Lissu alishawahi kusema, “Tunaishi kwenye nchi ambayo mamlaka inaheshimika kuliko utu.” Leo tunaona mfano halisi Mbunge wa zamani, Heche, akizuiwa kuvuka mpaka kwenda kuhani msiba wa rafiki yake upande wa Kenya, Sirari border. Ni jambo la aibu kwa taifa linalodai kuenzi uhuru wa watu wake. Mtu hana kosa la jinai, hana kesi, lakini anazuiwa kwa sababu ya siasa. Huu si ulinzi wa mipaka, ni ulinzi wa ubabe. Tunajiuliza ni lini mamlaka zitagundua kwamba hofu si njia ya kudhibiti taifa? Kuogopa wananchi ni ishara ya utawala dhaifu unaoogopa ukweli. Tanzania inahitaji kurejea kwenye misingi ya haki na utu. Hatuwezi kujenga taifa lenye amani ya kweli kama watu wanazuiwa kuomboleza, kuzungumza, au hata kuvuka mpaka kwa sababu ya mitazamo yao ya kisiasa. Wanasiasa wa upinzani hawataki vita wanataka usawa. Raia hawataki fujo wanataka heshima. Lakini mamlaka inapoamua kutumia nguvu badala ya hoja, basi taifa linaingia giza. Leo ni Heche, kesho ni nani? Ukandamizaji unapoanza kwa mmoja, unalenga wote. Ni wajibu wa kila Mtanzania kusimama na kusema “inatosha.” Taifa limepoteza ubinadamu wake. #HumanRights #Tanzania #HakiKwaWote #Heche #Sirari #UtawalaWaHofu
1
18
55
3,308
Replying to @IAMartin_
Walompiga tundu lisu risasi nao hawajatafutwa then ajali yenyewe kama ni hii jamaa wa hyce kakosea wp?
1
1
20
2,973
Narudia kwa msisitizo tafadhali. Salaam Watanzania.🇹🇿 Tafadhali tuendelee kushirikiana kuifanya jamii yetu mahali salama pa malezi na makuzi ya watoto wetu na ustawi mwema wa makundi yote. Tushirikiane kufikisha salaam hizi kila ukurasa online kila mtu azipate, TikTok nako kapandisheni tafadhali. Vita ya ukombozi wa fikra hupigwa na watu wema wanaojali (CARE). @maendeleoyajamii @tanpol @tcra_tanzania @katibanasheria_ @wizara_afyatz @tbs @ortamisemi @ViwandaBiashara
61
85
3
464
59,487
Replying to @prossoff
Unawaza kama Mpumbavu. Hivi ni lini watanzania tutaanza kuamini katika system bora ni lini?! Simba: Bila Mo Dewj simba hakuna Yanga: Tumlinde Injinia hakuna kama yeye CCM: Magufuli akifa utendaji umekufa CCM: bila ccm imara CHADEMA: Bila mbowe Huku ni kutusi Tanzania
9
12
92
4,429
Replying to @HecheJohn
💯
3
11
34
3,334
poizon retweeted
Jews
1
1
2
100
ALERT: Watanzania, kuweni makini sana na GMO. Msikubali kitu kinachoitwa GMO au ushawishi wa taasisi yoyote itakayokuja na GMO. Wanajambo lao la siri. Ukishaingia kwenye GMO hautoki. Utawategemea maishani yako yote. Mbegu zetu za asili wameshazificha NORWAY ili watutawale.
44
52
2
302
27,192
DELIVERY BURE (Kwa Dsm) Kwa mahitaji ya MOVIES na SERIES ZOZOTE, tupo kwaajili yako. Movie 1 ni 1,000 na Series 2,000 kwa season.😃 TELEGRAM PIA TUNATUMA 📞 0736336245 🔗WhatsApp: wa.me/255736336245 📥 Link Zote: linktr.ee/latariico
3
3
1
6
105,139
Replying to @PMadeleka
@PMadeleka – at Pwani, Tanzania
2
5
236
poizon retweeted
Quote hii post na bidhaa unazouza mtandaoni!
6
4
1,032
On today’s episode of 1000 ways to die
44
120
13
161
29,314
“please be patient I am having a difficult time here” 😂
8
4
1
40
1,494
Moja kati ya vitu Huwa vinawavutia sana watu kwa Trumpu ni jinsi anavyo jibu maswali ya kipuuzi kwa kutumia akili Hapa aliulizwa msimamo wake ni upi kuhusu mapenzi ya jinsia Moja Video ipo kwenye comment 👇
9
38
349
32,433
poizon retweeted
Please RT PAZIA ZA KISHUA🔥🔥 MITA 1.5 @ 35,000 (NZITO MOJA) SET YAKE @ 85,000 (NZITO MBILI NYEPESI MOJA) MITA 2 @ 40,000 (NZITO MOJA) SET YAKE @ 97,000 (NZITO MBILI NYEPESI MOJA) Call/whatsapp 0622494383
18
8
1,340
poizon retweeted
THE RAID (9/10)
2
6
93
24,790
poizon retweeted
MY NAME (8/10)
2
11
96
28,168
poizon retweeted
WITHOUT REMORSE (7/10)
3
7
105
25,918
poizon retweeted
THE SWORDSMAN (10/10)
2
18
2
142
32,199