Pinned Tweet
MATRIX SYSTEM !!
Naam, pengine huenda wengi wetu tusiwe wageni wa neno hili. Pengine tumekutana nalo mara kadhaa. Lakini huenda tumekuwa tukilitafsiri kwa urahisi.
Kihisabati Matrix ni mpangilio wa namba katika mistari na safu.
Ndio, kwa wale waliobahatika kufika mpaka kidato.
Exquisite_255 retweeted
“Nilikuwa nalipia frem (kodi) kwa miaka mitatu lakini bado nilikuwa sijapata mtaji wa kufungua baishara yangu “ 🧐🧐
Ila pwani Kuna mambo ya kipumbafu sana, nilimchukua mdogo wangu akiwa darasa la Tano hivi sasa anamaliza form four mashangazi wananipigia simu wanamtaka akimaliza wakamneme, nimewakatalia umekuwa ugomvi na wamekaa kikao kwamba wanitenge, baba ananambia niwaombe msamaha, nimegoma.
Exquisite_255 retweeted
Kuna muda unafikiria Mambo mengi uliofanya mpaka unajiuliza nilikuwa mimi unadharirika aisee Sitakii kusahau vitu hivyo 🥲
Exquisite_255 retweeted
Mchina anaweza kuja na Zero cent na idea benki zetu zikapanga mstari kumkopesha.
Ila kumkopesha mzawa wataka nyumba na biashara.
Hatupendani tuu.
Hivi Kweli tulishashindwa kabsaa kuwa na..
Umeme wa UHAKIKA,
Barabara nzuri,
HUDUMA nzurii hospitalini?
Exquisite_255 retweeted
Kijiweni ✂️
Mwanangu @og_outfits
Ahsante kwa kuja familia
Kwa huduma ya kunyoa 📞 0623024682
Alikuwa anajiuzaga kabla hujakutana nae ? Mana Kwa experience yangu lazima ukute Kuma imeota sugu🙃
The Purpose of Our Lives is to be Happy. 😁😁. ONYO: Usivute Bangi kama hauna Ramani ya Chakula. 😅😅😅. #WeekendVibes

























